Watanzania mnaopenda kuja Norway kutafuta maisha chukua ushauri huu, kazi nyingi ni za bandarini

Hapo Stord pamjejaa Washambaa tu. Kutoka Bergen hadi Stord unachukua ferry. Waafrika wa Stord ni wa kuhesabu kwenye vidole ndiyo maana unakimbilia JF sababu ya upweke. Kama ungekuwa unaishi Oslo au hata Bergen usingekuwa na muda wa kujitangaza JF kuwa unaishi Norway.
 
Mkuu jamaa amekuboa nini bana? Mbona yeye katoa tu wazo wenyekulipuuza Sawa na wenye kulikubali napo poa tu. Nazani na wewe ungetoa ushauri ujuavyo kama hao temp agency.
 
Anapotosha ukweli
 
Zamani waafrika walikuwa wanalazimishwa kwenda ulaya kwa viboko kama watumwa siku hizi wanagombea foleni kuomba viza kuwa watumwa wa hiari.Ulaya Ingekuwa ni rahisi kwenda mwanza hakuna kijana angebakia afrika.
 
Nadharia za watu wavivu eti ulaya imeendelea baada ya kuwaibia waafrika swali zile nchi za ulaya ambazo tulikuwa tumezizidi uchumi baada ya UHURU na hazikuwahi kuwa na makoloni afrika mfano nchi za scandinavian na nordic zenyewe ziliiba wapi zikawa na maendeleo.Point of conclusion kutawala haikufanyi nchi kuwa masikini karibu nchi zote duniani zimewahi tawaliwa na nchi nyingine.Japani iliitawala China,UK iliitawala USA,India na pakistan zilitawaliwa na UK.Ethiopia na Liberia hazikuwahi kutawaliwa mbona nazo ni masikini.Ureno imetawala Angola na msumbiji mbona nayo ni masikini ktk nchi za ulaya.
 
Bado watu mnaenda tu kutafta maisha ulaya.duh...

Mbona mi sjawai kupapenda ulaya hata mara moja..ila tunatofautiana..

Mi siwez kaa mbali na mama.dada zangu etc..zaid siwez kaa hata nje ya dsm..yaan naipenda bongo .infact nawapenda mademu wa kibongo..yaan napenda joto inshort....nmetembea tembea kdogo huko..sjawai kusema et ngoja nibak huko foreva..labda sabab nna majukum meng bado home.

Labda nna matatzo sjui...nakumbuka enz za Univ. Of Aberdeen..daah..eniwei
 
ile kaz yako ya kukuingizia million 70 kwa Mwezi umeacha?
 
Invitation vipi sasa, maana huko kila mahali nikualikwa huku Africa hakuna mwaliko ni uzamiaji tuu hata sherehe ndio zilivyo

Per Diem hata huko DM patajibika hizi ujumbe kwa maelezo ya ziada?
 
Waswahili wenzangu huwa wanapenda kusema kizuri kula na nduguyo.

Najua wengi tu wanapenda kuishi Europe, pengine sio kwa sababu ya ugumu Sana uliopo bongo Bali ni sababu ya maisha ya huku yalivyo.

Nitaongelea zaidi Norway kwa kuwa ndio nipo.

Kwanza kabisa ugumu upo popote pale hivyo usije unafikiri ukifika huku kazi yako ni kula naa kulala tu, hapana. Huku ukija jua kuwa utaafanya kazi haswa ili upate kipato. Hakuna Cha bure bure.

Ni lazima uwe tayari kufanya kazi mbalimbali za day worker(deiwaka) na usichague.

Kazi za huku za deiwaka zinalipa Sana kwa kuwa wao hawazipendi hivyo kufanya mahitaji ya kazi hizo kuwa makubwa.
Uaminifu.

Hawa wenzetu wanapenda Sana uaminifu, usije hata siku moja ukathubutu kuiba au kuchelewa kumaliza kazi bila sababu za msingi.

Huku Kuna bandari nyingi Sana hivyo kazi za bandari ni nyingi Sana, ieleweke usitake kujifanya una degree. Hakuna anayeitambua huku, wewe huku njoo Kama vile hujawahi kusoma Wala kuwa na degree, Cha msingi onesha ufanisi kwenye kile unafanya.

