Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Mimi staki dhambi, staki UNAFIKI kamwe siwezi msamehe Pole pole mpaka kihama huyu ni mtu aliyeshiriki.mauaji ya watanzania Ili ccm itawale
Nisamehe Ili aende akawe baba wa mtoto wa Alphonso mawazo? Au akawe Baba wa mtoto wa Ben rabiu saa nane Au akamrudishie viungo vyake vya Tako Mh Tundulisu alivyokatwa kuziba mashimo ya risasi? Sikusameh na Mungu wa mbinguni namwombea asikisamehe kamwe ukifa akuchome moto.