Watanzania mkijichanganya mkakomaa na katiba mkasahau kuhusu Bandari zetu kuuzwa laana itamea juu yenu

Watanzania mkijichanganya mkakomaa na katiba mkasahau kuhusu Bandari zetu kuuzwa laana itamea juu yenu

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam nyote,

Katika mikutano ya chadema hivi sasa ya +255 , swala la kuhamasisha umma kuhusu uhuni wa kuuzwa bandari zetu lipewe uzito kila sehemu, CCM hawana dhamira njema na dhati kwa nchi hii, viongozi wengi ni ni wanachama wa illuminati na freemasons.

Msitarajie huruma haitatokea kamwe mnyonya damu na mtoa kafara hanaga huruma kamwe.

Agenda kuhusu bandari isiwe na mwisho kelele ziendelee hadi mwisho.

Mapambano yaendelee watu wa mpito hawana huruma.

Kwa hayo machache niseme shukrani.

Wadiz
 
Back
Top Bottom