Kuna mgonjwa leo kafariki kwa corona, jana mume wake alifariki kwa corona, je wataka ushahidi? It's so sad my friend, sikia kama ni utani lakini yasimkute ndugu/rafiki/yoyote umjuaye mtu wangu. Uwe na wakati mwemaDuh basi we jamaa unaishi Tanzania ya kwako wewe binafsi..[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3]
Hakuna mtanzania anayewaza corona saa hii,imebaki history
Masharti ya Covid-19 fund za IMF na WB:Tunaendelea kupima kupima kupima pima pima....hatujajichokea kwa umaskini kama nyie huko mpaka mnatengwa na majirani wote kuanzia EAC hadi SADC.
Masharti ya Covid-19 fund za IMF na WB:
1πimeni Pimeni Pimeni
2: Tangazeni tangazeni tangazeni
3: Lockdown Lockdown lockdown
4: Leteni Guinea pigs wasiojitambua
5: Chafua taswira ya TZ kuwa ndio ina-export Covid-19 nchini KE
6: Idadi ya maambukizi kila ikifika multiple of 10K tunawaongezeeni mpunga...
Mara paap: Mungu si Athumani, Maji safi yanekata nchi nzima pamoja na mvua nyingi ktk nchi zinazotuzunguka ni sisi tu ndio tumelaania hatupati kitu...
Corona madhee imeshika kasi...
Hata pesa enyewe ya mabeberu imekwisha..
Wenzetu wamefungua utalii na shule..
Mpango umefeliπ
In Kamwana Uhuru voice: Uncle JPM tunaomba utusamehe uncle, we didn't mean it, ni wale Mabeberu ako na ushauri mbofu, samahani broh...
Leta ushahidi,maneno tu hayatoshi jombaa..hata mimi naweza kusema hivyo ulivyosema..simple tu!Kuna mgonjwa leo kafariki kwa corona, jana mume wake alifariki kwa corona, je wataka ushahidi? It's so sad my friend, sikia kama ni utani lakini yasimkute ndugu/rafiki/yoyote umjuaye mtu wangu. Uwe na wakati mwema