Ngoja nikupe za ndani kama ulikua hujui ile ni propaganda ya Wakoloni kutotaka mwananchi amiliki kitu yani wanataka uishi kwenye kota kama mwanafunzi, nyumba ya mbao wanajua inaoza kwahiyo ni rahisi kuhamishwa pale matajiri wanapotamani hilo eneo, pamoja na kujenga banda la mbao bado unaishi ndani ya mkataba na hilo banda hawakuruhusu ujenge wewe wanajenga wao ili upangishwe watafune pesa zako

Acha zako wewe , Marekani kuna watu wanajenga private homes , kuna housing na real estate developers , wewe unajichanga unanunua nyumba iwe Kwa instant payment au mortgage , kampuni ni nyingi tu zinafanya hiyo biashara .
Na kuna kampuni na watu binafsi ambao ni landlords ,wanamiliki na kutoza kodi .
Sasa Unaongea vitu vya kufikirika unaposema wakoloni ,wakoloni wapi wewe unaongelea , akili zako za kiuvccm
Acha ujinga ,hujadiliani na laymen hapa mzee
Kampuni kama Blackstone ni kampuni ambayo ni kubwa kwa sasa pale Marekani ,wanamiliki Malaki ya nyumba na apartments Marekani nzima .
Na hizo kampuni ni public traded companies that's means zimesajiliwa kwenye masoko ya hisa pale Marekani ,so kuna watu binafsi wanamiliki hisa ,mtu yoyote anamiliki na kuna mamilioni ya raia ni wapangaji na wanahisa zenye thamani kubwa kwenye hayo makampuni .
Sasa hao wakoloni wako wanatoka wapi ?
Au ukisikia Elon musk au Warren buffet anamiliki makampuni na utajiri wa mabilioni ya dollar ,wewe akili yako inakutuma yeye ndie mmiliki pekee wa hizo assets ?
Unajua hata corporations zinavyo operate wewe ?
Ile ni biashara kama biashara nyingine.
Wewe unafikiri Marekani au ulaya unaweza kujenga jenga ovyo ovyo tu bila na kuishi na squatters na shanty towns kama huku ?
Ujenzi kule unazingatia vitu kibao .
Kampuni kama Blackstone wanauwezo wa kujenga wilaya nzima , housing projects hizo ,kuna apparments na single family homes ,mtu ananunua na kukodi kulingana na kipato chake ,
Acha ushamba