Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda mnawezaje kula Mdudu (Kitimoto) cha hapa kisicho la ladha kama ya kwetu Tanzania?

Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda mnawezaje kula Mdudu (Kitimoto) cha hapa kisicho la ladha kama ya kwetu Tanzania?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nitavumilia tu hadi nikirejea kwa Mapumziko au Majukumu yangu Kumalizika huku ili niendelee Kula Mdudu (Kitimoto) kinachopikwa vyema na Watanzania. Yaani Wabongo wote mlioko hapa Jijini Kampala mnatamba Goli (Eneo) la Kitimoto la Machame kuwa ndiyo wanaipika vizuri wakati ukweli ni kwamba hawajui hata Kukipika na najuta hata kwanini nilienda hapo na kupoteza Hela yangu ambayo bora hata ningeenda tu Kuinunulia Mbunye inipe raha na hili Baridi la Wastani la sasa Kampala.

Na nimeshagundua kwanini Wabongo wengi Kutwa na sana sana Siku za Weekend mnajazana mno hapo Kwa Machame mnakodai kunapikwa Kitimoto Kizuri. Ukweli ni kwamba mnajazana hapo kwakuwa kunapatikana Mademu wa Kiganda wenye Makalio makubwa kama Matenki ya Dawasco Goba, Warembo kutoka nchini Rwanda na wale wa Kinyankole na Watoto wa Vyuo vya Jijini Kampala ambao huwachetueni kwa Utundu wao wa Kitandani wakiwa katika Zoezi la Kubanduliwa nanyi.

Nina uhakika Wachagga wenye kujua Utaalam wa Kumpika na Kumkaanga Mdudu wakija huku watapiga sana Hela.
 
Nitavumilia tu hadi nikirejea kwa Mapumziko au Majukumu yangu Kumalizika huku ili niendelee Kula Mdudu ( Kitimoto ) kinavchopikwa vyema na Watanzania. Yaani Wabongo wote mlioko hapa Jijini Kampala mnatamba Goli ( Eneo ) la Kitimoto la Machame kuwa ndiyo wanaipika vizuri wakati ukweli ni kwamba hawajui hata Kukipika na najuta hata kwanini nilienda hapo na kupoteza Hela yangu ambayo bora hata ningeenda tu Kuinunulia Mbunye inipe raha na hili Baridi la Wastani la sasa Kampala.

Na nimeshagundua kwanini Wabongo wengi Kutwa na sana sana Siku za Weekend mnajazana mno hapo Kwa Machame mnakodai kunapikwa Kitimoto Kizuri. Ukweli ni kwamba mnajazana hapo kwakuwa kunapatikana Mademu wa Kiganda wenye Makalio makubwa, Warembo kutoka nchini Rwanda na wale wa Kinyankole na Watoto wa Vyuo vya Jijini Kampala ambao huwachetueni kwa Utundu wao wa Kitandani wakiwa katika Zoezi la Kubanduliwa nanyi.

Nina uhakika Wachagga wenye kujua Utaalam wa Kumpika na Kumkaanga Mdudu wakija huku watapiga sana Hela.
MKUUU NIMRTOKA MWEZI JANA HAPO NTINDA NDUGU KUNA MASSAWE MMOJA KAJIPANGA NA KINA MUSHI WANAPIGA HELA SEMA TU WALE MADADA KUHUDUMIA WATEJA KIDOGO SHIDA
 
MKUUU NIMRTOKA MWEZI JANA HAPO NTINDA NDUGU KUNA MASSAWE MMOJA KAJIPANGA NA KINA MUSHI WANAPIGA HELA SEMA TU WALE MADADA KUHUDUMIA WATEJA KIDOGO SHIDA
Nipe maelekezo tafadhali ya kufika hapo Mkuu kwani leo nina hamu sana ya Kumla Mdudu japo Waganda kumtengeza hawajui.
 
NA SHEMEJI YAKOO KULE SEMÀ NIOIJICHANGANYA WIKIYA KWANZA TULILALANKAMA MTU NA DADA ALIPOSIKIA HARUFU YA KTIMOTO

NI MSLAMU NAHISI KWENYE MATE YALE AKAHISI NAMWAMBUKIZA KANCER NILIPEWA UBAVU SEVEN DAYS MKUU NKARAMAN NIGEUKE LOH...

IKABIDI NIWE MPOLE SKU YA MWISHO AKANITUMIA USAFIRI NKASHUKA KITUON NKAKODI LODGE MOJA PALE KAMPALA YAMCHAGA PIA

NKAJIPIGILIA KITIMOTO YANGU NA KATOTO KINGINE KA KIGANDA NKACHAPA LAPA

LOH
 
Halafu ile Guest yetu Watanzania tuliosoma huku Uganda miaka ya 90 hadi 2000 ya Samalien iliyokuwa jirani na Uwanja wa Nakivubo kama unelekea Soko la Owino iko wapi tena Siku hizi? Yaani kama GENTAMYCINE sikupata UKIMWI kipindi kile nilipokuwa 'Nawabandua' Mademu wa Kiganda tena kipindi kile UKIMWI ndiyo ukiwa umepamba Moto naamini sitoupata wakati huu UKIMWI umepungua Kasi.
 
Samalien
Lusam
888

Mmiliki wa Lusam na Samalien alikuwa mmoja. Samalien ilikuwa mkombozi wa wanafunzi. Chumba kimoja watu kibao. Mnapishana kugonga mademu kwa zamu.
 
Halafu ile Guest yetu Watanzania tuliosoma huku Uganda miaka ya 90 hadi 2000 ya Samalien iliyokuwa jirani na Uwanja wa Nakivubo kama unelekea Soko la Owino iko wapi tena Siku hizi? Yaani kama GENTAMYCINE sikupata UKIMWI kipindi kile nilipokuwa 'Nawabandua' Mademu wa Kiganda tena kipindi kile UKIMWI ndiyo ukiwa umepamba Moto naamini sitoupata wakati huu UKIMWI umepungua Kasi.
Ipooo mkuuu zile ndioo zinatiulindaaga hata ukikamakizana na mama watoto unaenda pale unalala siju mbili unamwagilia maji....nakamura kazuri kanene nilishinda achoo nkakawekea 50000 noti yao kukatest nkaenda nje kurudi nkakuita kama ilivyo kako uchi karnataka omb dah nilikapenda sana Sept naona mbali kurudi kule
 
Back
Top Bottom