Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah yule mwingine kashakua supastaaa hawazi tena MTV anawaza za marekani tu. Tutamuombea haina shida.Sio utani yeye anaziwaza sana mtv ndo msanii wa kwanza kupost kuhusu awards
Tutawaombea wangapi katika nchi hii? Mbona wanatutwisha mizigo mikubwa ya maombi?Ali kiba ametoa wito kwa watanzania wamuombee ili aweze fanikiwa kupata nomination yke ya kwanza kwny tuzo za mtv mama 2016 hata kwenye kipengele cha msanii chipukizi kwani hajawahi pata bahati ya kuudhuria tuzo zenye hadhi ya kimataifa.
Hivyo angependelea kupitia njia alizopita role model wake Diamond Platinumz ambaye alifanikiwa kupata nomination yake ya kwanza ya mtv awards mnamo mwaka 2010 japo alishindwa na mdada Mo Cheddah ila yeye amesema yupo tayari kupambanishwa na wasanii wa nigeria km kiss daniel, ycee, lil kesh na hatawabaga kwny icho kipengele
Kumbe hajawahi..!!?kwani hajawahi pata bahati ya kuudhuria tuzo zenye hadhi ya kimataifa.
Kumbe Kiba anamkubali Diamond kama role model wakeangependelea kupitia njia alizopita role model wake Diamond Platinumz
If i was him, ningekaa na diamond chini tushirikiane kimawazo kama wanamuziki wa Tanzania, na sio u kiba na u diamond....., hata support tutawapa sie wa nje(especially hiyo anayoiomba sa hivi na poa show na kununua mziki wake)Ali kiba ametoa wito kwa watanzania wamuombee ili aweze fanikiwa kupata nomination yke ya kwanza kwny tuzo za mtv mama 2016 hata kwenye kipengele cha msanii chipukizi kwani hajawahi pata bahati ya kuudhuria tuzo zenye hadhi ya kimataifa.
Hivyo angependelea kupitia njia alizopita role model wake Diamond Platinumz ambaye alifanikiwa kupata nomination yake ya kwanza ya mtv awards mnamo mwaka 2010 japo alishindwa na mdada Mo Cheddah ila yeye amesema yupo tayari kupambanishwa na wasanii wa nigeria km kiss daniel, ycee, lil kesh na hatawabaga kwny icho kipengele
unafikir hawapatan kama inavooneka huku nje??? ngoja mda utafika utajua tuu. kuna kitu kinaitwa "best for business"If i was him, ningekaa na diamond chini tushirikiane kimawazo kama wanamuziki wa Tanzania, na sio u kiba na u diamond....., hata support tutawapa sie wa nje(especially hiyo anayoiomba sa hivi na poa show na kununua mziki wake)