Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipima ndio utatibu?Tanzania haijui hali halisi ya gonjwa hili nchini kwa kuwa haipimi....
BTW there is no direct flights from Dar to Windhoek !Sasa Kama yeye amejiexpose nankinga yake hafifu anategemea nn..na huenda huo ugonjwa ameambukizwa ata na Mkenya..coz kusema ameupat t how sure he/ she is..kwani kablanya kutoka alipima?
Nna povu kwa ajili yako mtoa mada!
Mimi nafika mjini Dar mara kwa Mara japo shughuli zangu nafanyia mkoa wa Pwani!!
Unaanza kua mtu mjinga sasa maana tahadhari zote za namna ya kujikinga zimeimbwa mno mno mno.
Wewe ondoka hapo ulipo nenda unakoenda bila tahadhari ukishapata ugonjwa uje ufungue Uzi, matter of fact Anzeni nyie kupambana na corona ndani ya Kenya kabla hamjawashwa na yanayoendelea Tz
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Idadi yenu ya cases hazijafika 10,000 tu maana mkopo unawasubiri.Nyie kwenu niliona rais anasema corona imeisha kisa hakuna aliyevaa barakoa, ilhali watu wanakuja kwenu wakigeuza kurudi kwao wanapimwa na kukutwa na corona, madereva wenu wakipimwa na majirani wenu wote wanakutwa na kirusi, sasa mlilia lia tukaacha kuwaumbua kwenye madereva wenu, sasa tunapima tukiwakuta na kirusi tunawapokeza kimya kimya, ila akina Museveni hata mlie vipi hao wanataja tu.
Mpaka vyakula vyetu c vinaandaliwa na watanzania wenye korona mbona hampigi marufiku magunia ta mahindi yasije huko ? Ukisikia unafiki ndio huo unaruka mavi unakanyaga mkojo.Nyie kwenu niliona rais anasema corona imeisha kisa hakuna aliyevaa barakoa, ilhali watu wanakuja kwenu wakigeuza kurudi kwao wanapimwa na kukutwa na corona, madereva wenu wakipimwa na majirani wenu wote wanakutwa na kirusi, sasa mlilia lia tukaacha kuwaumbua kwenye madereva wenu, sasa tunapima tukiwakuta na kirusi tunawapokeza kimya kimya, ila akina Museveni hata mlie vipi hao wanataja tu.
Upuuzi mtupu.Akili zako ni butu. Huijui mada inavyohoji.
Hakuna mwenye huo ubavu...nyie matajiri wa wapi ambao Hadi mishahara mnakopaTunaendelea kupima kupima kupima pima pima....hatujajichokea kwa umaskini kama nyie huko mpaka mnatengwa na majirani wote kuanzia EAC hadi SADC.
Raia wa Namibia akutwa na kirusi kisa alitembelea Tanzania, hawa majirani zetu japo wanapenda kulia lia lakini wamekua kero kweli, kitovu cha kusambaza corona....
Tumetengwa na nani?Tunaendelea kupima kupima kupima pima pima....hatujajichokea kwa umaskini kama nyie huko mpaka mnatengwa na majirani wote kuanzia EAC hadi SADC.
Nyie kwenu niliona rais anasema corona imeisha kisa hakuna aliyevaa barakoa, ilhali watu wanakuja kwenu wakigeuza kurudi kwao wanapimwa na kukutwa na corona, madereva wenu wakipimwa na majirani wenu wote wanakutwa na kirusi, sasa mlilia lia tukaacha kuwaumbua kwenye madereva wenu, sasa tunapima tukiwakuta na kirusi tunawapokeza kimya kimya, ila akina Museveni hata mlie vipi hao wanataja tu.