Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Endelea na undezi wako ,unajua ni asilimia ngapi ya nyumba za California zimejengwa Kwa concrete na si mbao ?
Wakati data zinasema asilimia 94 ya nyumba Marekani nzima zimejengwa kwa mbao , au unafikiri hao asilimia 94 ni mafala wasio na uelewa na kipato cha kujenga nyumba kwa kutumia concrete au tofali ?
Ngoja nikupe za ndani kama ulikua hujui ile ni propaganda ya Wakoloni kutotaka mwananchi amiliki kitu yani wanataka uishi kwenye kota kama mwanafunzi, nyumba ya mbao wanajua inaoza kwahiyo ni rahisi kuhamishwa pale matajiri wanapotamani hilo eneo, pamoja na kujenga banda la mbao bado unaishi ndani ya mkataba na hilo banda hawakuruhusu ujenge wewe wanajenga wao ili upangishwe watafune pesa zako
 
Ukishaona mtu ana overgeneralize mambo tu, ujue huyo ni mjinga.
Amka kijana upo usingizini jifunze uzalendo wa nchi yako achana na wale Wakoloni jifunze kutetea nchi yako nipeni uraisi niwafundishe uzalendo asee usimsikitishe baba wa Taifa amepambana sana yule baba nyie ni vijana wake anawategemea mbona mnamwangusha??? So sad 😭
 
Asee tuwe serious Chris Brown anadaiwa mkopo naona ndo utamuua, ile nchi isikie kwenye Tv gusa unase. Mm nayosema hapa sio kichaa nimeishi pale muda mrefu na nimeondoka baada ya kugundua kwa Mwaka ile nchi inanichukulia 30M, pale nmeishi kwenye single room lakini kumbuka kwa mwaka 30M zilikatika sana natoka pale narudi Bongo nimejenga na usafiri nikapata wenzangu waliobakia pale bado wanazidi kumfanyia Biden kazi, kumbuka ile nchi imetengeneza mfumo wa mwananchi kuwa mtumwa wa Serikali ndio maana uchumi wao unashikiliwa na Serikali sio wananchi, huwezi kufanikiwa ukiwa kwenye mikono ya Serikali ya Marekani kumbuka wale ni wakoloni tangu zamani, sasa hivi wanafanya ukoloni kwa akili mfano kumnyima mwananchi kumiliki assets ili aishi kama mbumbumbu
Hili la watu kusema mtu kuwa mtumwa wa kufanya kazi watanzania wengi wanalo sana kwa sababu ya uvivu wetu. Nchi zilizoendelea zote ili ule ni lazima uende kazini kila siku. Uzuri ni kwamba kwa mtu aliyezaliwa na kukulia pale, hana anachowaza eg kuwa na kitega uchumi au watoto wa kusomesha kwa sababu kila mtoto ana chances za kuishi bila kutegemea urithi wa mzazi. Na ukistaafu pension unayopata inakutosha kuishi bila shida kubwa.
 
Ngoja nikupe za ndani kama ulikua hujui ile ni propaganda ya Wakoloni kutotaka mwananchi amiliki kitu yani wanataka uishi kwenye kota kama mwanafunzi, nyumba ya mbao wanajua inaoza kwahiyo ni rahisi kuhamishwa pale matajiri wanapotamani hilo eneo, pamoja na kujenga banda la mbao bado unaishi ndani ya mkataba na hilo banda hawakuruhusu ujenge wewe wanajenga wao ili upangishwe watafune pesa zako
Ngoja nikupe za ndani kama ulikua hujui ile ni propaganda ya Wakoloni kutotaka mwananchi amiliki kitu yani wanataka uishi kwenye kota kama mwanafunzi, nyumba ya mbao wanajua inaoza kwahiyo ni rahisi kuhamishwa pale matajiri wanapotamani hilo eneo, pamoja na kujenga banda la mbao bado unaishi ndani ya mkataba na hilo banda hawakuruhusu ujenge wewe wanajenga wao ili upangishwe watafune pesa zako
Acha zako wewe , Marekani kuna watu wanajenga private homes , kuna housing na real estate developers , wewe unajichanga unanunua nyumba iwe Kwa instant payment au mortgage , kampuni ni nyingi tu zinafanya hiyo biashara .
Na kuna kampuni na watu binafsi ambao ni landlords ,wanamiliki na kutoza kodi .
Sasa Unaongea vitu vya kufikirika unaposema wakoloni ,wakoloni wapi wewe unaongelea , akili zako za kiuvccm
Acha ujinga ,hujadiliani na laymen hapa mzee
Kampuni kama Blackstone ni kampuni ambayo ni kubwa kwa sasa pale Marekani ,wanamiliki Malaki ya nyumba na apartments Marekani nzima .
Na hizo kampuni ni public traded companies that's means zimesajiliwa kwenye masoko ya hisa pale Marekani ,so kuna watu binafsi wanamiliki hisa ,mtu yoyote anamiliki na kuna mamilioni ya raia ni wapangaji na wanahisa zenye thamani kubwa kwenye hayo makampuni .
Sasa hao wakoloni wako wanatoka wapi ?
Au ukisikia Elon musk au Warren buffet anamiliki makampuni na utajiri wa mabilioni ya dollar ,wewe akili yako inakutuma yeye ndie mmiliki pekee wa hizo assets ?
Unajua hata corporations zinavyo operate wewe ?
Ile ni biashara kama biashara nyingine.

