Kenya 2022 Watanzania mmepata wapi Uhalali wa Kuusifia Uchaguzi Mkuu wa Kenya wakati Naibu Mwenyekiti wa IEBC na Makamishina Wanne wameyakataa?

Kenya 2022 Watanzania mmepata wapi Uhalali wa Kuusifia Uchaguzi Mkuu wa Kenya wakati Naibu Mwenyekiti wa IEBC na Makamishina Wanne wameyakataa?

Kenya 2022 General Election
Makamishna wako 7 na 4 wamekataa
Na hapa ndipo naona haya Matokeo yaliyompa Ushindi William Ruto kwenda Kutenguliwa na ama Uchaguzi huo Kurudiwa au Kura Kuhesabiwa upya na hata Mshindwa Raila Odinga kupewa Ushindi.
 
Kwani wanaopiga kura kumchagua Rais ni Makamishna wa Tume au Wananchi wa Kenya?
Sasa kama hao Wananchi ndiyo wapiga Kura kwanini wakishamaliza kupiga hizo Kura zao huwa hawajitangazii Matokeo na badala yake wanasubiri hadi Tume ya Uchaguzi Mkuu ya IEBC yenye hawa Makamishina unaowapuuza ndiyo Wahesabu na Wamtangaze Mshindi?
 
Matokeo ya kura yaliyotumika kumtangaza mshindi ni yale yaliyopatikana kwenye vituo vya kupigia kura. Hivyo sababu ya kutengua matekeo hazipo, hata ikirudiwa uchaguzi aliyeshindwa ndio atashindwa zaidi maana wapiga kura wataona kuna namna mbona huyu anabebwa na anayemaliza muda wake.
 
Kwamba amemaliza muda wake. hahaha
 
Hao 4 commissioners wamesetiwa makusudi ili kumchanganya Raila, lengo wamlie pesa zake Supreme Court, then hakuna hoja yenye mashiko.
Raila kwenye ulimwengu wa wanasheria vibaraka wa kenya huwa anaitwa 'The Cash Cow', wanamdanganya anafungua kesi zisizo na kichwa wala miguu then wanapiga Commission. Mfano kwenye BBI ilikua obviously anaenda kushindwa kina Makau mutua wakamdanganya afungue kesi mahakamani matokeo yake akashindwa kwenye level zoteza mahakama.
 
Hapo ndipo anapaswa amshtukie his enemy-turned friend Uhuru. BBI failed. Handshake failed. General election failed. Nani asikubali kwamba pengine hawakuwa maadui na naibu wake Ruto, kama umma ulivyokuwa ukijaribu kuaminishwa?
 
Madai yao hayana mashiko, pia isitoshe ni mamluki wa Kenyatta.

1. Wanadai total percentage ya matokeo yaliyotangazwa inazidi 100% kwa margin ya 0.01, ambayo wamesema ina translate to kura takribani 140,000. Hii imeonyesha ni kiasi gani hawana ufahamu wa hesabu na hawakupaswa hata kuwa hapo walipo (Hii ndio wanasema hoja yao ya msingi)

2. Wanasema "Further TAKE NOTICE that Mr. Chebukati claimed that Raila Odinga attained 25% of votes in 34 counties
while William Ruto attained 25% in 39 counties—the question is; which figures in the 34 and 39 counties respectively constituted the independent variables to warrant Mr. Chebukati’s conclusion of 25% in 34 counties and 25% in 39 counties for Raila and Ruto respectively" wanashangaa Ruto kufikia 25% katika majimbo 39 na Raila kufikia 25% kwenye majimbo 34, kwa mahesabu yao wamechukua 39 + 34 wakaona ni zaidi ya majimbo 47 yaliyopiga kura, wamesahau kuwa wanadeal na 25% margin ambayo kulikua na majimbo ambayo Ruto na Odinga wote walipass hiyo margin.

This time around Odinga ameshindwa kwa aibu sana, alitegemea janja janja akasahau kuwekeza kwenye Bright minds.
 
Si ajabu Chebukati aliamua kuwapuuza tangu mwanzo kabisa, akawafanya watangazaji tu wa matokeo ambayo tayari yamehakikiwa. 🙂

Ila najua kisiasa, miongoni mwa hao 4, yupo mmoja smart ambaye ni kiongozi wao. Huyo ndiye kimsingi ameandaa hiyo taarifa (ambayo bila shaka imetoka kwa mtu anayejua ukweli, ila tu amefanya makosa ya makusudi ili kuwapotosha wengine 3, na hivyo kumdhalilisha Raila Odinga).
 
