Uchaguzi 2020 Watanzania mkirudia tena kosa mmekwisha

jo mose

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2020
Posts
3,476
Reaction score
4,074
Huu ni ujumbe toka kwa sauti ya mtu aliyae nyikani. Baada ya kulimia meno for 5 yrs Safari hii mtalimia kucha tabia ya mtu ni ngozi, furaha yake ni kuona machozi ya watu wakilia. Kuna watu Kama wakipewa haki ya kugawa pumzi duniani Wallah hakuna ambae angebaki duniani.

Kama Kimara waliobomolewa nyumba zao kosa lao kubwa ni kuchagua upinzani, Kama watumishi wa umma wameshughulikiwa haswaa kwa hisia tu walimchagua Lowasa wakinyimwa haki zao kimakusudi, wakiwekewa kikokotoo kianze tumika mwakani ili akistaafu mtu asipate chochote baada ya kutafuna michango yao kwenye mifuko ya hifadhi ya Jamii na kupelekea kuiunganisha baada ya kufilisiwa.

Wewe ni nani hadi utakuwa salama atohitaji kura zenu tena au atabadili katiba ili akutawaleni milele. Mkirudia Tena kosa mmekwishaa mjiandae kwa visasi.

Mwenye sikio na asikie nafasi pekee aliyokupa Mungu ni October ya kuchagua shida au nafuu.
 
Kwa sasa mtaani kuna dhiki kuu sema watu hawana pa kuongelea ndo maana tupo kimya so WaTz wengi watamchagua kwa sababu ya kuamini miaka mitano sio mingi.Kuna watu wana nguvu zao humu nchini wamekaa kimya ili kukubali miaka mitano iishe na kama unabisha subili adanganyike kuongeza muhula uone jamii itavyo react.
 
Naongeza kwa kusema hivi LISSU alikuwa na impact angekuja kugombea 2025 sio hii 2020.Kuna watu wanatamani kujitokeza hadhalani kumpinga jamaa wanaogopa reaction ya jamaa kwa sababu jamaa hana bifu dogo wala kubwa akikubaini we sio kwake siku hiyo hiyo unaanza kuwindwa.
NB:WENGI WANAOGOPA KUJITOKEZA KUMPINGA KWA SABABU WANAJUA AKIPITA WATAKUWA NA HALI MBAYA MNO.
 
Kwa ishu ya visasi kwa kweli ana phd
 
Tatizo namba zilivyoanza kusomwa watu walidhani haitawafikia..kila mtu analia na lake
 
Huu ni ujumbe toka kwa sauti ya mtu aliyae nyikani.Baada ya kulimia meno for 5 yrs Safari hii mtalimia kucha tabia ya mtu ni ngozi, furaha yake ni kuona machozi ya watu wakilia. Kuna watu Kama wakipewa haki ya kugawa pumzi duniani wallahi hakuna ambae angebaki duniani...
Sure mkumbuke balaa ya mbogo aliyejeruhiwa, ni hatari afadhali kummalizia kabisa kuondoa shari.
 
Huu ni ujumbe toka kwa sauti ya mtu aliyae nyikani.Baada ya kulimia meno for 5 yrs Safari hii mtalimia kucha tabia ya mtu ni ngozi, furaha yake ni kuona machozi ya watu wakilia. Kuna watu Kama wakipewa haki ya kugawa pumzi duniani wallahi hakuna ambae angebaki duniani...
Na wote wakasema ' AMINA. Ahimidiwe Bwana Mungu wetu". Ukweli ndiyo huo. Jiwe akirudi madarakani, nchi itaugua.
 
Naongeza kwa kusema hivi LISSU alikuwa na impact angekuja kugombea 2025 sio hii 2020.Kuna watu wanatamani kujitokeza hadhalani kumpinga jamaa wanaogopa reaction ya jamaa kwa sababu jamaa hana bifu dogo wala kubwa akikubaini we sio kwake siku hiyo hiyo unaanza kuwindwa.
NB:WENGI WANAOGOPA KUJITOKEZA KUMPINGA KWA SABABU WANAJUA AKIPITA WATAKUWA NA HALI MBAYA MNO.
Akishinda tundu kissy si watatoka wote kuzungumza mabaya yake ?
 
Sio kuisoma namba, atumbuliwe - aonje utamu wa kutumbuliwa aliojizoesha kuwapa wateule wake!!
Ametesa Sana watz ambao ni mabosi zake October akajiajiri sababu mkataba wake nasi ndo unaisha
 
Kwa sasa mtaani kuna dhiki kuu sema watu hawana pa kuongelea ndo maana tupo kimya so WaTz wengi watamchagua kwa sababu ya kuamini miaka mitano sio mingi.Kuna watu wana nguvu zao humu nchini wamekaa kimya ili kukubali miaka mitano iishe na kama unabisha subili adanganyike kuongeza muhula uone jamii itavyo react.
Mkuu huko chamani walimuwezesha 2015 pia hawamtaki, hakuna cha mitano tena. Amebaki kutishia tu kuwa tusipomchagua haleti maendeleo utatadhani yeye ni Mungu.
 
Mbeleko yake alikuwa Ni yule wa lupaso aliyetuuzia dhahabu feki Safari hayupo na bila kubebwa ajawahi shinda chochote
 
Jiwe amesaidia Sana kuibomoa ccm tunamshukuru kwa Hilo kwa kweli. Ile nadharia ya kuuwa upinzani imekuwa mzigo kwao tena
 
Attachments

  • FB_IMG_1600781151560.jpg
    FB_IMG_1600781151560.jpg
    15.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom