Watanzania mlitusema wakati tulikawia kutoa gari kutoka baharini, nyie mumeshindwa kwenye mto, siku kumi sasa

Umesahau kile kiza kinene mle baharini, na urefu wa kitu km 60m chini..
Kulitumika vifaa vya hali ya juu sana mpka kwenda kulitambua lile gari..

Mi nashangaa hko kwwnu mtoni bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Vifaa vya hali ya juu,wale divers wenye vitambu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ah my God,now i see everything.
 
Hapo ndo unaonesha upeo wako mdogo sana. Yani unafananisha kutoa gari ya Tani moja na gari ambayo yenyewe ni Tani 13 plus mzigo wa Tani 30 katika maji machafu yanayotembea kwa kasi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huyo jamaa,njaa imeharibu hadi bongo yake
 
Umasikini wa Mtanzania haujafikia ule wa wale wakazi wa kibera. Aisee Kenya kuna masikini kweli
sio Wakenya wote wanaishi Kibera.
kuna Watanzania waliovamia miji na vitongoji vya nchini Kenya na twaziona hali zao. poleni sana. nakuombea Mungu ufanikiwe maishani, utoke kwenye nchi iliyoorodheshwa ndani ya nchi fukara ulimwenguni.
 
Vifaa vya hali ya juu,wale divers wenye vitambu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ah my God,now i see everything.
Siku ya kumi na moja leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaumia pole pole kuona hamna vifaa km vile[emoji382][emoji382][emoji382]
 
Siku ya kumi na moja leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaumia pole pole kuona hamna vifaa km vile[emoji382][emoji382][emoji382]
Mama kapike bana,lori tupu hata likae mwezi hamna shida.na kuna uwezekano likaozea humo humo.maana,gharama ya kuleta winch hapo ni 10mln na anatakiwa azitoe huyo mama anayeliliumia kupata hasara ya kifaa chake na mfanya kazi wake.
 
Sisi watz ni akili kubwa rada ya nini wakati hatukuwa na ndege zetu ? Yaani tuingie gharama za rada kwa ndege zisizo zetu
 
Serekali ya wanyonge[emoji23][emoji23][emoji23]kodi mkuu
 
Sisi watz ni akili kubwa rada ya nini wakati hatukuwa na ndege zetu ? Yaani tuingie gharama za rada kwa ndege zisizo zetu
Umekuja kivingine tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Atcl inaonyesha ilianza kitambo sana, ina maanisha wakati wa atcl part one hamkua na haja ya kununua radar[emoji23][emoji23]
 
Umekuja kivingine tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Atcl inaonyesha ilianza kitambo sana, ina maanisha wakati wa atcl part one hamkua na haja ya kununua radar[emoji23][emoji23]
Wakati Wa nyerere? Uitaji Wa rd za kisasa unategemeaa na soko na trafiki ya ndege angani wakati Wa nyerere hakukuwa hata na mambo ya utalii hapa tz ,na ukumbuke kulikuwa na EAC ya kwanya Sera zake uzijui zilikuwaje ? Hadi mkaiba ndege zetu
 
Hzo ndege zenu ndio mlikua mnaziendesha bila rada ndio manakw tukaziiba sisi wenye rada
 
Failed state.
 
Gari ishatolewa wewe usifananishe tz na vitu vya ajabuajabu

Mnati aibu sana nyie watu yaani, maji madogo ya mto tu yanawapiga chenga karibu mwezi, sasa ingekua ziwa au kama sisi bahari.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…