mama hana pesa ya kulipa ili kupewa hio hudumaKwetu gari lilitumbukia kwenye bahari na kusogeshwa kabisa kiasi cha kutoweka, utaalam ukatumika wa hali ya juu na wa kisasa, nyie mtoni tu mumeshindwa siku kumi mnatokwa udenda. Ombeni msaada waje wataalamu na madubwasha yao muachwe vinywaa wazi.
Sasa hapo serikali imetoka wapi gari Ile ya kwanza ilikuwa na uwezo wa kuitoa ila bei ndo walishindwanaYa bahari huwa yamesimama? Ushawahi sikia Sea Currents? Sea Depth? 10 days Serikali imeshindwa kuiokoa lori ni ishara kuwa hamna equipments na ujuzi wa kazi ya aina hiyo. Ombeni msaada Kenya mwenye gari atafute posho.
Ktk wakenya wasiokuwa na akili hivi munajua kama huyo ndio namba mojaMnatia huruma kwa kuendelea kubaki maskini huko chini, mnashindwa kuvuta lori kwenye mto....
Sasa nikisema mkenya hana akili nisikie mtu ananiuliza kwanini.
Nambaka.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nyie watu akili zenu mnazijua wenyewe.
Unajua WAMI mtoni mpaka dar kwenye winchi za kunyangua vitu vizito ni km ngapi??,ukilinganisha na pale mombasa ilipozama noah[emoji2960][emoji2960]
Unajua zilitumia siku ngapi kuopoa mwili wa marehemu aliyekuwa kabanwa ndani ya gari,ulilinganisha na marehemu dada na binti yake waliokuwa wamefungwa mikanda tu ndani ya noah mombasa[emoji2960][emoji2960]
Unajua tofauti ya uzito kati ya lori lenye cement 30ton vs noa yenye watu wawili na mdori wa kuchezea mtoto ni nguvu kiasi gani zinahitajika kwa kila moja[emoji2960][emoji2960]
Mimi sijacheka kwa reasoning yako,ila nimesikitika[emoji20][emoji20]
Wewe ni mwepesi sana jamaa yangu.hivi unadhani hiyo gari ikitoka humo itafaa tena zaidi ya kupimwa scrapper!!!!Gari limewashinda kutoa kwenye mto, siku kumi sasa mpaka mmliki ameamua kulitelekeza, eti kina kirefu, yaani nyie watu huwa mumejichokea mbaya sana.
hahaa hivi karibuni watatoa tamko lori halipo tena tz !! wameliombea likapotea km korona mazeee..mswahilii dah😂Gari limewashinda kutoa kwenye mto, siku kumi sasa mpaka mmliki ameamua kulitelekeza, eti kina kirefu, yaani nyie watu huwa mumejichokea mbaya sana.
Kuna kipindi gari lilizama baharini na kutoweka, ikabidi wataalam Wakenya watumie mbinu za hali ya juu kulisaka mpaka wakalipata na kulitoa na kuopoa miili ya mama na mwanaye, kwa siku hizo wakati juhudi zinaendelea, JF ilikua inawaka moto, Watz walikua wanafungua nyuzi kila siku za kuchekelea.
Wakajisahau kwao walivyo nyuma sana kwenye haya mambo, meli yao ilipozama ziwa Victoria, ilibidi juhudi za uokoaji kusitishwa kisa hawakua na mwangaza wa kutosha usiku hivyo ikabidi abiria wajifie mbali na baadhi ya miili yao kuopolewa ila mingine ikaachwa iliwe na viumbe vya humo ziwani, juzi hapa siku kumi zimepita tangu lori kutumbukia kwenye mtoni, wamehangaika na kushindwa kulitoa.
Mmiliki wa lori amekata tamaa na kulisahau.
Hahahaa!!mtoni bana, siku kumi ni nyingi sana[emoji23][emoji23]Kuna kipindi gari lilizama baharini na kutoweka, ikabidi wataalam Wakenya watumie mbinu za hali ya juu kulisaka mpaka wakalipata na kulitoa na kuopoa miili ya mama na mwanaye, kwa siku hizo wakati juhudi zinaendelea, JF ilikua inawaka moto, Watz walikua wanafungua nyuzi kila siku za kuchekelea.
Wakajisahau kwao walivyo nyuma sana kwenye haya mambo, meli yao ilipozama ziwa Victoria, ilibidi juhudi za uokoaji kusitishwa kisa hawakua na mwangaza wa kutosha usiku hivyo ikabidi abiria wajifie mbali na baadhi ya miili yao kuopolewa ila mingine ikaachwa iliwe na viumbe vya humo ziwani, juzi hapa siku kumi zimepita tangu lori kutumbukia kwenye mtoni, wamehangaika na kushindwa kulitoa.
Mmiliki wa lori amekata tamaa na kulisahau.
Umesahau kile kiza kinene mle baharini, na urefu wa kitu km 60m chini..Sasa nikisema mkenya hana akili nisikie mtu ananiuliza kwanini.
Nambaka.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nyie watu akili zenu mnazijua wenyewe.
Unajua WAMI mtoni mpaka dar kwenye winchi za kunyangua vitu vizito ni km ngapi??,ukilinganisha na pale mombasa ilipozama noah[emoji2960][emoji2960]
Unajua zilitumia siku ngapi kuopoa mwili wa marehemu aliyekuwa kabanwa ndani ya gari,ulilinganisha na marehemu dada na binti yake waliokuwa wamefungwa mikanda tu ndani ya noah mombasa[emoji2960][emoji2960]
Unajua tofauti ya uzito kati ya lori lenye cement 30ton vs noa yenye watu wawili na mdori wa kuchezea mtoto ni nguvu kiasi gani zinahitajika kwa kila moja[emoji2960][emoji2960]
Mimi sijacheka kwa reasoning yako,ila nimesikitika[emoji20][emoji20]
Wewe tulia iwapepeteni huko wacha kujifanya kama unaipotezea.hahaa hivi karibuni watatoa tamko lori halipo tena tz !! wameliombea likapotea km korona mazeee..mswahilii dah😂
Ni sawa na kusema serikali yenu haiwezi saidia mtu na huduma yoyote kama hana pesa za kulipa.mama hana pesa ya kulipa ili kupewa hio huduma
Vitu vingine haviitaji kujifanya mjuaji
Wewe ni mwepesi sana jamaa yangu.hivi unadhani hiyo gari ikitoka humo itafaa tena zaidi ya kupimwa scrapper!!!!
Kwahiyo yeye kaangalia gharama za kuleta winch~$ anachokwenda kuopoa,kaona hailipi bora aache tu.
Winch 10mln,hiyo vyuma hata uuze nini hufikishi hiyo 10mln.
Fikiria kabla ya kuandika, ishu ni kwamba kutoa gari ilo it was personal matter at first instance Lakin kwa kuwa hakuna private organ capable of that so taifas will.
pole sana ila usiwaze sana. ipo siku mutafika na kuwa kama Kenya.Tanzania ni nchi pekee ambapo watu tunafuraha hata tukiwa katika lindi la umasikini.
Tumia akili kidogo bas MK.Sio suala la kufaa au kutofaa, lori lote kwenye mto la nini libaki humo, na ukweli mumejaribu kulitoa ikashindikana maana uwezo hamuna ila tatizo lenu kiburi, mumeogopa kuomba msaada tuje wenye uwezo huo.