Nitavumilia tu hadi nikirejea kwa Mapumziko au Majukumu yangu Kumalizika huku ili niendelee Kula Mdudu (Kitimoto) kinachopikwa vyema na Watanzania. Yaani Wabongo wote mlioko hapa Jijini Kampala mnatamba Goli (Eneo) la Kitimoto la Machame kuwa ndiyo wanaipika vizuri wakati ukweli ni kwamba hawajui hata Kukipika na najuta hata kwanini nilienda hapo na kupoteza Hela yangu ambayo bora hata ningeenda tu Kuinunulia Mbunye inipe raha na hili Baridi la Wastani la sasa Kampala.
Na nimeshagundua kwanini Wabongo wengi Kutwa na sana sana Siku za Weekend mnajazana mno hapo Kwa Machame mnakodai kunapikwa Kitimoto Kizuri. Ukweli ni kwamba mnajazana hapo kwakuwa kunapatikana Mademu wa Kiganda wenye Makalio makubwa kama Matenki ya Dawasco Goba, Warembo kutoka nchini Rwanda na wale wa Kinyankole na Watoto wa Vyuo vya Jijini Kampala ambao huwachetueni kwa Utundu wao wa Kitandani wakiwa katika Zoezi la Kubanduliwa nanyi.
Nina uhakika Wachagga wenye kujua Utaalam wa Kumpika na Kumkaanga Mdudu wakija huku watapiga sana Hela.