Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Ndugu yangu dola $1000 usd pale haitoshi, nimepata maendeleo makubwa sana baada ya kurudi Tanzania ningebaki kule hata meter ya umeme nisingekuwa na

Kweli Wananchi wa Ulaya kuwa matajiri mfano wa daraja la Uchumi wa kuanzia wakati ni ngumu sana,yani kule masikin hawezi kuwa Tajiri tofauti na Tanzania, Unaweza kutoka chini ukapanda juu kule iko kitu hakipo.
 
Kweli Wananchi wa Ulaya kuwa matajiri mfano wa daraja la Uchumi wa kuanzia wakati ni ngumu sana,yani kule masikin hawezi kuwa Tajiri tofauti na Tanzania, Unaweza kutoka chini ukapanda juu kule iko kitu hakipo.
💯
 
IRS wanakata kodi ,lakini ni bora kuliko hao mchwa na kupe hapa kwetu Tz ,hawa TRA ,wanaofyonza Paye na kuweka kodi kwenye kila kitu (double taxation) + kubambikia kodi na kufirisi biashara mitaji ya raia na kuwarudisha kwenye umasikini ,+Rushwa kwenye mfumo wa kodi na kinachopatikana kinaishia kwenye matumbo ya misukule ya ccm ,wananchi wanaishi kama digidigi na waziri wa fedha anawaambia wananchi kwa dharau na kiburi wahamie Burundi .
Hili li nchi ni shithole kabisa .
Nakushangaa sijui unapata wapi ujasiri wa kuleta comparison ya USA na shithole country kama hii
 
Kweli Wananchi wa Ulaya kuwa matajiri mfano wa daraja la Uchumi wa kuanzia wakati ni ngumu sana,yani kule masikin hawezi kuwa Tajiri tofauti na Tanzania, Unaweza kutoka chini ukapanda juu kule iko kitu hakipo.s
Social mobility Europe ni bora kuliko Bongo , Acha uongo wako hapa .
Yaani hili li nchi ndio unataka kutuambia lina social mobility kubwa kuliko nchi za ulaya .
Aisee
Mnaishi Tanzania hii au Tanzania ya Mars ninyi ?
 
Utachelewa kunelewa wewe nenda kule kapoteze muda kama upo tayari, ukawafanyie wakoloni kazi Taifa lao lizidi kukua hili letu liendelee kuzorota
Wamarekani wangapi wanamiliki v8? Hapa Bongo unaona ngapi?
Huna akili jomba ,kaa ficha ujinga wako ,unajidhalilisha sana .
Hizi takataka used za kijapan zinazouzwa humu ndio mmekaririshwa na kujiita v8 ,wakati USA mortgage ya kupata gari tena gari mpya ,SuV za nguvu kama BMW ,VW ,GMC , Chevy nk ni kugusa .
Wewe na hivi vi kirikuu vyetu tunavyotembelea ndio ukamlingishie mmarekani ?
We kweli mwehu
 
Marekani wasenge ndiko uchoko ulipoanzia sasa machoko yanawababaishaje Wabongo asee jiaminini wale ni mafala sana baki hapa mtapata maisha
 
Unapigia mbuzi gitaa.
 
Unajua logic ya nyumba kujengwa kwa mbao pale Marekani na Canada ? Au unadhani wanajenga kwa mbao tu na material kama hizo kwamba hawana means za kujenga Kwa materials nyingine ?
Unajua climate na weather conditions za hizo nchi ?
Unajua consumption ya nishati ambayo inatumika kusupply joto na kupasha nyumba joto kujikinga na baridi kali nchi hizo ?
Au unaandika ujinga mkuu .
Mimi nipo Tanzania ila nimegundua wewe ni zoba na hata USA hujawahi fika
 
