Watanzania mjenge madaraja ya reli kama ya Kenya, sasa kwenu usafiri umekwama

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Naona kwenye video hii hapa chini kwamba hakuna usafiri kabisa wa treni kutoka Dar kwenda mikoani, sasa kila siku mnaanzisha nyuzi JF za jinsi mnazindua reli za SGR kila mahali, ingekua poa muhakikishe na hii iliyopo inahudumia kwanza.
Muwekeze kwenye madaraja ya juu kama Kenya

Daraja za Kenya

Kenya-Railways-Standard-Gauge-Railway-Sgr-Nairobi-Mombasa-Testride-Mombasa-Nairobi-Stndard-Gauge-Railway-CRBC-SGR-Head-Office-Kenyan-Professional-Photographers-SGR-Photos-116.jpg

18738332_1558206907545353_5488862868931229878_o.jpg
 
Mkuu wa Kenya unajichosha tu bure Watanzania akili zao zimelazwa.. hadi watakapoamka ni sleeping giant... yaani kama uneishi sana Tanzania akili hubaki nziiii ila ukisafisha macho nje ya nchi ndio utatambua kuishi Tanzania ni sawa na kuishi chooni tu kila kitu ni hovyo... East Africa nimetembea Kenya na Uganda safi japo wao hawajaridhika big up kwa majirani zetu. .. Tanzania ni hovyo kabisa
 
Tuache na usingizi wetu...hatuongei sana muda ndio msema kweli.
 
Naona kwenye video hii hapa chini kwamba hakuna usafiri kabisa wa treni kutoka Dar kwenda mikoani, sasa kila siku mnaanzisha nyuzi JF za jinsi mnazindua reli za SGR kila mahali, ingekua poa muhakikishe na hii iliyopo inahudumia kwanza.
Muwekeze kwenye madaraja ya juu kama Kenya

Daraja za Kenya

Kenya-Railways-Standard-Gauge-Railway-Sgr-Nairobi-Mombasa-Testride-Mombasa-Nairobi-Stndard-Gauge-Railway-CRBC-SGR-Head-Office-Kenyan-Professional-Photographers-SGR-Photos-116.jpg

18738332_1558206907545353_5488862868931229878_o.jpg

Sisi tunajenga ya kisasa zaidi sio huo uchafu WA 60's.
 
Attachments

Hongera kwa kutembea Kenya na Uganda.
Mkuu wa Kenya unajichosha tu bure Watanzania akili zao zimelazwa.. hadi watakapoamka ni sleeping giant... yaani kama uneishi sana Tanzania akili hubaki nziiii ila ukisafisha macho nje ya nchi ndio utatambua kuishi Tanzania ni sawa na kuishi chooni tu kila kitu ni hovyo... East Africa nimetembea Kenya na Uganda safi japo wao hawajaridhika big up kwa majirani zetu. .. Tanzania ni hovyo kabisa
 
Mkuu wa Kenya unajichosha tu bure Watanzania akili zao zimelazwa.. hadi watakapoamka ni sleeping giant... yaani kama uneishi sana Tanzania akili hubaki nziiii ila ukisafisha macho nje ya nchi ndio utatambua kuishi Tanzania ni sawa na kuishi chooni tu kila kitu ni hovyo... East Africa nimetembea Kenya na Uganda safi japo wao hawajaridhika big up kwa majirani zetu. .. Tanzania ni hovyo kabisa
Ukisikia Tanzania inakua kwa kasi kiuchumi bhasi ujue tumekodi foreigners toka nje ili wauendeshe uchumi wetu ...

Ukisikia Tanzania inatoa wajasiriamali wakubwa ..bhasi jua tumewatoa nje ya nchi ili waje watuwakilishe

Ukisikia barabara zetu ,madaraja na miundombinu mingine inaendelea kukua bhasi jua tumewakodi watu wa nje waje wafikiri kwa ajili yetu na watutengenezee bureee

Ukiona miji yetu inaendelea bhasi jua tumewaita viongozi na wafanyabiashara wa nje ili waje kuendesha miji yetu

Ukisikia kilimo , utalii ,uchukuzi unakua bhasi jua tuliwaita waganda waje kufikiria badala yetu na kupanga mipango yote ...
 
Naona kwenye video hii hapa chini kwamba hakuna usafiri kabisa wa treni kutoka Dar kwenda mikoani, sasa kila siku mnaanzisha nyuzi JF za jinsi mnazindua reli za SGR kila mahali, ingekua poa muhakikishe na hii iliyopo inahudumia kwanza.
Muwekeze kwenye madaraja ya juu kama Kenya

Daraja za Kenya

Kenya-Railways-Standard-Gauge-Railway-Sgr-Nairobi-Mombasa-Testride-Mombasa-Nairobi-Stndard-Gauge-Railway-CRBC-SGR-Head-Office-Kenyan-Professional-Photographers-SGR-Photos-116.jpg

18738332_1558206907545353_5488862868931229878_o.jpg

hehehe,jamaa wamekazana na uziduzi ghushi 😀
 
Utabaki hivyo hivyo ati. . Utasikia Tanzania inakuwa kiuchumi? Mnapenda Siasa tu hivyo na facts hamtokuja kuziona. . Amkeni acheni kulala siasa za kijinga zinawalazeni bongo zenu. .. mnasifia unafiki Nchi ina anguka kwenda chini tena kwa kasi na hamtambui wala kustuka mnaendelea kuishi kwa kupigana vizinga tu kila siku

Back
Top Bottom