Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
wacha nikuache maanake nilidhani naongea na mtu mzima mwenye akili zake.Ni vile huwa mnanichekesha reasoning zenu, Wakenya hamna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha nikuache maanake nilidhani naongea na mtu mzima mwenye akili zake.Ni vile huwa mnanichekesha reasoning zenu, Wakenya hamna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa unateswa na minyoo wewe. Utatumiaje taarifa za mwaka wa 2012 kujaribu kueneza hizi propaganda zako za kiboya? FYI, tupo mwaka wa 2021! 😏 Mtoto ambaye alizaliwa miaka hiyo sasa hivi tayari ana miaka zaidi ya kumi. 😄 Kenya Power resorts to rationing - Agoa.info - African Growth and Opportunity Act
Fume na kelele za generator huwa zina madhara yake. Dish lazima liyumba yumbe jombaa, sio bure.wacha nikuache maanake nilidhani naongea na mtu mzima mwenye akili zake.
Kwahiyo umeshindwa kuleta source from Kenya National Bureaucracy Statistics [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wacha nikuache maanake nilidhani naongea na mtu mzima mwenye akili zake.
Lete ya 2021 tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itakuwa unateswa na minyoo wewe. Utatumiaje taarifa za mwaka wa 2012 kujaribu kueneza hizi propaganda zako za kiboya? FYI, tupo mwaka wa 2021! [emoji57] Mtoto ambaye alizaliwa miaka hiyo sasa hivi tayari ana miaka kumi na minane. [emoji1] Kenya Power resorts to rationing - Agoa.info - African Growth and Opportunity Act
Fume na kelele za generator huwa zina madhara yake. Dish lazima liyumba yumbe jombaa, sio bure.
Huna data ujifanyie hiyo risechi wewe mwenyewe? Mimi nina mb kibao, ila tatizo ni kwamba huku nilipo umeme ni wa mgao jombaa. 😎Lete ya 2021 tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya hamna akili
Weka data za mwaka 2021 tuone, Kama maji tu ni shida hapo Nairobi, mtaweza kuzalisha umeme wa kutosha kwa mwaka mzima?. Kumbuka kwamba mnasubiri kununua umeme toka Ethiopia na Tanzania baada ya kukamilika kwabwawa ya kuzalisha umeme toka nchi hizo.Huna data ujifanyie hiyo risechi wewe mwenyewe? Mimi nina mb kibao, ila tatizo ni kwamba huku nilipo umeme ni wa mgao jombaa. [emoji41]
joto la jiwe The best 007 Tazameni mahali ambapo nimekoleza rangi nyekundu.Hahahaha, weka tuone, according to Government of Tanzania, Tanzania produces 2K MW, Nyerere project ikikamilika next year tutazalisha 415K MW[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka hiyo data kutoka Kenya National Bureaucracy Statistics [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee, jombaa bado upo tu? Hali vipi lakini? Yaani miaka nenda miaka rudi bado hujachoka na hizi aibu ndogo ndogo za kujitakia? [emoji1] Muda unayoyoma ndugu yangu, tupende kubadilika na nyakati jamani. Ila jua ya kwamba hata mfanye nini sikio kamwe halipiti kichwa! Okay? [emoji41] Pata uhondo...Weka data za mwaka 2021 tuone, Kama maji tu ni shida hapo Nairobi, mtaweza kuzalisha umeme wa kutosha kwa mwaka mzima?. Kumbuka kwamba mnasubiri kununua umeme toka Ethiopia na Tanzania baada ya kukamilika kwabwawa ya kuzalisha umeme toka nchi hizo.