Watanzania mbona mnakosa adabu namna hii? Mbona mnatreat Wanigeria vibaya namna hii? Hii ni Makosa

Watanzania mbona mnakosa adabu namna hii? Mbona mnatreat Wanigeria vibaya namna hii? Hii ni Makosa

Mbona wao hawajawahi kutufanyia visa on arrival. All these years they were enjoying visa on arrival in Tz but they didn't return the favour.

Hakuna yeyote anayepinga haki yenyu ya kuwanyima visa on arrival. Kile kinachongelewa hapa ni incompetence ya serikali yenu na immigration officers. Ukienda kwenye video hiyo, watu kutoka nchi za waafrika wanalalamika kuhusu upumbavu wa immigration officers wenu. Yaani nyie hupenda kujigamba jinsi "Mlipigania uhuru wa waafrika," lakini ukweli ni kwamba hayo yote yalikuwa ni maono ya mtu mmoja - Nyerere. Viongozi wenyu ni waabudu wazungu tu. Naamini Barbarosa ni mmoja wao.
 
I have been watching on youtube for a long time Adana's channel, a nigerian medical doctor who runs an organisation that helps treat poor africans. She is living in Ireland and her youtube channel is amazing. She was even in Kenya at the coast treating poor kids. Tanzanians treated her and her fellow doctor friend like garbage. They didn't even listen to her. They have changed visa rules for Nigerians without bothering to change it on the website. Typical lazy Danganyikans. Change the information on your website if the law has been changed. Also learn to treat people with respect. Nani huyo alikuwa anasema eti Watanzania wana heshima? Heshima gani?

Hao Malaya wanatumiwa kufanya propaganda nyuma yao kuna harufu ya Monkey
 
Sasa watanzania wakianza kukwambia maswahiba waliyo kutana nayo kutoka kwa wakenya hapa patakua padogo. Mimi mwenyewe personaly nina kisanga cha mpangaji mkenya alikua na umama zaidi ya umama. Mwisho likaondoka nakuacha bili ya maji ya miezi zaidi ya mitano. Kwenye biashara ndiyo hamuaminiki kabisa sizani kama nitapiga deal na Mkenya, nina experience mbaya sana na wakenya. Ila siwezi nikasema ni wote, siku izi wakenya tuna ishia kupiga story tu.
Binafsi nilianza kuwaignore wakenya baada ya police wa nairobi walivyonitreat baada ya kujua mimi ni mgeni pale,police wa kenya ni wadudu
 
I saw the clip, hakutusiwa, alilipishwa tu bei ya juu, ni kitu common kwa tourist areas.
Wewe ndio unakuuza hii issue, sema dak na sekunde ya hiyo clip, alipotusiwa, ww ndio una hiyo roho ya uchawi, coz you can quickly see it from others, how can you generalize all Tz, kisa video clip ya zenji. Kuna watz wa pwani, nyanda za juu kusini, kanda ya kaskazini, kanda ya ziwa, etc, different places, different people, culture.
You are so dumb, we have our reasons, pigeni kelele mpendavyo.

Nimejaribu kuitazama video hiyo na nimeshindwa, yaani sitaki kuona mwafrika akifanyiwa maovu yale ya wazenji. Hata hivyo, ni video ya dakika kumi tu. Labda wana Jukwaa wajionee au wale ambao hawana bundles, wasome comments. This is the MOST NEGATIVE youtube video by Search For Uhuru

Oct 14,2018
Dodoma, Tanzania

Tanzania ktk Ulinzi na Usalama

Tanzania ijitayarishe kiusalama kwa matukio mapya na mageni ya kiuhalifu, ili nchi isiwe kama Nigeria au Kenya. Vyombo vya Usalama Tanzania vijikite ktk kutathimini taarifa na kuotea uhalifu mpya unaoweza kulinyemelea taifa la Tanzania. Hayo yesemwa na Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania.

WAKATI giza nene likiwa bado limetanda juu ya tukio la kutekwa nyara na mahali alipo mfanyabiashara maarufu nchini, Afrika na duniani, Mohammed Dewji maarufu pia kwa jina la Mo, Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , John Malecela ametoa kauli nzito juu ya tukio hilo.

Source: mtanzania digital

Huyo waziri mkuu wa zamani atakua yupo kwenye usingizi haijui hata Tanzania yake. Hiyo nchi sio salama kabisa japo matukio yake huzimwa chini chini maana hata vyombo vya habari huwa vimelala kutwa kila siku vinaandika kuhusu Diamond na Zari na kuacha habari muhimu.
Nchi ya watu wasio julikana ambao huendesha magari yasiyojulikana na kuteka teka au kuua watu, nchi ambayo miili ndani ya mifuko huokotwa kwenye mito na fukwe halafu utawala unatoa tamko eti walikua wahamiaji, ni nchi ambayo maskini albino hana amani kabisa, analiwa nyama yake kama kitoewo....yaani orodha ya matukio ni ndefu lakini vituo vyenu vya habari vinaendeshwa kwa uwoga maana wakithubutu tu, kuna jamaa anaitwa Makonda huvivamia na jeshi lake, yeye ambaye jeshi la polisi lipo mikononi mwake hadi anasheherekea nao ushindi wa chama cha CCM.
 
Katika taifa linaloongoza kwa kuichafua ngozi nyeusi duniani wanaijeria ni namba moja.hawateteeki hawa jamaa.
 
