Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Umasikini wa Mtanzania haujafikia ule wa wale wakazi wa kibera. Aisee Kenya kuna masikini kwelipole sana ila usiwaze sana. ipo siku mutafika na kuwa kama Kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umasikini wa Mtanzania haujafikia ule wa wale wakazi wa kibera. Aisee Kenya kuna masikini kwelipole sana ila usiwaze sana. ipo siku mutafika na kuwa kama Kenya.
Vifaa vya hali ya juu,wale divers wenye vitambu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Umesahau kile kiza kinene mle baharini, na urefu wa kitu km 60m chini..
Kulitumika vifaa vya hali ya juu sana mpka kwenda kulitambua lile gari..
Mi nashangaa hko kwwnu mtoni bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndo unaonesha upeo wako mdogo sana. Yani unafananisha kutoa gari ya Tani moja na gari ambayo yenyewe ni Tani 13 plus mzigo wa Tani 30 katika maji machafu yanayotembea kwa kasi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
sio Wakenya wote wanaishi Kibera.Umasikini wa Mtanzania haujafikia ule wa wale wakazi wa kibera. Aisee Kenya kuna masikini kweli
Siku ya kumi na moja leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vifaa vya hali ya juu,wale divers wenye vitambu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ah my God,now i see everything.
Mama kapike bana,lori tupu hata likae mwezi hamna shida.na kuna uwezekano likaozea humo humo.maana,gharama ya kuleta winch hapo ni 10mln na anatakiwa azitoe huyo mama anayeliliumia kupata hasara ya kifaa chake na mfanya kazi wake.Siku ya kumi na moja leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaumia pole pole kuona hamna vifaa km vile[emoji382][emoji382][emoji382]
Sisi watz ni akili kubwa rada ya nini wakati hatukuwa na ndege zetu ? Yaani tuingie gharama za rada kwa ndege zisizo zetuYaani hili tukio linazidi kuonyesha jinsi hawa majirani huwa wamechelewa, unakumbuka juzi waliponunua radar na kushangilia nchi yote, yaani sikuamini miaka yote hiyo walikua wanatumia radar zetu.
Jamaa hupenda kuongea sana lakini matendo zero kabisa, kuvuta lori kutoka kwenye mtoni wameshindwa siku kumi sasa, mpaka wanaelekea kukata tamaa.
Serekali ya wanyonge[emoji23][emoji23][emoji23]kodi mkuuMama kapike bana,lori tupu hata likae mwezi hamna shida.na kuna uwezekano likaozea humo humo.maana,gharama ya kuleta winch hapo ni 10mln na anatakiwa azitoe huyo mama anayeliliumia kupata hasara ya kifaa chake na mfanya kazi wake.
Umekuja kivingine tena[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi watz ni akili kubwa rada ya nini wakati hatukuwa na ndege zetu ? Yaani tuingie gharama za rada kwa ndege zisizo zetu
Wakati Wa nyerere? Uitaji Wa rd za kisasa unategemeaa na soko na trafiki ya ndege angani wakati Wa nyerere hakukuwa hata na mambo ya utalii hapa tz ,na ukumbuke kulikuwa na EAC ya kwanya Sera zake uzijui zilikuwaje ? Hadi mkaiba ndege zetuUmekuja kivingine tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Atcl inaonyesha ilianza kitambo sana, ina maanisha wakati wa atcl part one hamkua na haja ya kununua radar[emoji23][emoji23]
Hzo ndege zenu ndio mlikua mnaziendesha bila rada ndio manakw tukaziiba sisi wenye radaWakati Wa nyerere? Uitaji Wa rd za kisasa unategemeaa na soko na trafiki ya ndege angani wakati Wa nyerere hakukuwa hata na mambo ya utalii hapa tz ,na ukumbuke kulikuwa na EAC ya kwanya Sera zake uzijui zilikuwaje ? Hadi mkaiba ndege zetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile gari ingetoka sema tuna uhaba wa vifaa, na wazamiaji
Kuna kipindi gari lilizama baharini na kutoweka, ikabidi wataalam Wakenya watumie mbinu za hali ya juu kulisaka mpaka wakalipata na kulitoa na kuopoa miili ya mama na mwanaye, kwa siku hizo wakati juhudi zinaendelea, JF ilikua inawaka moto, Watz walikua wanafungua nyuzi kila siku za kuchekelea.
Wakajisahau kwao walivyo nyuma sana kwenye haya mambo, meli yao ilipozama ziwa Victoria, ilibidi juhudi za uokoaji kusitishwa kisa hawakua na mwangaza wa kutosha usiku hivyo ikabidi abiria wajifie mbali na baadhi ya miili yao kuopolewa ila mingine ikaachwa iliwe na viumbe vya humo ziwani, juzi hapa siku kumi zimepita tangu lori kutumbukia kwenye mtoni, wamehangaika na kushindwa kulitoa.
Mmiliki wa lori amekata tamaa na kulisahau.