Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

leta CV yake acha upuuzi ...tujue ana skills gan rare hapa Tz ?
Mjue km akina nani, mbna ya yule mhindi wa voda hamkuomba muwekewe hapa JF.
Yani mnaonyeshe wivu mchana kweupe kabisa[emoji23][emoji23]tena wakijinga..si heri uwe na wivu wa kike tu
 
acha umama, Coca-cola kwanza ipo chini ya CCBA (Cocacola Bevarage Africa) makao yake makuu yapo SA ambao wanamilikiwa na Coca-cola wenyewe from Atlanta USA, CCBA inamatawi mengi sana across Africa ikiwemo NBL na nyinginezo hapo kwenu, na zote zinareport SA sio Nairobi . Wengine wote wanao produce coca hao tunawaita bottlers ambao wananunua tu patent rights za production, huku kwetu kuna Bonite bottlers na Nyanza bottlers, hawa hawana HQ nchi yoyote yani ni franchisers tu. Sasa usijishebedue eti nyie ndo HQ, mxiuuu.
LOL
2020-11-25 (2).png
 
Nashagaa sana mikenya inang'angania kuingia Tz. Si mlisema humu in corona republic, huyo mkurugenzi aende Kenya afungue biashara yake binafsi awache kutafuta kazi Tz
 
Tanzanians have no capacity to run such organisation
Hapo kwenu Kenya,Bob collymore,aliyekuwa CEO wa safaricom alikuwa Mkenya?Alipokufa,Mzungu akachukua nafasi,
Na usisahau Mkurugenzi wa Idara ya mapato South sudan,anatoka Bongo

Hapa TZ,Raia wengine wanakuja wanachukua nafasi,ila nyie Kenyans,big no,we do not trust you,it's not personal just they things are.

RAO, Raila Odinga, akiwa Raisi,2022, mtakaribishwa maana Raila ni swaiba wetu.
 
Kwa nini usilifungue mada kadhaa kuhusu hilo, wasaidizi wa Rais H. Mwinyi wataupata ujumbe. Kumbuka wakati ameteuliwa kuwa mgombea alisema amejifunza jinsi ya kuongoza kwa kumuona Rais Magufuli anavyofanya, na kwa jinsi nilivyomuona akifuatilia mambo, ni dhahri alimaanisha.
Uhamiaji unasimamiwa na JMT sio SMZ.

And by the way, kama yeye kweli yupo tayari kuwawajibisha wabadhirifu na wale wasiotekeleza majukumu yao, angeanza na walionunua MV MAPINDUZI, waziri wa ujenzi kaambiwa serikali iliopita imenunua meli hio ikiwa mbovu tangu mwanzo. Tuone kama kuna atakaewajibishwa au ndio fisi aliejivisha ngozi ya kondoo.
 
Kwa taarifa yako HQ ya kampuni ya Coca Cola ukanda huu wa Afrika Mashariki na ya Kati ipo jijini Nairobi.

Sasa kama HQ ipo huko mnalilia nini kuja TZ. Mnataka HQ iwe Kenya na kazi za TZ wafanye wakenya? Waambie hayo makampuni they may as well move the plant huko kama hawawezi kufuata taratibu zetu, it's that simple.

 
Mjue km akina nani, mbna ya yule mhindi wa voda hamkuomba muwekewe hapa jf..
Yani mnaonyeshe wivu mchana kweupe kabisa[emoji23][emoji23]tena wakijinga..si heri uwe na wivu wa kike tu
Issue sio wivu, leta CV hapa ili nasisi tujue kama hii gov ilimuinea au la
 
Inapaswa itolewe tamko rasmi kutokea kwa serikali kwamba Wakenya hawaruhusiwi tena kusimamia hayo makampuni
Usitupangie sisi ni nchi huru. Mnatuletea majasusi wa kuuwa makampuni yetu kama mlivyomleta kioko akaja kuuwa precisionair, hatukubali.
 
Sasa kama HQ ipo huko mnalilia nini kuja TZ.. Mnataka HQ iwe Kenya na kazi za TZ wafanye wakenya? Waambie hayo makampuni they may as well move the plant huko kama hawawezi kufuata taratibu zetu, it's that simple.

Kazi za tanzania tena unajiskia we mwehu, unajua maana ya kamnpuni ya kimataifa au unafikiria hyo ni ATCL[emoji23][emoji23]
 
Jiwe na genge lake wana xenophobia kali sana dhidi ya wakenya. Hadi imefikia hatua ya kuzipangia kampuni za kibinafsi, tena za kimataifa, kuhusu masuala ya uteuzi wa waajiriwa wao. Ila nilijifunza kutoka kwa ile sakata ya Vodacom na mkenya Sylvia Mulinge kwamba kwa Tz ya sasa ni baraka kubwa sana kwa wanaonyimwa vibali baada ya kuteuliwa. Maanake mmisri aliyechukua nafasi hiyo Vodacom alifunguliwa kesi ya kuhujumu uchumi muda mfupi tu baada ya kuanza kazi. Alafu baadaye tena Vodacom wakajipata matatani walipohusishwa na mikakati ya CCM ya kuinyanyasa upinzani kabla na wakati wa uchaguzi. Mwisho wa siku chuki zao zinawaumiza wao wenyewe, sio wakenya. Kwasababu maamuzi yao ya kibaguzi yanawatia hofu wawekezaji na kampuni kama hizo za kimataifa na yanashusha 'investor confidence' kwa nchi ya Tz.

bila shaka vodacom wameondoka tz baada ya muringe kunyimwa cheti cha mkaazi.

anyway mlimpa cheo katika kampuni gani hapo kenya???
 
Shida utapata kuwa mwenye anaitisha CV hajui hata venye structure ya CV enyewe inafaa ifanane
umeitishwa CV unaanza upolisi.

weka CV hapa ili apewe kazi mukuze uchumi[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Shida utapata kuwa mwenye anaitisha CV hajui hata venye structure ya CV enyewe inafaa ifanane

huu ujuaji ndio ulifanya dada yenu akarudi kulea watoto.

unawezakuta aliitishwa akajibu vodacom ndio wa kusema.
 
Kazi za tanzania tena unajiskia we mwehu, unajua maana ya kamnpuni ya kimataifa au unafikiria hyo ni ATCL[emoji23][emoji23]

Ndo tushagoma sasa hata mlie vipi 🤣 hawataki wanaweza ondoa it's that simple. Hii ndo TZ hatunyenyekei mizungu or anyone in that matter. Mliona tulivyofanya KQ hadi mkaomba poo, coca cola and the likes will receive the same treatment. Endelea kupiga kelele hapa uone kama tutalegeza 🤣
 
Ndo tushagoma sasa hata mlie vipi [emoji1787] hawataki wanaweza ondoa it's that simple. Hii ndo TZ hatunyenyekei mizungu or anyone in that matter. Mliona tulivyofanya KQ hadi mkaomba poo, coca cola and the likes will receive the same treatment. Endelea kupiga kelele hapa uone kama tutalegeza [emoji1787]
Akili za kibongo ndivyo zilivyo hata sikulaumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwhyo ATCL route ya india lazina iajiri wahindi sio[emoji23][emoji23]

Kawaida yenu hyo kutumia 1% ya akili zenu
 
huu ujuaji ndio ulifanya dada yenu akarudi kulea watoto.

unawezakuta aliitishwa akajibu vodacom ndio wa kusema.
Mama yupo na dili zake yule wala sio mpiga ramli km wamama zenu hko tz
 
Back
Top Bottom