Wewe unafikiri Marekani au ulaya unaweza kujenga jenga ovyo ovyo tu bila na kuishi na squatters na shanty towns kama huku ?
Ujenzi kule unazingatia vitu kibao .
Kampuni kama Blackstone wanauwezo wa kujenga wilaya nzima , housing projects hizo ,kuna apparments na single family homes ,mtu ananunua na kukodi kulingana na kipato chake ,
Acha ushamba
 
Acha zako wewe , Marekani kuna watu wanajenga private homes , kuna housing na real estate developers , wewe unajichanga unanunua nyumba iwe Kwa instant payment au mortgage , kampuni ni nyingi tu zinafanya hiyo biashara .
Na kuna kampuni na watu binafsi ambao ni landlords ,wanamiliki na kutoza kodi .
Sasa Unaongea vitu vya kufikirika unaposema wakoloni ,wakoloni wapi wewe unaongelea , akili zako za kiuvccm
Acha ujinga ,hujadiliani na laymen hapa mzee
Kampuni kama Blackstone ni kampuni ambayo ni kubwa kwa sasa pale Marekani ,wanamiliki Malaki ya nyumba na apartments Marekani nzima .
Na hizo kampuni ni public traded companies that's means zimesajiliwa kwenye masoko ya hisa pale Marekani ,so kuna watu binafsi wanamiliki hisa ,mtu yoyote anamiliki na kuna mamilioni ya raia ni wapangaji na wanahisa zenye thamani kubwa kwenye hayo makampuni .
Sasa hao wakoloni wako wanatoka wapi ?
Au ukisikia Elon musk au Warren buffet anamiliki makampuni na utajiri wa mabilioni ya dollar ,wewe akili yako inakutuma yeye ndie mmiliki pekee wa hizo assets ?
Unajua hata corporations zinavyo operate wewe ?
Ile ni biashara kama biashara nyingine.
Dawa imeanza kuingia sasa tulia taratibu ifanye kazi Marekani yanyoko Tanzania ndio Paradiso kipi nisichokijua pale je unafahamu nilikuwa nafanya kazi gani na kipato changu kilikuaje hapa sibweki baba nakupa za ndani siku zote ukweli mchungu. Wale niwaseng angalieni vijana wenu wanavyofundishwa kuliwa Tigo haki za binadamu
 
Dawa imeanza kuingia sasa tulia taratibu ifanye kazi Marekani yanyoko Tanzania ndio Paradiso kipi nisichokijua pale je unafahamu nilikuwa nafanya kazi gani na kipato changu kilikuaje hapa sibweki baba nakupa za ndani siku zote ukweli mchungu
Wewe umekaa Marekani ya Ushirombo , acha mboyoyo zako
 
Dawa imeanza kuingia sasa tulia taratibu ifanye kazi Marekani yanyoko Tanzania ndio Paradiso kipi nisichokijua pale je unafahamu nilikuwa nafanya kazi gani na kipato changu kilikuaje hapa sibweki baba nakupa za ndani siku zote ukweli mchungu. Wale niwaseng angalieni vijana wenu wanavyofundishwa kuliwa Tigo haki za binadamu
Kuna hadi wastaafu na yale madai yao wanaita 401k retirement plan , Yale mafao yao yanathaminishwa kwa kununua hisa kwenye kampuni ambazo zimesajiliwa kwenye masoko ya hisa so zinakuwa zinazaa , kama mtu alikuwa vizuri na ana knowledge ya anachowekeza anastaafu vizuri tu na kuishi kwa raha .

Imagine mstaafu ambaye aliwekeza hiyo 400000 $ ambayo kibongo Bongo ni zaidi ya bilioni moja , hiyo ni average retirement payment ya mstaafu pale Marekani , imagine huyo mtu aliwekeza hiyo retirement amount kwenye hisa za kampuni kama apple au Tesla ,wakati ule zina zaliwa
Imagine wakati huu ,mwaka huu anastaafu atakuwa na ukwasi kiasi gani ?
 
Hivi unajisikiaje

Ndugu yangu njoo Goba uone majengo nchi imehamia huku
Hivi unajisikiaje kuishi kwenye nyumba nzuri na ina uzio mrefu kama kambi ya jeshi halafu barabara mbovu ya Makorongo na hapo nje barabarani getini kwako watu wamefanya kuwa dampo la uchafu

Makazi yanahitaji planning ya uhakika
 
Hamna utamu duniani unaoshinda wa kuishi Tanzania. Hii nchi yetu nzuri sana mwangalie Salim Kikeke anavohangaika sasa hivi hajui aanzie wapi wenzake aliwaacha sahivi wapo Mbezi beach na uzee ndo huo asee jichanganye na hiyo Marekani yenu badae mtanikumbuka
 
Kwamba kikeke Kawa ombaomba na kapuku ?
 
Back
Top Bottom