Serikali yao na wafanyabiashara wakubwa ndio wanawezq, mwananchi unashindwa kwasababu wanakuwekea ushuru mkubwa kiasi kwamba ukiwa nayo ni sawa na umejichimbia kaburi
Hivi unajua unaandika vitu visivyo na uhalisia kama mwendawazimu ?
Hivi unajua kodi ya Toyota TXL used toka Japan Kuletwa kuuzwa Tanzania ni kubwa na ni zaidi ya nusu ya thamani ya gari lenyewe ?
Unajua kodi ya Kuingiza Toyota TXL mpya pale Marekani haifiki hata asilimia 30 ya thamani ya hilo gari ?
Au unatufanya sisi Mabwege huku
Sasa kwa akili yako pima ulichoandika na uhalisia huo .
Wewe jamaa ni mwehu
 
Marekani bado ni pazuri kwa wasakatonge kama sisi , nchi zetu hizi kama Tz bado zina mifumo ya kishenzi sana ambayo imelenga kuua dreams za wananchi ,na lengo ni kutengeneza mafukara wengi ili iwe rahisi kuwatawala .
Hii ni hadi ukisoma katiba yenyewe tu ile ya kikoloni utakiona hili wazi .
Wakati kwa USA ni tofauti ,kuna kitu wanaita American dream na the pursuit of one's ambitions and happiness
Hii mentality Ndio ipo mpaka kwa raia , na raia wanaamini serikali haina haki ya kuwabughudhi na kuleta bureaucracy au ukiritimba wa kuwaharibia ndoto zao .
Njoo huku madongo kuinuka Tz sasa .
Aisee
 
Ukweli ndo huo,na pia nakwambia Getto hata south inawatesa wanatamani kurudi lakini wapi.
 
Mwehu ni wao mazee ya miaka 80 kuishi kota kwasababu Serikali yao imeyaweka mkononi hakuna kumiliki assets ukipata upigwe kodi mpaka ufe. Tanzania ndiyo nchi
 
Mwehu ni wao mazee ya miaka 80 kuishi kota kwasababu Serikali yao imeyaweka mkononi hakuna kumiliki assets ukipata upigwe kodi mpaka ufe. Tanzania ndiyo nchi
Mwehu ni wao mazee ya miaka 80 kuishi kota kwasababu Serikali yao imeyaweka mkononi hakuna kumiliki assets ukipata upigwe kodi mpaka ufe. Tanzania ndiyo nchi
Akili zako ziko vizuri wewe ?
Nimekuuliza unadhani hawana matofali ya kujengea nyumba ?
Au unadhani wanajenga nyumba za mbao kama mapambo ?
Nimekuuliza unajua consumption ya umeme kwa heating system ya kupasha joto nyk a ya tofali kipindi cha baridi Marekani au Canada ?
 
Sawa lakini uzuri Marekani hakuna sisiem
 
Nimekaa kule miaka 7 habari za tsunami na baridi kiasi kwamba inaathiri nyumba za tofali hizo ni propaganda za Serikali yao ili ardhi ibaki mikononi mwao mwananchi asijenge jengo la kudumu, zile ghorofa za New York wamejengea mbao sio?? Umeme wa kuendesha wao wanatoa wapi wa streets ukosekane au tsunami itatokea kwenye streets vipi New York haitatokea sio je baridi ipo streets tu vipi Calfornia
 
Wewe kwa akili yako unaona iko economically feasible kutumia mamilioni kulipia Electrical bills Kwa mwaka ili kupasha joto nyumba na huku unaingiza pato la kawaida na wala sio milionea au bilionea ?
Na hiyo nyumba unaitumia kukaa tu na si kuingiza kipato
Kwako unaona ni akili hiyo au ?
 
Endelea na undezi wako ,unajua ni asilimia ngapi ya nyumba za California zimejengwa Kwa concrete na si mbao ?
Wakati data zinasema asilimia 94 ya nyumba Marekani nzima zimejengwa kwa mbao , au unafikiri hao asilimia 94 ni mafala wasio na uelewa na kipato cha kujenga nyumba kwa kutumia concrete au tofali ?

Aisee ,we jamaa una reasoning so poor .
Na kama kweli umekaa pale USA ,basi ni bayana usingeweza kukaa pale .
Huwezi kukaa pale kama uko slow hivi
Una uwezo dhaifu sana wa kufanya reasoning na logic mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…