Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Nilanza kujitambua baada ya kugundua naishi kwenye banda la mbao wakati Bongo ni mabanda ya kufugia

Chumba hata kitanda cha 6x6 hakiingii. Rafiki yangu wa Mbezi beach akanambia bro umepotea acha ujinga rudi bongo utafia huko ukiishi kwenye mabanda ya mbao na utazeeka huna chako angalia sisi hapa Bongo nyumba zetu tumeshajenga wewe yako iko wapi??

Asee nilipata kichaa nikarudi fasta akanambia twende Goba tuchukue kiwanja kama huezi sema ukweli nikusuppot tukachukua kiwanja akanambia chukua vihela vyote ulivyopata kule anza ujenzi

Nikaanza ujenzi mpaka nimemaliza sasa hivi namalizia paving
Akanambia angalia sasa ungefia kule kwenye mabanda kama ni bata nenda hapo Mliman City huduma zote zipo

Kumbuka huyu rafiki yangu yeye amenizidi sana pesa yao nyingi wamepata hapa Tanzania mana wana kampuni ya ujenzi baba yake alipata kazi kampuni ya Siemens miaka hiyo na familia yake walikua wakiishi Malibu baabdaye mzee akawambia turudi Bongo nimeanza kuzeeka hata nyumba sina hapa zaidi ya kulipa kodi na uzee wangu wote huu hela zote nilizopata Siemens zimeishia kuwatunza ninyi ndipo wakachukua uamuzi wa kurudi huku, wakakopa bank na kufungua kampuni ya ujenzi pesa kwao zikaanza kumwagika. Yule mzee mpaka sasa anajuta kupoteza ujana wake kule ananambia laiti angejua mpaka sasa angekuwa trilionea hapahapa Tanzania

Pesa kwao ni chafu na wamezipata hapa sio zile za Siemens na kila wakati yule mzee ananambia Kikwete hashindwi kuishi nchi yeyote hapa duniani ukiondoa Tanzania hizo nyingine zote ni utumwani utamu upo Tanzania.

Nenda Dodoma uoneshwe Mh Ndugai anavolima zabibu angalao hata kichwa chako kipate moto mana ulipokuwa kule ujinga mwingi ulikufumba ufahamu

Hapo nikapata ufahamu mkubwa, wale niliowaacha kule huwa nawajaribu kila wakati kwa kuwambia wanitumie $5000usd mpaka sasa wamegonga mwamba hata cent situmiwi

Dadadek chezea USA wewe 🤣
.....sawa kwa hiyo ulirudi na usd ngapi bongo?
 
Marekani si ya majitu yanayothink small
Lazima u " think big "
Youtube kuna channel moja nitarusha link hapa ili muone mamilioni ya wakenya anavyo thrive kiuchumi pale Marekani , kuna hadi majamaa yanamiliki viwanda pale Jimbo la Missouri ,ninyi mmekalia undezi undezi Tu wa kuwa na akili ndogo na kuishi kwa akili za kizezeta za wabongo wa hapa
WaKenya ni viumbe wengine...wanatubeba sana wabongo hasa kwenye caregiver.....
Yuko mwingine ana malori kama Bakhresa
 
Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee.

Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki.

Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii.

Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda.

Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa.

Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off.

Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini. Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka?

Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings.

View attachment 3035626View attachment 3035627

Baadhi ya Watanzania wangu bado hawanelewi nimeona ni attach hii video ya bro labda itawafungua macho

View: https://youtu.be/UDIpQ1XWcRg?si=B7PvJdMy-8eipUC7

Bro unateseka ukiwa wapi? Ushauri wangu: Endelea kujitafuta.
 
Eti dollar 5000 ,we Una akili nzuri kweli wewe ?

Wewe kwa nini hujawatumia hiyo dollar ,5000$ ili tuone umwamba wako na uchumi mzuri uliopo hii nchi ?
Hiyo dollar 5000$ uliwakopesha mpaka wakupe ?
Yaani unaleta upuuzi wako wa kiswahili kwenye lifestyles za watu ?
Kwa taarifa yako hata angekuwa ni Bill gates au Jeff Bezos ungemuomba dollar hata 100 na ujinga wako huo asingekupa , sana sana ungepigwa vibao na matusi .

