Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

SASA WAAMBIE NA HAWA WATANZANIA HAPA WAKAISHI KOTA.
 
Dogo upo faster.ile story ya chai katuuzia Mugasho umeileta kama ndo wewe ulienda?umeongezea na chumvi kidogo.
 
Aisee! Huyo jamaa akili hana! Nina uhakika hata pasi ya kusafiria hajawahi kumiliki na hajui inapatikanaje... Kashashiba ugali na uduvi, anaongea ujinga tu! Asubiri mwakani apewe T-shirt na kofia πŸ˜‚
 
Huyo unayemjibu hapo unamjua?!
 
Watu wanaongea kwa hoja... Wewe umekazana na ushoga... Ama kweli naamini ule msemo wa "Aisifiaye mvua ujue imemnyea"

Unaonekana unapenda huo ushetani wewe, si bure! Kuwa shoga ni kutaka acha pumba we ziro!
 
Hujielewi! Hujawahi kuishi nje kaka

Nani kakwambia Kikeke anahangaika?! πŸ˜‚.. We FALA!

Umehadithiwa story na waliofeli au wasiotaka uende huko maana unawasumbua na njaa zako bro
 
sasa kwa huku bongo ni vise versa hao wanaoishi kota ndio maboss kama huamini nenda pale Palm village au Victoria na sehemu nyingine kama hizo kule Mbezi beach ndio sikuambii kabisa
We una akili sana bro! Big up... Mtajie na Highland Villa pale Mikocheni, 90% ya matajiri wa nchi hii waishio Dar wanaishi pale
 
USA wanaiharibu sana weusi kutoka west africa,ila ni nchi poa sana
Kwanza ukishaingia hakuna mtu wa kukuuliza passport au kukufatilia maisha yako labda ufanye makosa ,pia ukiugua utatibiwa malipo ni baada ya kupona
 
Sasa hiyo story uliyoongea hapo ndo ya ukweli... Ila kwa wewe kwenda U.S uongo! Umepewa story na kumezeshwa story za watu wengine na kibando chako cha kuombaomba, uchawa tu ndo ukaja kufungua uzi hapa
 
Kiongozi michango yako yote imeshiba... Imejaa nyama za kutosha! Na hiyo ndo maana ya msomi mwenye exposure, sio huyo chizi mleta mada hana fact anaropoka tu kwa story anazopewa mitaani.

Big up kaka! πŸ‘ŠπŸ™ŒπŸ‘
 
Mkuu unanikosha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…