Watanzania mniombee - Ali kiba

Sa mbona wa kuwaombea wanazidi!
 
Nadhani sasa zamu ya watanzania kuombewa , wanapitia wakati mgumu kweli kiuchumi na vitisho vya polisi juu.
 
Tutawaombea wangapi katika nchi hii? Mbona wanatutwisha mizigo mikubwa ya maombi?
 
ufanye dhambi zako kwa sifa uje utulazimishe tukuombee ili iweje
 
If i was him, ningekaa na diamond chini tushirikiane kimawazo kama wanamuziki wa Tanzania, na sio u kiba na u diamond....., hata support tutawapa sie wa nje(especially hiyo anayoiomba sa hivi na poa show na kununua mziki wake)
 
Vipi na yeye ameshaliombea taifa?

MWambie niko bize naombea amani na utulivu kwa taifa, issue za mauno kwa sasa sio priority
 
Mimi namuombea, ili aendelee kuwa anamzidi mwenzie kwa kila kitu, kama alivyomzidi GSM basi na hii hapa atamzidi tu kama DIAMOND ananunua ndinga ya $ 400,000/- basi yeye atanunua ndinga ya $ 500,000/- Ameen.
 
If i was him, ningekaa na diamond chini tushirikiane kimawazo kama wanamuziki wa Tanzania, na sio u kiba na u diamond....., hata support tutawapa sie wa nje(especially hiyo anayoiomba sa hivi na poa show na kununua mziki wake)
unafikir hawapatan kama inavooneka huku nje??? ngoja mda utafika utajua tuu. kuna kitu kinaitwa "best for business"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…