Watanzania mbona mnakosa adabu namna hii? Mbona mnatreat Wanigeria vibaya namna hii? Hii ni Makosa

Hamna sehemu nimesema Kenya ni salama, umedandia bila kusoma.

Ahaaaa haaaaa haaaaa
you guy is so funny. so what is the meaning of reading obove, between and under the line. your discourse has full of accusation as if you are coming from the Gotham city.
Teh teh teh teheeee
 
Soma kwanza, jizoeshe desturi ya kusoma.
 
Tunataka kurudisha heshima Tanzania. Tanzania sio nchi ya mchezo mchezo
 
Wakiambiwa wao ni wanafiki wananuna. Huwa wanauficha unafiki wao kwa maneno ya heshima kama tafadhali, naomba na kadhalika. Deep down in their hearts they are evil. Inajidhihirisha wazi humu jf.
"They" who?,have you looked inside every Tanzanian hearts ukagundua all of them are evil?.
 
I decipher and understand at extra miles of everyting that you write in here.

Hehehe Epuka kutumia nguvu nyingi kwa chochote naandika humu, relax, calm and read, that's all. Otherwise ukitumia nguvu nyingi ndio unaishia kudandia bila kuelewa kipi kiliandikwa....hehehe ni ushauri tu
 
"They" who?,have you looked inside every Tanzanian hearts ukagundua all of them are evil?.
Hypocrites are worse than murderers. Kenyans don't hide anything. Someone might think they are so evil but they have golden hearts. That's why they are regarded as the most generous country in Africa. So please Tanzanians walk the talk
 
You havent answered my question madam,why are yiu generalizing all of us kuws tuko evil?.
 
Hehehe Epuka kutumia nguvu nyingi kwa chochote naandika humu, relax, calm and read, that's all. Otherwise ukitumia nguvu nyingi ndio unaishia kudandia bila kuelewa kipi kiliandikwa....hehehe ni ushauri tu

Ahaaa haaa haaa
anayetoa povu anajulikana tu.
Teh teh teh tihiii
huwa anaandika maneno meengi full of emotional.
 
Hili ni jukwa la kijamii, mimi kawaida yangu ni muongeaji sana, napenda kutiririka hata kwenye uandishi, sasa tatizo ukiwa mvivu utaishia kutumia nguvu nyingi kunielewa wakati ni simple tu. Tuliza presha, maisha mafupi.
 
Mjaribuni kufukuza wakenya Huko ndio mjue kweli sisi ni nyangau. Fools!
No wonder Kenya imebarikiwa. Kenyans hosts Ethiopians,Somalis,Tanzanians,Ugandans,Nigerians Sudanese etc.... Some of them are now citizens and call kenya home. Mpende waafrika wenzanyu nyinyi. You only deport guilty individuals not innocent people.
Hujawahi sikikia wenzako wakilalamika kuhusu wakenya walioishi tz miaka zaidi ya 20 lakini tuliwafukuza?
 
Hili ni jukwa la kijamii, mimi kawaida yangu ni muongeaji sana, napenda kutiririka hata kwenye uandishi, sasa tatizo ukiwa mvivu utaishia kutumia nguvu nyingi kunielewa wakati ni simple tu. Tuliza presha, maisha mafupi.

Teh teh teh tihiii
hamna unachotiririka ZAIDI ya povu.

kwanza enda kasaidie wanasiasa wenyu wanalia ati Chinese wamemiliki sare za JESHI na tear gases. Kenyatta nae analia samaki kibua toka China.
 
Kwa sasa nasikitika kuhusu msiba wa radi ambao umeua watoto watano Tanzania, ingekua bora muwe mnapewa likizo hapo Lumumba buku saba, mnaacha kuwaza Kenya walau hata kwa siku moja wakati misiba inatokea.
 
Wanaijeria ni wauaji, matapeli wakubwa. Kuna mzungu mmoja alitapeliwa kama bil moja ya kitanzania, akaamua amfuate mnaijeria huko nigeria, he ended up being killed, alirudi ulaya maiti. So kwa sisi watanzania na ulimwengu kwa ujumla, hakuna anayemuamini kiumbe wa kinaijeria. Na wanaijeria wameharibu sana taswira ya mwafrika ulaya, let them suffer to death
Watanzania ni wachawi wala albino..au hilo hulioni pia...ile siku mkianza kuwekewa ngumu..sijui mtakufia wapi..
 
Back
Top Bottom