Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

🇺🇸 USA ipo mbali sana Ina opportunities nyingi nimeingia 2021 next month itakua 3years mambo niliyofanya kwa bongo ingechukua 50 years 😆, wata Tanzania wenzangu pambaneni mje huku opportunities ni nyingi , challenges zake ni za kawaida sana na unaweza ku handle but hii nchi inakup nafasi ya ku achieve your goals, mfano nilipofik nilipata deal kwa restaurant moja nikawa nalipwa $ 400 up 500 every Saturday kwa bongo ni kama 1M kazi ya kawaida tu image vipi ukiwa na kazi 2 au 3 ku make $5000 au $7000 au $10000 kwa mwezi ni possible hapo ni minimal wage jobs vipi Sasa ukiwa na career or profession jobs , yaani 30M sio Pesa ya kutisha kwa wapambanaji
Wadau Ombeni Visa ukiwa na akili timamu nchi hii unafanikiwa sana sio Sawa na Tanzania 🇹🇿 let’s be honest.🙏🏾👌💪🏾
 
Sasa ndugu yangu hivi kweli Account ya bank ni ya ku expose kweli? Mtu unafanya hivo unatafuta nini ni sawa na kuwambia watu kwamba wao hizo hela hawana labda
Hapa Bongo kuna matajiri kiasi kwamba ukionesha pesa zako kwao zinaweza kuonekana kama hela za mboga
Maneno mengi bila uthibitisho ni kelele tu na hapa inaonesha hata USA hujafika unadownload picha hata profile Yako inaonesha tu ni mtu kituko mtu mwenye akili timamu hawezi kuweka picha kama hiyo profile
 
Utachelewa kunelewa wewe nenda kule kapoteze muda kama upo tayari, ukawafanyie wakoloni kazi Taifa lao lizidi kukua hili letu liendelee kuzorota
Wamarekani wangapi wanamiliki v8? Hapa Bongo unaona ngapi?
 
Wabongo wanapiga kazi na wana pesa chafu asee tuwe serios sisi ni matajiri kuliko watu wanaoishi USA
USA wenye pesa na utajiri wote ni Serikali yao utajiri kule haupo mikononi mwa wale wananchi kazi yao nikutumikishwa kwa ujanja ule ule wa mababu zao Wakoloni
Ukoloni upo kama kawaida sema wanaufanya kisomi zaidi ndio maana kule utapata hela nyingi na hutajua zilikoishia
Nyumba nyingi za wananchi wao zina hali mbaya hata kitanda cha 6x6 hakiingii
 
Wanalala nyumba za mbao wakati humu kwetu Afrika nyingi tunazitumia kama mabanda
Ukiwauliza kulikoni wanadanganya eti matetemeko kwahiyo msijenge za tofauli mbona za tofali zipo lakini ni za matajiri? Kumbe ni serikali inafanya ujanja ili watu wasijenge nyumba za kudumu ardhi ibaki hewani iendelee kuwa ya Serikali. Haya sasa kazi kwako kama upo tayari kulala kwenye mabanda nenda
1000004216.jpg
 
Endelea kujifariji mzee ukiwa huko sigimbi
Huyo jamaa ni mshabiki mkubwa wa mambo ya China, so hakuna chema anachoweza kizungumza kuhusu Marekani.

Hapo ametuma picha kuonesha homeless USA, ukimuuliza kuhusu China atakupa sababu 10 na zaidi kuitetea China.

Dunia nzima, ikiongozwa na China wenyewe, Russia, Uarabuni n.k watu wanapambana kwenda kuishi US.
 
Fitrsa za kujikwamua zilizopo Tanzania kwa sasa huwezi kuzipata popote nje ya Tanzania, lakini ukiwa na asili ya utumwa, utafanya kila njia hata kwa pesa zako mwenyewe uzitafute kwa tabu ujipeleke utumwani.

Wale waliozowea kujituma wanahaha na kulipa pesa chungu nzima kwa mwaka ili waweze kuishi Tanzania, Tazama wa Asia na Wazungu walivyojazana wanahamia Tanzania kwa fursa za kujituma walizoziona.

Wapemba wananifurahisha sana Tanzania hii, walikuja hapa baada ya mapinduzi wakawa kazi yao kuuza juisi Dar, mara kidogo wakaanza kununua taxi, kidogo wakaanza kujenga majumba, leo ni wafanya biara wakubwa Tanzania, hakuna mahali kwenye harufu ya biashara utakwenda utakosa Wapemba.
 
Unajua wewe akili hamna kichwani yaani kama mtu anafanya kazi masaa 6 tu analipwa $100 atashidwa kununua kikombe Cha kahawa Sasa piga hesabu huko tanzania raia wangapi wanaolipwa masaa sita $100
Mbona kama umepania Sana hii ligi? Mwenzio yeye anatoa picha halisi wewe unamsimanga....Una tofauti gani na mademu WA mwanakwerekwe?

