Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

.....sawa kwa hiyo ulirudi na usd ngapi bongo?
 
WaKenya ni viumbe wengine...wanatubeba sana wabongo hasa kwenye caregiver.....
Yuko mwingine ana malori kama Bakhresa
 
Bro unateseka ukiwa wapi? Ushauri wangu: Endelea kujitafuta.
 
Angalia haya maisha wanayoishi halafu linganisha ni yupi ana afadhali aliye marekani huku amelala barabarani au aliyebaki nyumbani na analala ndani na anakula milo yote
 

Attachments

  • 79429f3658e4e1ad2df9f2eaf8a8ead7.mp4
    19.3 MB
 

Attachments

  • 79429f3658e4e1ad2df9f2eaf8a8ead7.mp4
    19.3 MB
  • 79429f3658e4e1ad2df9f2eaf8a8ead7.mp4
    19.3 MB
Angalia haya maisha wanayoishi halafu linganisha ni yupi ana afadhali aliye marekani huku amelala barabarani au aliyebaki nyumbani na analala ndani na anakula milo yote
Hii ndio Marekani halisi ndugu zangu. Kodi ikiisha unafukuzwa na Askari ndani kama mbwa
 
Mr why unaishi Jimbo Gani kwanza ? Acha kupotosha kila mtu aende kimpango wake . Nina my nephew alizamia U.S mwaka Juzi wakati wameenda kongamano la kwaya siku ya kuondoka aliwapiga chenga ya mwili hadi now Yuko uko . Baada ya kufika tz aliokuwa nao wakaanza mletea shida ikabidi baadhi ya pepa zishughulikiwe now anaishi maisha safi na mtoto wake yupo darasa la tano nimempeleka kukwea mwewe mwezi march ameshatua US na ameshusha mjengo wa haja hapa bongo na ni Darasa la sana na ameshaanza kusoma Ili awe na kiprofesino chochote huko . Hivyo acha hadithi.
 
Nilikua Atlanta Georgia
 
Hii ndio Marekani halisi ndugu zangu. Kodi ikiisha unafukuzwa na Askari ndani kama mbwa
Sasa unataka uendelee kukalisha pumbu zako kwenye nyumba ya mtu bila kulipa pango wakuchekee tu ?
Hizi akili zenu za kitaahila za hapa Bongo , ndio maana hamuwezi kuishi nchi za watu .
Mnaenda huko mnapata pesa mnaishia kufanya upambavu halafu unataka kumpiga sound landlord ,
Ninyi Ndio huwa mnapakwa wese , dume zima unataka Kitonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…