Watanzania mniombee - Ali kiba

Watanzania mniombee - Ali kiba

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Ali kiba ametoa wito kwa watanzania wamuombee ili aweze fanikiwa kupata nomination yke ya kwanza kwny tuzo za mtv mama 2016 hata kwenye kipengele cha msanii chipukizi kwani hajawahi pata bahati ya kuudhuria tuzo zenye hadhi ya kimataifa.
Hivyo angependelea kupitia njia alizopita role model wake Diamond Platinumz ambaye alifanikiwa kupata nomination yake ya kwanza ya mtv awards mnamo mwaka 2010 japo alishindwa na mdada Mo Cheddah ila yeye amesema yupo tayari kupambanishwa na wasanii wa nigeria km kiss daniel, ycee, lil kesh na hatawabaga kwny icho kipengele
 
chuki hazijengi kujn nenda ktk ig ya mtv ukaone walichopost kama 3days ago lkn mwenyewe hakupost
 
chuki hazijengi kujn nenda ktk ig ya mtv ukaone walichopost kama 3days ago lkn mwenyewe hakupost
Sio utani yeye anaziwaza sana mtv ndo msanii wa kwanza kupost kuhusu awards
 

Attachments

  • 1472594047959.png
    1472594047959.png
    18 KB · Views: 41
Back
Top Bottom