mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
mama hana pesa ya kulipa ili kupewa hio hudumaKwetu gari lilitumbukia kwenye bahari na kusogeshwa kabisa kiasi cha kutoweka, utaalam ukatumika wa hali ya juu na wa kisasa, nyie mtoni tu mumeshindwa siku kumi mnatokwa udenda. Ombeni msaada waje wataalamu na madubwasha yao muachwe vinywaa wazi.
Vitu vingine haviitaji kujifanya mjuaji