Huna uchungu wowote na Lissu ni unafiki na kujaribu kuwachonganisha watu humu kutokana na mabomu aliyoripua Pole pole. Alichokisema kimesikika na kimeeleweka.Mimi staki dhambi, staki UNAFIKI kamwe siwezi msamehe Pole pole mpaka kihama huyu ni mtu aliyeshiriki.mauaji ya watanzania Ili ccm itawale
Nisamehe Ili aende akawe baba wa mtoto wa Alphonso mawazo? Au akawe Baba wa mtoto wa Ben rabiu saa nane Au akamrudishie viungo vyake vya Tako Mh Tundulisu alivyokatwa kuziba mashimo ya risasi? Sikusameh na Mungu wa mbinguni namwombea asikisamehe kamwe ukifa akuchome moto.
Hahahaha na bado x ka move on to the next man with dick and ballsHauna mazara, Hata X wako hujamsamehe
Kasage pilipili ule na ndimu nyingiiiMimi staki dhambi, staki UNAFIKI kamwe siwezi msamehe Pole pole mpaka kihama huyu ni mtu aliyeshiriki.mauaji ya watanzania Ili ccm itawale