Nimejaribu kuitazama video hiyo na nimeshindwa, yaani sitaki kuona mwafrika akifanyiwa maovu yale ya wazenji. Hata hivyo, ni video ya dakika kumi tu. Labda wana Jukwaa wajionee au wale ambao hawana bundles, wasome comments. This is the MOST NEGATIVE youtube video by Search For Uhuru

Hehehe nimecheka sana, wamemchana kwenye rap, ila kiaina inafaa ieleweke Zanzibar ni kisiwa cha utalii, wale walishazoea kuwapiga hela watalii hivyo kila anayeshukia huko akijiita mtalii lazima aliwe, hata Mkenya, hamna cha uzalendo wala nini, wale vijana ni masela na kipato chao hupata kwa kuwatoza watalii ada za kiajabu ajabu.

Kwanza hata nauli ya boti au ndege kwa Mkenya huwa tofauti na ya Mtanzania, kila mgeni anayekwenda huko huchukuliwa kama mtalii. Nimeishi Zanzibar sana hivyo napafahamu barabara. Nimewahi kuwaona wakipiga hata Mbongo ambaye amekwenda akijiita mtalii na kuanza kushangaa shangaa chakula forodhani, kama unakwenda hapo kula, jifanye mwenyeji na mjuaji, usianze kuuliza uliza maswali maana utapigwa hela.
 
Nimejaribu kuitazama video hiyo na nimeshindwa, yaani sitaki kuona mwafrika akifanyiwa maovu yale ya wazenji. Hata hivyo, ni video ya dakika kumi tu. Labda wana Jukwaa wajionee au wale ambao hawana bundles, wasome comments. This is the MOST NEGATIVE youtube video by Search For Uhuru

Mnafiki tu wewe fara, eti hutaki kuona, mbona unaona na kuentertain waafrica wa kabila jingine hapo kenya wakiuana na kutusiana.
 
Mhh
I have been watching on youtube for a long time Adana's channel, a nigerian medical doctor who runs an organisation that helps treat poor africans. She is living in Ireland and her youtube channel is amazing. She was even in Kenya at the coast treating poor kids. Tanzanians treated her and her fellow doctor friend like garbage. They didn't even listen to her. They have changed visa rules for Nigerians without bothering to change it on the website. Typical lazy Danganyikans. Change the information on your website if the law has been changed. Also learn to treat people with respect. Nani huyo alikuwa anasema eti Watanzania wana heshima? Heshima gani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umenotice "Julius Nyerere international" that shows how behind Tz is. Watanzania huashinda wakisifu hio airport na in real sense its a disaster. Nigerians have just confirmed [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I have been watching on youtube for a long time Adana's channel, a nigerian medical doctor who runs an organisation that helps treat poor africans. She is living in Ireland and her youtube channel is amazing. She was even in Kenya at the coast treating poor kids. Tanzanians treated her and her fellow doctor friend like garbage. They didn't even listen to her. They have changed visa rules for Nigerians without bothering to change it on the website. Typical lazy Danganyikans. Change the information on your website if the law has been changed. Also learn to treat people with respect. Nani huyo alikuwa anasema eti Watanzania wana heshima? Heshima gani?

Hakuna yeyote anayepinga haki yenyu ya kuwanyima visa on arrival. Kile kinachongelewa hapa ni incompetence ya serikali yenu na immigration officers. Ukienda kwenye video hiyo, watu kutoka nchi za waafrika wanalalamika kuhusu upumbavu wa immigration officers wenu. Yaani nyie hupenda kujigamba jinsi "Mlipigania uhuru wa waafrika," lakini ukweli ni kwamba hayo yote yalikuwa ni maono ya mtu mmoja - Nyerere. Viongozi wenyu ni waabudu wazungu tu. Naamini Barbarosa ni mmoja wao.
Ofcoz tulipigania uhuru wao, sasa tunapigania uchumi wetu, na nchi lazima iende as per maono ya mtu mmoja, that is kiongozi, everywhere, uongozi wa obama and trump ni tofauti, likewise JK na Magu, so ni hivyo. We're lucky to have leaders of such calibre.
Kutwo kutoa taarifa ni unfortunate, lakini ndio imeshatukia. Wajibebe.
 
I am curious that even the drug triangle in East Africa were managed by Nigerians.
 
Mchukueni nyie maana mnashuda ya watu maarufu na doctors...maana sasa hivi hamna hata celeb eti had hamisa mobeto akienda Kenya anapata superstar treatment na wakati huku hata akipita hujui...!..mchuken mpate celeb mwingine
 
Watched the video carefully! I think your are not going to travel with permanent resident card! Anywhere in the world you travel using your passport! The passport is your identity and in Tanzania the Nigerian passport holders must have the paper granted from the embassy in Abuja! If they came holding Ireland passports then wangepata visa ASAP! Lets work on rules! Period
Wacha uwongo wewe. They travelled with their passports. Hata passports zao zilichukuliwa na Immigration ya Tanzania.
 
Wakasaidie kwao nigeria mbona kuna shida zaidi hata ya TZ
So masikini wa Tanzania asisaidiwe kwa sababu wewe ndio umesema? Mnatoa wapi kiburi cha namna hii wakati wewe unayeandika pengine hujiwezi kimaisha?
 
Kwanza unaandika kichwa cha habari cha kiswahili then maelezo kiingereza nani unayemuambia kama unajua kuwa hiyo audience ya watanzania ni swahili speakers?!

Halafu unasema Tanzanians ukimaanisha sote, inaamaana wananchi wote walihusika katika kuwafanyia tukio hao madokta.....au ni namna yako ya kusema kuwa umetumia hasira kuandika huu uzi hadi umekosa nani wa kumpa lawama...shida ni taasisi husika au raia kwa ujumla....?!
 
Nikiwa rais madaktar ukuja kutoaa huduma uchwara n marufuku wanaacha makovu mazito kwa nchii
 
Back
Top Bottom