Wewe sio WA Kwanza kuishi huko mkuu hivyo chukulia Mambo kawaida Sana.
 
Wabongo wanapiga kazi na wana pesa chafu asee tuwe serios sisi ni matajiri kuliko watu wanaoishi USA
USA wenye pesa na utajiri wote ni Serikali yao utajiri kule haupo mikononi mwa wale wananchi kazi yao nikutumikishwa kwa ujanja ule ule wa mababu zao Wakoloni
Ukoloni upo kama kawaida sema wanaufanya kisomi zaidi ndio maana kule utapata hela nyingi na hutajua zilikoishia
Nyumba nyingi za wananchi wao zina hali mbaya hata kitanda cha 6x6 hakiingii
Wewe kweli
Maiti
 
Utachelewa kunelewa wewe nenda kule kapoteze muda kama upo tayari, ukawafanyie wakoloni kazi Taifa lao lizidi kukua hili letu liendelee kuzorota
Wamarekani wangapi wanamiliki v8? Hapa Bongo unaona ngapi?
Umeona Sasa ulivyokua mshamba kwahiyo V8 ndio umeona gari ya kifahari ambayo wamarekani wanashindwa kununua aisee kazi ipo kwahiyo we bwege nikuulize swali Moja lini ulishwahi sikia marekani imepewa msaada na tanzania kama sio marekani kuja kusaidia tanzania unajua maisha yakiwa magumu watu mnadata🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeona Sasa ulivyokua mshamba kwahiyo V8 ndio umeona gari ya kifahari ambayo wamarekani aisee kazi ipo kwahiyo we bwege nikuulize swali Moja lini ulishwahi sikia marekani imepewa msaada na tanzania kama sio marekani kuja kusaidia tanzania unajua maisha yakiwa magumu watu mnadata🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo v8 kwao wana hiyo nguvu ya kuimiliki sasa
Mabwege ni wao walionyimwa uwezo wa kumiliki assets wanaishi kama kuku kuna maana gani ya kuishi nchi ambayo assets hushiki si sawa na wanafunzi wa bweni au maana nyingine ni ipi
 
Wewe itakua umedata na maisha magumu yaani unaongelea mmarekani ashindwe kumiliki V8🤣🤣🤣🤣🤣
 
Fitrsa za kujikwamua zilizopo Tanzania kwa sasa huwezi kuzipata popote nje ya Tanzania, lakini ukiwa na asili ya utumwa, utafanya kila njia hata kwa pesa zako mwenyewe uzitafute kwa tabu ujipeleke utumwani.

Wale waliozowea kujituma wanahaha na kulipa pesa chungu nzima kwa mwaka ili waweze kuishi Tanzania, Tazama wa Asia na Wazungu walivyojazana wanahamia Tanzania kwa fursa za kujituma walizoziona.

Wapemba wananifurahisha sana Tanzania hii, walikuja hapa baada ya mapinduzi wakawa kazi yao kuuza juisi Dar, mara kidogo wakaanza kununua taxi, kidogo wakaanza kujenga majumba, leo ni wafanya biara wakubwa Tanzania, hakuna mahali kwenye harufu ya biashara utakwenda utakosa Wapemba.
Umesema ukweli mtupu fursa zipo Tanzania China wenyewe wanatamani kuiba hii nchi ya Tanzania sio kwa utamu huu wa Tanzania
 
Bongo unakuta mtu ana anabuluza mkoko wa hatari, ana bonge la bangallow halafu anaheshimika kitaa na kwenye familia anaitwa "boss", "mzee". Kule Marekani hata jirani hamsalimiani, nani wa kukupa ujiko?

Tunaowaona kwenye TV hao ni craem of the cream huko
Haswaa
Tanzania tamu sana kila kitu kipo mtu anayetulia hapa ndo huyo utamuona kaangusha mjengo wa maana, mtanzania anamiliki assets za maana
 
Marekani hakuna maisha ndugu, kama una ndugu yako pale mwambie sasa hivi una shida na $5000usd akikutumia niite mbwa
Braza una hoja nyepesi sana, how comes mtu umwambie tu akutumie pesa una shida ili tu ujiaminishe kama ana maisha au lah..

Hapa bongo tu kutumiwa ten ni utata, hata hivyo mtu haendi ughaibuni ili muone kua kafanikiwa/ili awasaidie nyie maana kule hajaenda kuchota pesa kaenda kutafuta.

Hii hoja yako ni dhaifu mno, tumia hoja nyingine sio hii ya kutumiwa hela, jamna mwenye akili timamu anatuma pesa hovyo.
 
Back
Top Bottom