johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanini unapika mbege?!Yesu ni kiongozi wetu wa kiroho, Gwajima na Silaa wanatusaidia nini?
Walevi kama wewe mnyweKwanini unapika mbege?!
Ili tukamtumikie Yesu vizuriWalevi kama wewe mnywe
Yesu hakuwa mleviIli tukamtumikie Yesu vizuri
YESU ni Mungu sio kiongozi wa kirohoYesu ni kiongozi wetu wa kiroho, Gwajima na Silaa wanatusaidia nini?
Yesu ni bwana na mwokozi wetu na ndio tumaini letuYesu ni kiongozi wetu wa kiroho, Gwajima na Silaa wanatusaidia nini?
Kwahiyo Yesu sio mtoto wa Mungu bali ndio Mungu mwenyewe?
Kwani MUNGU siyo kiongozi wa kiroho?
Amina kubwaYesu ni bwana na mwokozi wetu na ndio tumaini letu
👊Kiukweli watanzania kama taifa bado tuna safari ndefu sana kufika kule tunakotarajia kufika.
Jana mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Bunge mh Mwakasuka na wajumbe wa kamati wametumia takribani saa 3 kuelezea utovu wa nidhamu uliofanywa na wabunge Jerry Silaa na Askofu Gwajima.
Kwa bahati mbaya wakati wa kuhitimisha Spika aliteleza ulimi kwa sentensi ya sekunde moja tu.
Cha ajabu watanzania hawa wameachana kabisa na hoja za kamati na badala yake wamemshupalia Spika Ndugai.
Wananchi tubadilike tuwe wazalendo.
Mungu sio kiongozi wa kirohoKwani MUNGU siyo kiongozi wa kiroho?
Ni kiongozi wa bunge kama Ndugai?