- Thread starter
- #21
Na hapa ndipo naona haya Matokeo yaliyompa Ushindi William Ruto kwenda Kutenguliwa na ama Uchaguzi huo Kurudiwa au Kura Kuhesabiwa upya na hata Mshindwa Raila Odinga kupewa Ushindi.Makamishna wako 7 na 4 wamekataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapa ndipo naona haya Matokeo yaliyompa Ushindi William Ruto kwenda Kutenguliwa na ama Uchaguzi huo Kurudiwa au Kura Kuhesabiwa upya na hata Mshindwa Raila Odinga kupewa Ushindi.Makamishna wako 7 na 4 wamekataa
Sasa kama hao Wananchi ndiyo wapiga Kura kwanini wakishamaliza kupiga hizo Kura zao huwa hawajitangazii Matokeo na badala yake wanasubiri hadi Tume ya Uchaguzi Mkuu ya IEBC yenye hawa Makamishina unaowapuuza ndiyo Wahesabu na Wamtangaze Mshindi?Kwani wanaopiga kura kumchagua Rais ni Makamishna wa Tume au Wananchi wa Kenya?
Matokeo ya kura yaliyotumika kumtangaza mshindi ni yale yaliyopatikana kwenye vituo vya kupigia kura. Hivyo sababu ya kutengua matekeo hazipo, hata ikirudiwa uchaguzi aliyeshindwa ndio atashindwa zaidi maana wapiga kura wataona kuna namna mbona huyu anabebwa na anayemaliza muda wake.Sasa kama hao Wananchi ndiyo wapiga Kura kwanini wakishamaliza kupiga hizo Kura zao huwa hawajitangazii Matokeo na badala yake wanasubiri hadi Tume ya Uchaguzi Mkuu ya IEBC yenye hawa Makamishina unaowapuuza ndiyo Wahesabu na Wamtangaze Mshindi?
Kwamba amemaliza muda wake. hahahaMatokeo ya kura yaliyotumika kumtangaza mshindi ni yale yaliyopatikana kwenye vituo vya kupigia kura. Hivyo sababu ya kutengua matekeo hazipo, hata ikirudiwa uchaguzi aliyeshindwa ndio atashindwa zaidi maana wapiga kura wataona kuna namna mbona huyu anabebwa na anayemaliza muda wake.
Raila kwenye ulimwengu wa wanasheria vibaraka wa kenya huwa anaitwa 'The Cash Cow', wanamdanganya anafungua kesi zisizo na kichwa wala miguu then wanapiga Commission. Mfano kwenye BBI ilikua obviously anaenda kushindwa kina Makau mutua wakamdanganya afungue kesi mahakamani matokeo yake akashindwa kwenye level zoteza mahakama.Hao 4 commissioners wamesetiwa makusudi ili kumchanganya Raila, lengo wamlie pesa zake Supreme Court, then hakuna hoja yenye mashiko.
Hapo ndipo anapaswa amshtukie his enemy-turned friend Uhuru. BBI failed. Handshake failed. General election failed. Nani asikubali kwamba pengine hawakuwa maadui na naibu wake Ruto, kama umma ulivyokuwa ukijaribu kuaminishwa?Raila kwenye ulimwengu wa wanasheria vibaraka wa kenya huwa anaitwa 'The Cash Cow', wanamdanganya anafungua kesi zisizo na kichwa wala miguu then wanapiga Commission. Mfano kwenye BBI ilikua obviously anaenda kushindwa kina Makau mutua wakamdanganya afungue kesi mahakamani matokeo yake akashindwa kwenye level zoteza mahakama.
Si ajabu Chebukati aliamua kuwapuuza tangu mwanzo kabisa, akawafanya watangazaji tu wa matokeo ambayo tayari yamehakikiwa. 🙂Madai yao hayana mashiko, pia isitoshe ni mamluki wa Kenyatta.
1. Wanadai total percentage ya matokeo yaliyotangazwa inazidi 100% kwa margin ya 0.01, ambayo wamesema ina translate to kura takribani 140,000. Hii imeonyesha ni kiasi gani hawana ufahamu wa hesabu na hawakupaswa hata kuwa hapo walipo (Hii ndio wanasema hoja yao ya msingi)
2. Wanasema "Further TAKE NOTICE that Mr. Chebukati claimed that Raila Odinga attained 25% of votes in 34 counties
while William Ruto attained 25% in 39 counties—the question is; which figures in the 34 and 39 counties respectively constituted the independent variables to warrant Mr. Chebukati’s conclusion of 25% in 34 counties and 25% in 39 counties for Raila and Ruto respectively" wanashangaa Ruto kufikia 25% katika majimbo 39 na Raila kufikia 25% kwenye majimbo 34, kwa mahesabu yao wamechukua 39 + 34 wakaona ni zaidi ya majimbo 47 yaliyopiga kura, wamesahau kuwa wanadeal na 25% margin ambayo kulikua na majimbo ambayo Ruto na Odinga wote walipass hiyo margin.
This time around Odinga ameshindwa kwa aibu sana, alitegemea janja janja akasahau kuwekeza kwenye Bright minds.
Uhuru alichukua maamuzi ya kuusafisha uongozi wa serikali ya Jubilee kwa gharama ya kumuingiza hasimu wake mkuu kwenye serikali na kumsaliti Rafiki yake Ruto, Kwa bahati nzuri Ruto aliliona hilo mapema akaanza kujipanga bila kusubiri support/endorsement ya Uhuru, Ruta akapanga mikakati yake tangu 2018 matokeo yake yameonekana kwenye uchaguzi huu, upande mwingine Raila akawa mlevi wa madaraka akaona atapita kirahisi kwakuwa ana support ya serikali.Hapo ndipo anapaswa amshtukie his enemy-turned friend Uhuru. BBI failed. Handshake failed. General election failed. Nani asikubali kwamba pengine hawakuwa maadui na naibu wake Ruto, kama umma ulivyokuwa ukijaribu kuaminishwa?
Wamegeuka kituko mtandaoni.Si ajabu Chebukati aliamua kuwapuuza tangu mwanzo kabisa, akawafanya watangazaji tu wa matokeo ambayo tayari yamehakikiwa. 🙂
I respect your perspective, japo nitatofautiana na wewe kwa hilo.Uhuru alichukua maamuzi ya kuusafisha uongozi wa serikali ya Jubilee kwa gharama ya kumuingiza hasimu wake mkuu kwenye serikali na kumsaliti Rafiki yake Ruto, Kwa bahati nzuri Ruto aliliona hilo mapema akaanza kujipanga bila kusubiri support/endorsement ya Uhuru, Ruta akapanga mikakati yake tangu 2018 matokeo yake yameonekana kwenye uchaguzi huu, upande mwingine Raila akawa mlevi wa madaraka akaona atapita kirahisi kwakuwa ana support ya serikali.
Hakuna kiongozi CCM mwenye akili hiyo labda Samia peke yake.Ukiwa wewe si mpenzi wa HAKI na AMANI Basi huu uchaguzi wa kenya utakufaa nini.
Watu wajinga na Wapumbavu huwa wanategemea mambo mabaya yawakute ndio wajue umuhimu wa kutenda haki na kuheshimu maamuzi ya watu.
Tanzania tujifunze tungali tuna akili ili tusichanganyikiwe tukashindwa kujua nn cha kufanya huko mbeleni.