Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Awato kuelewa...Ndugu yangu dola $1000 usd pale haitoshi, nimepata maendeleo makubwa sana baada ya kurudi Tanzania ningebaki kule hata meter ya umeme nisingekuwa nayo
Mkuu ujumbe umeshawapa huna deni waache waende , mwana kulitafuta mwana kulipata....Sawa nenda kajionee
Alikuwa UK bana si USAYule alishachemsha baba karudi na miguu sijui kama hata ana gari Biden amekomba zote
AahaaaaaAnitumie ya nini?
Kwani alienda Marekani anitumie hela ili nikuite mbwa?
Hata mimi nikifanikiwa kwenda sitamtumia mtu hata thumni.
Ukiangalia vizuri, wewe pia ni mali ya serikalali.Hivi kuishi kwenye majengo mazuri yanayomilikiwa na Serikali na hauna chako hiyo ni nini kama sio utumwa? Serikali yao imetaka ndiyo imiliki utajiri wote lakini sio Wananchi wake, ni sawa na mimi kuishi kwenye nyumba nzuri ya ndugu yangu lakini ni apeche alolo
Sahihi, kuna watu wanamiliki nyumba bongo kama banda za kufugia kuku tu.Mimi nataka kuishi maisha mazuri na sio kuwa na ufahari wa kumiliki nyumba maana huko ni kujilisha upepo.
Bora geto marekani kuliko kumiliki nyumba bongo.
Ubwabwa wa Marekani unakula kidogo, brocoli na nyama nyingi ndio maana wanaishi maisha marefu kuliko sisiUbwabwa wa buku tano bongo unakula mboga tatu.
Ubwabwa huohuo na mboga tatu huko marekani ni dola 10 ( sh 25000)
Kumbe life is relative.
Labda kwa sababu kuna Mbwa wengi Marekani wana maisha mazuri kuliko binadamu wa bongo.Kuna Watanzania nimeshawasoma hapa hapa JF wanasema "ni bora wakawe mbwa Marekani kuliko kuwa binadam Tanzania".
Sasa hao kama si wajinga ni nini?
Ukisikia kukandia, kututoa show, ukweli, kutuelimisha, kutusema. NDIO HUKU!Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee.
Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki.
Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii.
Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda.
Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa.
Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off.
Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini. Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka?
Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings.
View attachment 3035626View attachment 3035627
Baadhi ya Watanzania wangu bado hawanelewi nimeona ni attach hii video ya bro labda itawafungua macho
View: https://youtu.be/UDIpQ1XWcRg?si=B7PvJdMy-8eipUC7
Homelessness ni changamoto kubwa sana MarekaniView attachment 3035748
Haya mageto ya watu Marekani huko
View attachment 3035739View attachment 3035740View attachment 3035741View attachment 3035743View attachment 3035744View attachment 3035747
SahihiAcha kulisha watu matango pori,
America ni tajiri mara 1000+ya Tanzania, mapato yetu kwa mwaka hayafikii mapato ya ksmpuni ya tweeter/X! Tunafsnya nao kazi kwenye mashirika ya kimataifa, wana mkwsnja mrefu, swala LA kusema eti hawawezi kumiriki nyumba, ni relative tu, kwani hapa bongo kila mtz anaweza kununua kiwanja au nyumba masaki, Oyster Bay, njiro,Shanghai(mtwara), nyamkazi(bk),
Mbona watu kibao wanarnda kuishi bunju,mbagara, kwanini wasipange masaki, au upanga?
Kama maisha Yao ni kama kwetu, mbona wa bongo kibso w anakimbilia USA kutafuta maisha?
Acha akili za manzese na kuwa za ki ccm
Nenda tu, ulizuwiliwa?Labda kwa sababu kuna Mbwa wengi Marekani wana maisha mazuri kuliko binadamu wa bongo.
= kumilikiAcha kulisha watu matango pori,
America ni tajiri mara 1000+ya Tanzania, mapato yetu kwa mwaka hayafikii mapato ya ksmpuni ya tweeter/X! Tunafsnya nao kazi kwenye mashirika ya kimataifa, wana mkwsnja mrefu, swala LA kusema eti hawawezi kumiriki nyumba, ni relative tu, kwani hapa bongo kila mtz anaweza kununua kiwanja au nyumba masaki, Oyster Bay, njiro,Shanghai(mtwara), nyamkazi(bk),
Mbona watu kibao wanarnda kuishi bunju,mbagara, kwanini wasipange masaki, au upanga?
Kama maisha Yao ni kama kwetu, mbona wa bongo kibso w anakimbilia USA kutafuta maisha?
Acha akili za manzese na kuwa za ki ccm