Kuna baadhi humu Ni wajuaji Sana anakuambia naijua Sana Norway hakuna kabisa pesa.

Ndugu yangu dunia nzima hakuna pesa Ila inategemea wewe unaitafuta vipi.

Narudia tena huku pesa ipo Ila sharti uitumikie haswa.

Kutokana na uaminifu wangu mkubwa nimebahatika kupata kazi/vibarua sehemu tofauti na vinanilipa vizuri tu.

Sasa hivi Kuna kazi/kibarua nimepata kwenye moja ya bandari huku na nitakuwa nakunja pesa nzuri tu.

Mimi sio mzuri Sana wa negativity, always nipo positive. Hivyo namaanisha kuna mabaya nayaona si unajua ngozi nyeusi tunadharaulika Sana Ila sio vitu vya kujali hata kidogo. We piga kazi

Kwa wale wote mnaopenda kwenda ulaya kutafuta maisha hasa Norway chukueni ushauri huu.

Niliona maswali watu wanauliza nilifikaje, nadhani Hilo nililikatisha sababu ya kutukanwa na kuandamwa bila sababu.

Lakini Kama unatamani kuja huku fanya hustle zako vizuri njoo, Wala msikatishe watu tamaa. mwenye kutaka kuja aje Ila usikubali kuingizwa mjini au kutapeliwa na Mtu yoyote kwa kigezo cha kukusaidia pambana mwenyewe mwanzo mwisho, inawezekana kabisa ukafanikiwa bila msaada wa Mtu.

Nje nje nje ndani, popote kambi babu weka maskani,
Nje nje nje ndani, kama ipo ipo tu kimiani. (in Inspector Haroun Babu' voice.)
 
Vp KUHUSU mafundi mfano"welding' Kuna michongo unaweza kuotea??
 
[emoji3][emoji3][emoji3] za kuambiwa changanya na zako kwa hisani kutoka msonga. Lakini jamaa hajasema kama atasaidia watu kwenda. Kasema wanaotaka kwenda waende fursa zipo. Hasa kazi bandarini
Hamna hiyo. Yeye mwenyewe kasema kawekwa hapo kama kibarua hana contract ya kudumu hapo bandarini bali ana contract na temporary agency ambaye ndiyo mwajiri wake. Anapangiwa kazi sehemu tofauti tofauti kulingana na demand ya vibarua na uwezo wako kukubali offer za temporary job agency. Hata kuosha vyombo siku moja au mbili watakupigia. Kama ukikubali poa lakini ukikataa wataanza kukukacha. Chochote watakacho kutupia inabidi ukubali la sivyo utalala njaa.
 
Madam binti kiziwi , pitia kipande hii. Mzee wa Norweeyi Mkuu Per Diem yupo kwa hewa tena... kamwaga 'madini'.

Dada lake kama vipi twenzetu Norweeyi 'tukachukue maisha'.

Wazee wa 'koneksheni' za ughaibuni... Uduwanzi unaendelea!

-Kaveli-
Hahhaha! Missing you Kaveli. Twende zetu bana naona wazee wa connection wamekomaa!
 
Mkuu Mimi Niko Qatar nifanyie mpango basi nije uko mkuu. Najua unaweza kabisa mkuu ..fanya kweli
 
Hamna hiyo. Yeye mwenyewe kasema kawekwa hapo kama kibarua hana contract ya kudumu hapo bandarini bali ana contract na temporary agency ambaye ndiyo mwajiri wake. Anapangiwa kazi sehemu tofauti tofauti kulingana na demand ya vibarua na uwezo wako kukubali offer za temporary job agency. Hata kuosha vyombo siku moja au mbili watakupigia. Kama ukikubali poa lakini ukikataa wataanza kukukacha. Chochote watakacho kutupia inabidi ukubali la sivyo utalala njaa.
WEWE JAMAA MPUMBAVU SANA. SHETANI MKUBWA!!
 
Back
Top Bottom