Ali kiba ametoa wito kwa watanzania wamuombee ili aweze fanikiwa kupata nomination yke ya kwanza kwny tuzo za mtv mama 2016 hata kwenye kipengele cha msanii chipukizi kwani hajawahi pata bahati ya kuudhuria tuzo zenye hadhi ya kimataifa.
Hivyo angependelea kupitia njia alizopita role model wake Diamond Platinumz ambaye alifanikiwa kupata nomination yake ya kwanza ya mtv awards mnamo mwaka 2010 japo alishindwa na mdada Mo Cheddah ila yeye amesema yupo tayari kupambanishwa na wasanii wa nigeria km kiss daniel, ycee, lil kesh na hatawabaga kwny icho kipengele