wisdom mapambano
Senior Member
- Jul 17, 2018
- 117
- 148
🇺🇸 USA ipo mbali sana Ina opportunities nyingi nimeingia 2021 next month itakua 3years mambo niliyofanya kwa bongo ingechukua 50 years 😆, wata Tanzania wenzangu pambaneni mje huku opportunities ni nyingi , challenges zake ni za kawaida sana na unaweza ku handle but hii nchi inakup nafasi ya ku achieve your goals, mfano nilipofik nilipata deal kwa restaurant moja nikawa nalipwa $ 400 up 500 every Saturday kwa bongo ni kama 1M kazi ya kawaida tu image vipi ukiwa na kazi 2 au 3 ku make $5000 au $7000 au $10000 kwa mwezi ni possible hapo ni minimal wage jobs vipi Sasa ukiwa na career or profession jobs , yaani 30M sio Pesa ya kutisha kwa wapambanaji
Wadau Ombeni Visa ukiwa na akili timamu nchi hii unafanikiwa sana sio Sawa na Tanzania 🇹🇿 let’s be honest.🙏🏾👌💪🏾
Wadau Ombeni Visa ukiwa na akili timamu nchi hii unafanikiwa sana sio Sawa na Tanzania 🇹🇿 let’s be honest.🙏🏾👌💪🏾