Wile GAMBA
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 1,809
- 595
Tatizo ni wasiwasi juu ya huo mkataba, naona ni wakinyonyaji vibaya mno na ndiyo maana hauwekwi wazi, Tanzani inaliwa na watu wachache wengine wanasindikiza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bandari haiwezi jengwa popote, kwani hutegemeana na kina cha maji, na mambo mengine. bali chuo chaweza jengwa popote, hata SUA kuna kozi za ufugaji samaki wakati hawako ufukweni mwa bahari, ziwa wala Bwawa. tatizo sio chuo kuhama, mbona kambi ya jeshi Buhemba ilihama kupisha mgodi? tatizo ni pale ahadi za kujenga chuo kingine zisipotimia, na katika hilo hatuwezi kujadili sasa.
mkuu huko mtwara kijengwa kwanza kabla ya huyo mchina kufanya au kubomoa chochote hapa mbegani,maana wakishakabidhiwa na suala hilo kubaki katika serikali yetu,wataanza kutafuta sababu za kusafiri kuomba mfadhili wa kujenga chuokama sikosei,Serikali inampango wa kukihamisha chuo kwenda Mtwara,niliwai ongea na one of the teacher pale Mbegani wakati fulani nilipoenda kununua vifaranga vya sato mwanzoni mwa mwaka huu.So Wana Mtwara wanapelekewa chuo pia cha uvuvi
Wewe unasema mambo ya chuo akipatikana hata mwekezaji wa kuhamisha Ikulu ya Magogoni mbona inawezekana tu. Lipo swali la kiuchokonozi, Tanzania imebarikiwa kuwa na kila kitu ispokuwa kitu kimoja tu Je wakijua hicho ni kitu gani
Tafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Eneo litakalojengwa bandari mpya bagamoyo ni lile lile ambalo chuo cha uvuvi mbegani kipo.Waalimu wanasema mamlaka ya bandari imeahidi kujenga chuo kingine eneo ambalo hawajajua ni wapi.Ikumbukwe kuwa chuo kile ni cha aina yake Africa Mashariki,kati na kusini,kuna wanafunzi toka nchi mbali mbali.
Pia chuo hicho kilijengwa mwaka 1972 na baadae wa Norway wakakikarabati kwa majengo ya kisasa na zana za kisasa za kufundishia kama boat za uvuvi na cold rooms.Jee leo hii wa Norway wakisikia chuo ambacho tulitumia maneno matamu kuomba msaada na wao wakatumia kodi za wananchi wao kutujengea, kimevunjwa na kupewa mchina kwa matumizi mengine watatuelewaje?
Na serikali imelisema hili kwa watanzania tukakubali chuo kuvunjwa?ikumbukwe tunahitaji sana wataalamu wa mambo ya uvuvi kwani tuna ukanda mkubwa wa bahari na maziwa lukuki!Kwa nini huyo mchina asipewe eneo jingine aanze upya ujenzi wa miundombinu?Pale chuo kuna maji safi ya dawasco,kuna umeme mkubwa,kuna gati ndogo,pia kuna barabara ya lami toka main road ya kuelekea bagamoyo-dar,kuna nyumba za waalimu na madarasa,maabara,mabwawa ya samaki wa shamba darasa.
Yaani hapo mchina hatawekeza chochote zaidi ya kuweka mashine za upakuaji mizigo na kuanza kuvuna!hii ni sawa na serikali ilipotaka kuuza jengo la mahakama ya rufaa ili kupisha ujenzi wa hotel-kempinsk. wabunge,Wananchi tunalijua hili?na tumeridhika na uamuzi huo wa kukiua chuo?ninavyo jua mamlaka ya bandari-TPA kujenga hicho chuo sehemu nyingine ni hadithi kwani vya kwao wenyewe vinakufa wameshindwa kuviendesha.Kama ni hivyo mchina ajenge kwanza chuo cha kisasa zaidi ya kile ndipo aende mbegani kuanza ujenzi wa bandari.
mkataba unasemaje juu ya hili?Nawasilisha

unaota????kasi ya ajabu kuporomoka kiuchumiKweli ndugu zangu, kila jambo zuri na lenye manufaa kwa nchi wapo wapinzani na vibaraka wao.nawahifadhi.tz inakuja kwa kasi ya ajabu na tunakwenda kuwa hub ya east Africa;twen,zetu.
Nimejua leo kuna chuo cha uvuvi bagamoyo. Thanx
tumesikia mkuu ngoja tuone kwani hatuna sauti ukisema tu. utangolewaEneo litakalojengwa bandari mpya bagamoyo ni lile lile ambalo chuo cha uvuvi mbegani kipo.Waalimu wanasema mamlaka ya bandari imeahidi kujenga chuo kingine eneo ambalo hawajajua ni wapi.Ikumbukwe kuwa chuo kile ni cha aina yake Africa Mashariki,kati na kusini,kuna wanafunzi toka nchi mbali mbali.