Watanzania mjifunze kukataa Ujinga. Hayati Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho. Kuhusu watekaji na wauaji, CCM na CHADEMA wahojiwe

Watanzania mjifunze kukataa Ujinga. Hayati Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho. Kuhusu watekaji na wauaji, CCM na CHADEMA wahojiwe

Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu

Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.

The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Hujaelezea how hakuwa mbaya in details
Zaidi umesifia huku ukisahau matukio haya yaliongezeka zaidi kipindi chake, watu walianza ku disappear kipindi chake, hakujua?

Yeye ndio aliwaonyesha ccm kuna njia zaidi ya moja kupata madaraka , ukiona kwenye kura mambo hayaendi FORCE FORCE FORCE

On the otherside alikuwa mwana maendeleo mzuri sana.

No matter how mtu aliiuwa mzuri lakini alikuwa na madudu yake, mabaya yake.
Just like mazuri yanavyoatangazwa na mabaya pia yatangazwe
 
..Raisi Magufuli aliuwawa na Freeman Mbowe.

..mwili wake ukifunguliwa mtaona matundu ya risasi.

..Mbowe amemuua kwa mikono yake mwenyewe.
🤣🤣🤣🤣 rais jpm aliuwawa kwa risasi? Hata report ya ikulu haisemi hivyo
 
Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu

Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.

The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Dogo kukataa ujinga ni pamoja na kukataa mambo ya kijinga ya magufuli eti kupinga nyungu ndo ilikuwa njia ya kujitibu COVID

Kwa ujinga wake akafa na covid
 
Tuanzie matukio ya kupotea kwa Ben Saanane na assassination attempt kwa Tundu Lissu, Jiwe alitoa ushirikiano upi(wa kauli na vitendo) kutuaminisha alifanya kila liwezekanalo wahusika wa hayo(those two incidences I mentioned) wakamatwe ili tuamini kuwa haukuwa direct orders kutoka kwake.
Kwa sisi tunao-flow na matukio 'tangulizi' kama la late Ben kutaka proof ya PHD ya Jiwe na kauli za Jiwe a day before shambulio la Lissu, prove us wrong with your at least what you'll term as your 'circumstancial evidences' or anything else tangible or at least reasonable.
Huenda naye alifumbia macho maovu yale lakini the big argument ni kwamba yeye hakuwa architecture wa hizi balaa zote zilizotokea na zinazotokea ,
Kwa sababu orodha ni ndefu ya yale yaliyokuwa yakitokea kabla yake !
That’s the point Mkuu ! 🙏
Sasa swali ni kwamba haya yalianzia awamu ipi hasa ??!
Tuseme uadui wa vyama ulianzia 1995, je haya yaliwahi kutokea ? Mpaka Mkapa anamaliza awamu yake yalitokea mangapi ya aina hii. ??!

Haya ndio maswali ya kujiuliza ili kupata clue ya kujua yalianzia lini na kwa namna gani au kwanini ilibidi yaanze 😳🙄 !
Au nasema uongo ndugu zanguniii ???!! 🤦🏽‍♂️

Kila kitu kumlaumu Mwendazake ni kutomtendea haki Bandugu 🙏
 
Back
Top Bottom