Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Akili za kibongo ndivyo zilivyo hata sikulaumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwhyo ATCL route ya india lazina iajiri wahindi sio[emoji23][emoji23]

Kawaida yenu hyo kutumia 1% ya akili zenu

1% imagine inawahenyesha[emoji23][emoji23][emoji23].
 
1% imagine inawahenyesha[emoji23][emoji23][emoji23].
Wafikiria ku deal na chizi rahisi wewe[emoji23][emoji23]
Yani mkenya akiweza ku deal na akili za wabongo basi hata wa mirembe hawamshindi..

We unaujua uchizi wa kijamaa mbona unatapakaa jamii nzima kutoka wale wa ngazi za juu
 
kwani kudeal na chizi ni kazi kiasi gani na umemzidi ufahamu!!!!

inakiwa kazi kama kwa uchizi wake wewe bado uko chini kiupeo,ndio haya ya sisi tuna 1% nyinyi mko na 0.7%.ndio sababu huwa mnashindwa kila mnachoanzisha.
 
Akili za kibongo ndivyo zilivyo hata sikulaumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwhyo ATCL route ya india lazina iajiri wahindi sio[emoji23][emoji23]

Kawaida yenu hyo kutumia 1% ya akili zenu

Ndo wabongo sisi and PROUD, we don't give a damn about nobody.. Endeleeni kushobokea mizungu na kujiona mizungu meusi.
 
Kuna hizi taarifa naona zimezagaa kote kwamba kampuni ya Coca Cola imeng'ang'ania kuajiri Mkenya awe mkurungezi wa tawi lake Tanzania, ila kwamba Tanzania imemkatalia kama ambavyo imekua desturi sasa, ambapo haya makampuni ya kimataifa yanatumia hela nyingi sana kusaka nani mwenye weledi na bidii ya uchapa kazi wa kuyasimamia na kila wakiishia kuchagua Mkenya, anakataliwa na serikali ila yeyote mwingine awe Mhindi, Mwarabu au Chotara anaruhusiwa.

Inapaswa itolewe tamko rasmi kutokea kwa serikali kwamba Wakenya hawaruhusiwi tena kusimamia hayo makampuni, hapo itawarahishia hao nafasi wawe wanatangazia wahind na waarabu. Inapaswa ifahamike haya makampuni huwa hawaajiri zumbukuku au zwazwa yeyote, lazima wasake kwa mapana na marefu maana wana taratibu zao zilizopitia ukaguzi wa hali ya juu, na kama wanamkosa humo ndani ya milioni 60 ya Watanzania wanayemtaka, basi haipaswi kuwapangia.
------------------------------------------------

Dar es Salaam. Tanzania’s Immigration Department said on Tuesday, 24 November 2020 that it would issue a statement in response to claims that it had denied entry to a foreign national who was to start working as new managing director for Coca-Cola Kwanza.

Since Monday, November 23, social media platforms have been awash with news of a foreign national, assumed to be Kenyan, who was denied entry into Tanzania so he could assume his role as managing director for Coca-Cola Kwanza.

The news item originated as a tweet from fichuaTanzania_official’s FichuaTanzania, a Twitter handle that markets itself to its readers as one [a handle] that documents and exposes human rights abuses in Tanzania while also fighting for freedom of speech, truth and democracy.

“Leo 23/11/2020 Mkurugenzi mpya wa Coca Cola Kwanza akitokea Nairobi na shirika la ndege la Kenya Airways amekataliwa na mamlaka uhamiaji ya Tanzania kuingia nchini kutekeleza majukumu yake mapya kwa maelezo kuwa kazi anayokuja kufanya kuna watanzania wenye uwezo wa kuifanya,” the twit reads.

coca11

Literally, this is translated as: “The new Coca-Cola Kwanza managing director was on November 23, 2020 denied entry into Tanzania upon arrival from Nairobi on a Kenya Airways flight. The Immigration Department did not allow him in on the grounds that there were Tanzanian nationals who could perform his duties [at Coca-Cola Kwanza]”

Sababu kubwa sana ya kupenda kuajiri hao nyang'ao ni kwa kuwa huwa wanajitoa ufahamu kwa maboss wao hasa wazungu. Pia huwa wanashirikiana na wazungu kuziibia hizo Kampuni. Ofisini kwetu alikuwa ameajiriwa Mkenya baada ya muda wake kwisha tumekuja kugundua alikuwa ameiba sana kupitia idara ya manunuzi ya Kampuni akishirikiana na wazungu/Makaburu sasa wanatafutwa ili warudishe pesa zetu.
 
Tatizo mnawakatalia kwa vigezo kwamba kuna Watanzania wanaoweza, ila hatimaye wanafuata Waarabu na Wahindi, hapo mnaanguka chali, ilmradi ngozi ni nyeupe mnazimikia.
Tatizo la wakenya mnakuja TZ ili kusabortage uchumi wetu mkishirikiana na mabeberu. Tumeshawagundua hivyo sasa hivi mkenya kupata kibali cha kufanyakazi TZ ni mbinde.
 
kwani kudeal na chizi ni kazi kiasi gani na umemzidi ufahamu!!!!

inakiwa kazi kama kwa uchizi wake wewe bado uko chini kiupeo,ndio haya ya sisi tuna 1% nyinyi mko na 0.7%.ndio sababu huwa mnashindwa kila mnachoanzisha.
Sasa ndio umeandika nini hapa[emoji23]
We unafikiria kumuelekeza chizi ni rahisi tena yule anayelishwa pumba..
 
Ndo wabongo sisi and PROUD, we don't give a damn about nobody.. Endeleeni kushobokea mizungu na kujiona mizungu meusi.
Mbna tayri we una shobo nao kitambo, km mitandao yao tu unatumia
 
Sasa ndio umeandika nini hapa[emoji23]
We unafikiria kumuelekeza chizi ni rahisi tena yule anayelishwa pumba..

sio kazi rahisi,ndio sababu hata hujaelewa hapo juu pamoja na mifano.

usile pumba mama,sisi huku chakula kipo nikutumie???
 
Tunachojua ni raia wa south africa na sio mkenya.Sasa wakenya wana lia lia sana.si watengeneze uwekezaji wao wapate ajira.
Sio kama wabongo hawapo ila ukweli ni kwamba wapo wengi ila wanamikataba ya ajira.
 
Tatizo la wakenya mnakuja TZ ili kusabortage uchumi wetu mkishirikiana na mabeberu. Tumeshawagundua hivyo sasa hivi mkenya kupata kibali cha kufanyakazi TZ ni mbinde.
Beberu mbona huaga ni mtamu inapotokea shughuli hapo tandale
 
Back
Top Bottom