Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Nipo hapa tangia Jambo Forums.Utakuwa umezaliwa mwaka juzi ndugu yangu, unamjua Kolimba wewe? Unamjua Mwangosi wewe? Unamjua Dr. Ulimboka wewe, sidhani kama unawajua hawa ndugu na majanga waliyopitia kabla kijiti hakijamfikia JPM.
Tangu mwanzo wa kelele za mauwaji na utekaji zilizohusishwa na Magufuli, sikuwahi kukubali na stokubali huo upuuzi wa siasa za kijinga
Gazeti la Chadema liliandika kupotea kwa Ben Sa 8 siku ya mwisho kuonekana alikuwa na Mbowe
Halafu wapumbavu wakasema ni Magufuli
Naamini, hata Lissu akija kukaa akatuliza vizuri akili yake, atakuja kugundua zile lisasi ni njama iliyosukwa kwa weredi kubwa kutoka huko huko
Hivi ni kivipi sasa Chadema wanaibukiana na kuanza kutofautiana kihivyo? Je, ni hizi hizi siasa zilizopo au kuna lile limejificha kuwahusu M/kiti na makamo wake?
Tanzania ilimpoteza mtu wa mhimu mno kuwahi kutokea RIP JPM
Hakika huu utekaji una mkono wa wapinzani 💯, kibaya walitumia propaganda za kumchafua Dkt Magufuli na media zote walinunua na kuweka mawakala kuhakikisha Dkt Magufuli anachafuka. Na alipofariki walishangilia kinoma wakisema eti watu hawatatekwa tena oh mara watu hawatapatikana kwenye viroba ila leo tunaendelea kuona mauaji na utekwaji uliozidi kila kona ya nchi. Nadhani mbowe na ayatolla zitto waminywe korodani zao wasema nani anawapa hela kuichafua nchi
Kuna kubenea na tindikaliUtakuwa umezaliwa mwaka juzi ndugu yangu, unamjua Kolimba wewe? Unamjua Mwangosi wewe? Unamjua Dr. Ulimboka wewe, sidhani kama unawajua hawa ndugu na majanga waliyopitia kabla kijiti hakijamfikia JPM.
Huwezi elewa kilaza weweBado sijakuelewa.
Sijui kama unajua unachosema au kumaanisha hapa. Bila Magufuli tunsingekuwa na watekaji na wauaji wakatili kama akina Bashiti na sasa mama yenu na genge lake.Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Kuwe na walinzi Dodoma au wasiwepo hiyo sio hoja ya msingi,Sema ndugu yangu nawe utumie akili hata kidogo basi.
Aliyewaondoa Walinzi wa serikali pale Dodoma siku Lissu anashambuliwa nani? Mbowe?
Aliyeng'oa CCTV baada ya tukio nani? Mbowe?
Wahusika wanaotajwa na Sativa kuhusika kumteka na kujaribu kumuua kwanini hawakamatwi? Anazuia nani? Mbowe?
Kama logic ndogo hizi unashindwa kuzielewa, utaelewa kweli Simultaneous Equation?
Kuwe na walinzi Dodoma au wasiwepo hiyo sio hoja ya msingi,
Huwezi kuwa nuisance wakati serikali inafanya fujo za renegotiation ya mkataba. Either unakubali njia zao au laah.
Lissu alistahili kilichompata kwa ujinga wake at the time, hakukuwa na namna nyingine; mungu wake ni mkubwa yupo hai leo.
Acheni huo ujinga wa kuaminishana unaweza ingilia national security matters ukaachwa, Lissu was a nuisance at the time,
Tofauti ya mimi na wewe ni kutokuwa emetional kwenye maswala ya kitaifa...Na Magufuli naye alikuwa national nuisance wenzake wakaamua kumuua. Hapo vipi?!
Tofauti ya mimi na wewe ni kutokuwa emetional kwenye maswala ya kitaifa.
Magufuli hakuwa na uhalali wa kuzuia chanjo ya COVID hata ningekuwa mimi kwa masikitiko makubwa ningempa sindano yake ya milele.
