Watanzania mbona mnakosa adabu namna hii? Mbona mnatreat Wanigeria vibaya namna hii? Hii ni Makosa

Mbona wao hawajawahi kutufanyia visa on arrival. All these years they were enjoying visa on arrival in Tz but they didn't return the favour.

Hakuna yeyote anayepinga haki yenyu ya kuwanyima visa on arrival. Kile kinachongelewa hapa ni incompetence ya serikali yenu na immigration officers. Ukienda kwenye video hiyo, watu kutoka nchi za waafrika wanalalamika kuhusu upumbavu wa immigration officers wenu. Yaani nyie hupenda kujigamba jinsi "Mlipigania uhuru wa waafrika," lakini ukweli ni kwamba hayo yote yalikuwa ni maono ya mtu mmoja - Nyerere. Viongozi wenyu ni waabudu wazungu tu. Naamini Barbarosa ni mmoja wao.
 
Hao Malaya wanatumiwa kufanya propaganda nyuma yao kuna harufu ya Monkey
 
Binafsi nilianza kuwaignore wakenya baada ya police wa nairobi walivyonitreat baada ya kujua mimi ni mgeni pale,police wa kenya ni wadudu
 

Nimejaribu kuitazama video hiyo na nimeshindwa, yaani sitaki kuona mwafrika akifanyiwa maovu yale ya wazenji. Hata hivyo, ni video ya dakika kumi tu. Labda wana Jukwaa wajionee au wale ambao hawana bundles, wasome comments. This is the MOST NEGATIVE youtube video by Search For Uhuru

 

Huyo waziri mkuu wa zamani atakua yupo kwenye usingizi haijui hata Tanzania yake. Hiyo nchi sio salama kabisa japo matukio yake huzimwa chini chini maana hata vyombo vya habari huwa vimelala kutwa kila siku vinaandika kuhusu Diamond na Zari na kuacha habari muhimu.
Nchi ya watu wasio julikana ambao huendesha magari yasiyojulikana na kuteka teka au kuua watu, nchi ambayo miili ndani ya mifuko huokotwa kwenye mito na fukwe halafu utawala unatoa tamko eti walikua wahamiaji, ni nchi ambayo maskini albino hana amani kabisa, analiwa nyama yake kama kitoewo....yaani orodha ya matukio ni ndefu lakini vituo vyenu vya habari vinaendeshwa kwa uwoga maana wakithubutu tu, kuna jamaa anaitwa Makonda huvivamia na jeshi lake, yeye ambaye jeshi la polisi lipo mikononi mwake hadi anasheherekea nao ushindi wa chama cha CCM.
 
Katika taifa linaloongoza kwa kuichafua ngozi nyeusi duniani wanaijeria ni namba moja.hawateteeki hawa jamaa.
 

Hehehe nimecheka sana, wamemchana kwenye rap, ila kiaina inafaa ieleweke Zanzibar ni kisiwa cha utalii, wale walishazoea kuwapiga hela watalii hivyo kila anayeshukia huko akijiita mtalii lazima aliwe, hata Mkenya, hamna cha uzalendo wala nini, wale vijana ni masela na kipato chao hupata kwa kuwatoza watalii ada za kiajabu ajabu.

Kwanza hata nauli ya boti au ndege kwa Mkenya huwa tofauti na ya Mtanzania, kila mgeni anayekwenda huko huchukuliwa kama mtalii. Nimeishi Zanzibar sana hivyo napafahamu barabara. Nimewahi kuwaona wakipiga hata Mbongo ambaye amekwenda akijiita mtalii na kuanza kushangaa shangaa chakula forodhani, kama unakwenda hapo kula, jifanye mwenyeji na mjuaji, usianze kuuliza uliza maswali maana utapigwa hela.
 
Mnafiki tu wewe fara, eti hutaki kuona, mbona unaona na kuentertain waafrica wa kabila jingine hapo kenya wakiuana na kutusiana.
 
Mhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umenotice "Julius Nyerere international" that shows how behind Tz is. Watanzania huashinda wakisifu hio airport na in real sense its a disaster. Nigerians have just confirmed [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ofcoz tulipigania uhuru wao, sasa tunapigania uchumi wetu, na nchi lazima iende as per maono ya mtu mmoja, that is kiongozi, everywhere, uongozi wa obama and trump ni tofauti, likewise JK na Magu, so ni hivyo. We're lucky to have leaders of such calibre.
Kutwo kutoa taarifa ni unfortunate, lakini ndio imeshatukia. Wajibebe.
 
I am curious that even the drug triangle in East Africa were managed by Nigerians.
 
Mchukueni nyie maana mnashuda ya watu maarufu na doctors...maana sasa hivi hamna hata celeb eti had hamisa mobeto akienda Kenya anapata superstar treatment na wakati huku hata akipita hujui...!..mchuken mpate celeb mwingine
 
Wacha uwongo wewe. They travelled with their passports. Hata passports zao zilichukuliwa na Immigration ya Tanzania.
 
Wakasaidie kwao nigeria mbona kuna shida zaidi hata ya TZ
So masikini wa Tanzania asisaidiwe kwa sababu wewe ndio umesema? Mnatoa wapi kiburi cha namna hii wakati wewe unayeandika pengine hujiwezi kimaisha?
 
Kwanza unaandika kichwa cha habari cha kiswahili then maelezo kiingereza nani unayemuambia kama unajua kuwa hiyo audience ya watanzania ni swahili speakers?!

Halafu unasema Tanzanians ukimaanisha sote, inaamaana wananchi wote walihusika katika kuwafanyia tukio hao madokta.....au ni namna yako ya kusema kuwa umetumia hasira kuandika huu uzi hadi umekosa nani wa kumpa lawama...shida ni taasisi husika au raia kwa ujumla....?!
 
Nikiwa rais madaktar ukuja kutoaa huduma uchwara n marufuku wanaacha makovu mazito kwa nchii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…