Hapo ndipo anapaswa amshtukie his enemy-turned friend Uhuru. BBI failed. Handshake failed. General election failed. Nani asikubali kwamba pengine hawakuwa maadui na naibu wake Ruto, kama umma ulivyokuwa ukijaribu kuaminishwa?
Uhuru alichukua maamuzi ya kuusafisha uongozi wa serikali ya Jubilee kwa gharama ya kumuingiza hasimu wake mkuu kwenye serikali na kumsaliti Rafiki yake Ruto, Kwa bahati nzuri Ruto aliliona hilo mapema akaanza kujipanga bila kusubiri support/endorsement ya Uhuru, Ruta akapanga mikakati yake tangu 2018 matokeo yake yameonekana kwenye uchaguzi huu, upande mwingine Raila akawa mlevi wa madaraka akaona atapita kirahisi kwakuwa ana support ya serikali.
 
I respect your perspective, japo nitatofautiana na wewe kwa hilo.

Raila Odinga huko nyuma aliwasumbua sana Uhuru na Ruto (licha ya kwamba at one time walikuwa timu moja). Sasa ule ugomvi, hasa uliozua vita na mauaji, na kushtakiana the Hague, matokeo kufutwa na kurudiwa uchaguzi upya 2017, wakasusia, ni wazi Raila Odinga kwa Uhuru alikuwa amevuka mipaka ya uadui na kuwa hasimu.

Uhuru inaonekana alikuwa amemmezea fundo moyoni na kumkubalia tu awe naye (plus ahadi-bubu ya kumrithisha kiti baada yake) ili nchi itulie, ajenda yake na maendeleo visonge mbele.

Vinginevyo, kwa influence ya Raila wakati huo, na tuhuma iliyoonekana kuwa wazi katika mchakato wa uchaguzi, angezua taharuki kubwa zaidi na nchi isingetawalika.

Which means, alilazimika kumwaminisha Raila, umma, especially supporters wa Raila, kwamba sasa yeye hayuko tena na makamu wake Ruto, ili kumwandalia njia RO.

If that was not the case, kwa ushawishi na mamlaka ya Uhuru, angemwondoa kabisa Ruto kwenye nafasi ya umakamu wake na kumweka mtu mwingine (kupitia mchakato wa Bunge na Seneti, of course).

Na wala Uhuru asingeshindwa kitu kwa sababu kuna viongozi wengi tu tena wa chama chake waliosafishwa wakati wa fukuto ndani ya chama na serikali in the past two years.

Another evidence muhimu sana pia ni kwamba Ruto na Uhuru wamekuwa makini sana (tangu waonesha hali ya kutofautiana hadharani) katika uchaguzi wa maneno na namna ya kuwasilisha kauli walizokuwa wakirushiana.

Ni mara chache sana (na hasa hapa mwishoni kuelekea kwenye uchaguzi), ndipo joto lilipanda kidogo, but ilikuwa ya kutawalika. Kazi hiyo ya purukushani mara nyingi ilifanywa na viongozi wengine loyal na supporters wa pande hizi mbili (ambao pengine walikuwa hawajui dili lililokuwa likichezwa na hawa bosses wa kwanza na wa pili.

Na hii danganya-toto ya Uhuru kumtenga ilikuwa opportunity kubwa sana kwa William Ruto.

Kwanza, anaendelea ku-enjoy privileges na heshima almost zote muhimu za vice president (tena akiwa amepunguziwa mzigo wa majukumu ya msingi), na hivyo kujitanua kisiasa, kueneza sera zake, kusoma hali ya hewa kisiasa, kuwajua marafiki na maadui, kupima joto na kina cha maji, kujimegea ^mafungu^ as usual, na kuendelea kujitambulisha kwa Wakenya na kulikana zaidi.

Pili, ingekuwa rahisi kuchagulika baada ya Uhuru kwa sababu angeji-portray kama mhanga (victim), aliyenyimwa nafasi kamili ya umakamu. Hii ingemsaidia kuishambulia na kuikosoa kihalali serikali ileile ambayo yeye ni kiongozi wake mkuu namba 2.

Ikumbukwe kwamba wapinzani wagombea hupewa kipaumbele na raia kuliko wale waliomaliza muda wao na wanaomba ridhaa nyingine ya uongozi.
 
Ukiwa wewe si mpenzi wa HAKI na AMANI Basi huu uchaguzi wa kenya utakufaa nini.

Watu wajinga na Wapumbavu huwa wanategemea mambo mabaya yawakute ndio wajue umuhimu wa kutenda haki na kuheshimu maamuzi ya watu.

Tanzania tujifunze tungali tuna akili ili tusichanganyikiwe tukashindwa kujua nn cha kufanya huko mbeleni.
Hakuna kiongozi CCM mwenye akili hiyo labda Samia peke yake.
 
Back
Top Bottom