Na Lissu pia alistahili pia alichopata,
Ukishaelewa siasa, you can’t be emotional on national matters.
Wewe bado kichwa chako kimejaa utoto,
Magufuli bila ya ujinga wake wa COVID ndio alikuwa mkombozi wa watanzania; na Lissu ni limbukeni.
Ni mpuuzi tu ndio anaweza jiaminisha vingine zaidi ya kuukubali ukweli Lissu ni kwa Sasa siasa żako ni pandepikizi la mabeberu hafai hata kwa nafasi ya ubunge maana ni lobbysty wa kutetea maslahi ya wengine,
It’s just a shitty country kama Trump anavyoziita.
Ukishaelewa dunia na nchi zinavyoongozwa na necessary skills to execute those tasks, hata huyo Magufuli ni uzalendo tu na kazi yake ingekuwa ngumu,
Nchi ni maskini kwa sababu ya akili ndogo za wenye nafasi na watu wenye kujali maslahi, mengine kukuelezea ni kujitafutia matatizo na maisha yetu,
You are just so shallow, uelewi kilichokuwepo kabla ya Magufuli na kilichorudi kwa nguvu kubwa baada ya kutoka kwa Magufuli.
Ignorance is a bliss
Umekazana Magufuli sijui Samia hivi unadhani hao watu kwa nafasi zao wanaweza amuru kweli kuuawa kwa watu maskini,
You are so shallow
Kuna mambo hata mimi napambana nayo as a diaspora let it go it’s not your battle. But then unasoma ujinga wa watu kama nyie daah, you think it’s easy.

Sana kwa sababu nina uhakika una mengi hujui ya kinachoendelea Tanzania...
..nikikuita mjinga anayejiamini nitakuwa nimekosea?
Kuna njia mbili za kuingia peponi kwa sisi wa imaniTofautisha peponi na mbagala. Peponi aingii muuaji.
Mabaya yake unayajua? mpaka useme mema yamezidi mabaya?Kuna njia mbili za kuingia peponi kwa sisi wa imani
ya Kikristo
P
- Njia ya kwanza ya kuingia peponi ni kupitia kuokolewa, tunaokolewa kwa neema tuu na sio kwa matendo. Hata matendo yako yawe mabaya vipi, neema ya kuokolewa ikikushukia unaingia peponi.
- Njia ya pili ni kupitia hukumu, unahukumiwa kwa kutumia mzani wa mema yako na mabaya yako, mema yakizidi maovu unaingia peponi.
- JPM hakuwa malaika, ana mema yake na mabaya yake, mema yameyazidi mabaya hivyo ametinga peponi
- Sasa hivi tunavyozungumza, yuko zake peponi kwa Baba yake yuko na Baba yake!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Hakuna binadamu yeyoten anayeyajua mema au mabaya ya mtu mwingine isipokuwa YEYE Pekee!.Mabaya yake unayajua? mpaka useme mema yamezidi mabaya?
Mtu atahukumiwa kwa matendo yake, sio mawazo ni matendo, na kama hujui matendo ya mtu, uhakika wa kusema ameenda peponi umeutoa wapi?Hakuna binadamu yeyoten anayeyajua mema au mabaya ya mtu mwingine isipokuwa YEYE Pekee!.
Kwenye ya mtu, unahukumiwa sio kwa matendo tuu, hata kwa mawazo, maneno na matendo.
Ukimuona mwanamke mrembo, ukamtamani, yule jamaa akasimama, unakuwa ni tayari umeitenda ile dhambi, siku yako ya hukumu, dhambi hiyo inaingia kwenye heyasabu yako!.
Sambamba na mema, ukiwaza kutenda mema, hata kama huna huo uwezo, kisha huo wema wewe uliouwaza ukaja kutendeka, wewe unapata thawabu ya wema huo unaingizwa kwenye hesabu yako na unakuingiza peponi ndio maana ni rahisi kwa masikini kuingia peponi kuliko matajiri, ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!.
tajiri kuingia peponi ni
P