Maisha abroad yamebase kwenye self reliance na si kusubiri kubebwa bebwa kuvizia Kitonga kama fala flani hivi .
Hii ni cultural thing , mtu hawezi tu akakutumia pesa kwa sababu za kipumbavu ,matumizi ya pesa ni lazima yawe justified .
Ulishakaa na wazungu au mtu yoyote toka nje Europe , America na hata Asia ukaona wanavyoishi wewe ?
Unaleta ule ujinga na ushamba wa kibongo kutembeza mabakuli kama Matonya
Wewe watu wajipinde wamenyeke kusaka pesa ,waje wakutumie tu wewe from nowhere .
We ni mwehu .

Hivi unajua nchi kama Kenya ,Nigeria , India nk ,remittance ya diaspora walioko nje wanatuma kiasi gani kwa mwaka ?
Na ina changia asilimia ngapi ya GDP ya hizo nchi + Technological and expertise transfer inayofanyika kupitia hizo diaspora za watu ambao wako Marekani na ulaya ?

Nakupa homework , katafiti halafu rudi hapa kuandika ujinga wako huu
Angalia haya maisha wanayoishi halafu linganisha ni yupi ana afadhali aliye marekani huku amelala barabarani au aliyebaki nyumbani na analala ndani na anakula milo yote
 
Attachments

  • 79429f3658e4e1ad2df9f2eaf8a8ead7.mp4
    19.3 MB
Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee.

Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki.

Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii.

Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda.

Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa.

Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off.

Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini. Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka?

Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings.

View attachment 3035626View attachment 3035627

Baadhi ya Watanzania wangu bado hawanelewi nimeona ni attach hii video ya bro labda itawafungua macho

View: https://youtu.be/UDIpQ1XWcRg?si=B7PvJdMy-8eipUC7
 
Attachments

  • 79429f3658e4e1ad2df9f2eaf8a8ead7.mp4
    19.3 MB
  • 79429f3658e4e1ad2df9f2eaf8a8ead7.mp4
    19.3 MB
Angalia haya maisha wanayoishi halafu linganisha ni yupi ana afadhali aliye marekani huku amelala barabarani au aliyebaki nyumbani na analala ndani na anakula milo yote
Hii ndio Marekani halisi ndugu zangu. Kodi ikiisha unafukuzwa na Askari ndani kama mbwa
 
Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee.

Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki.

Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii.

Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda.

Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa.

Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off.

Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini. Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka?

Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings.

View attachment 3035626View attachment 3035627

Baadhi ya Watanzania wangu bado hawanelewi nimeona ni attach hii video ya bro labda itawafungua macho

View: https://youtu.be/UDIpQ1XWcRg?si=B7PvJdMy-8eipUC7

Mr why unaishi Jimbo Gani kwanza ? Acha kupotosha kila mtu aende kimpango wake . Nina my nephew alizamia U.S mwaka Juzi wakati wameenda kongamano la kwaya siku ya kuondoka aliwapiga chenga ya mwili hadi now Yuko uko . Baada ya kufika tz aliokuwa nao wakaanza mletea shida ikabidi baadhi ya pepa zishughulikiwe now anaishi maisha safi na mtoto wake yupo darasa la tano nimempeleka kukwea mwewe mwezi march ameshatua US na ameshusha mjengo wa haja hapa bongo na ni Darasa la sana na ameshaanza kusoma Ili awe na kiprofesino chochote huko . Hivyo acha hadithi.
 
Nilikua Atlanta Georgia
 
Hii ndio Marekani halisi ndugu zangu. Kodi ikiisha unafukuzwa na Askari ndani kama mbwa
Sasa unataka uendelee kukalisha pumbu zako kwenye nyumba ya mtu bila kulipa pango wakuchekee tu ?
Hizi akili zenu za kitaahila za hapa Bongo , ndio maana hamuwezi kuishi nchi za watu .
Mnaenda huko mnapata pesa mnaishia kufanya upambavu halafu unataka kumpiga sound landlord ,
Ninyi Ndio huwa mnapakwa wese , dume zima unataka Kitonga
 
Back
Top Bottom