Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee.

Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki.

Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii.

Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda.

Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa.

Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off.

Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini. Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka?

Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings.

View attachment 3035626View attachment 3035627

Baadhi ya Watanzania wangu bado hawanelewi nimeona ni attach hii video ya bro labda itawafungua macho

View: https://youtu.be/UDIpQ1XWcRg?si=B7PvJdMy-8eipUC7

SASA WAAMBIE NA HAWA WATANZANIA HAPA WAKAISHI KOTA.
 
Dogo upo faster.ile story ya chai katuuzia Mugasho umeileta kama ndo wewe ulienda?umeongezea na chumvi kidogo.
 
Unajua logic ya nyumba kujengwa kwa mbao pale Marekani na Canada ? Au unadhani wanajenga kwa mbao tu na material kama hizo kwamba hawana means za kujenga Kwa materials nyingine ?
Unajua climate na weather conditions za hizo nchi ?
Unajua consumption ya nishati ambayo inatumika kusupply joto na kupasha nyumba joto kujikinga na baridi kali nchi hizo ?
Au unaandika ujinga mkuu .
Mimi nipo Tanzania ila nimegundua wewe ni zoba na hata USA hujawahi fika
Aisee! Huyo jamaa akili hana! Nina uhakika hata pasi ya kusafiria hajawahi kumiliki na hajui inapatikanaje... Kashashiba ugali na uduvi, anaongea ujinga tu! Asubiri mwakani apewe T-shirt na kofia 😂
 
Amka kijana upo usingizini jifunze uzalendo wa nchi yako achana na wale Wakoloni jifunze kutetea nchi yako nipeni uraisi niwafundishe uzalendo asee usimsikitishe baba wa Taifa amepambana sana yule baba nyie ni vijana wake anawategemea mbona mnamwangusha??? So sad 😭
Huyo unayemjibu hapo unamjua?!
 
Dawa imeanza kuingia sasa tulia taratibu ifanye kazi Marekani yanyoko Tanzania ndio Paradiso kipi nisichokijua pale je unafahamu nilikuwa nafanya kazi gani na kipato changu kilikuaje hapa sibweki baba nakupa za ndani siku zote ukweli mchungu. Wale niwaseng angalieni vijana wenu wanavyofundishwa kuliwa Tigo haki za binadamu
Watu wanaongea kwa hoja... Wewe umekazana na ushoga... Ama kweli naamini ule msemo wa "Aisifiaye mvua ujue imemnyea"

Unaonekana unapenda huo ushetani wewe, si bure! Kuwa shoga ni kutaka acha pumba we ziro!
 
Hamna utamu duniani unaoshinda wa kuishi Tanzania. Hii nchi yetu nzuri sana mwangalie Salim Kikeke anavohangaika sasa hivi hajui aanzie wapi wenzake aliwaacha sahivi wapo Mbezi beach na uzee ndo huo asee jichanganye na hiyo Marekani yenu badae mtanikumbuka
Hujielewi! Hujawahi kuishi nje kaka

Nani kakwambia Kikeke anahangaika?! 😂.. We FALA!

Umehadithiwa story na waliofeli au wasiotaka uende huko maana unawasumbua na njaa zako bro
 
USA wanaiharibu sana weusi kutoka west africa,ila ni nchi poa sana
Kwanza ukishaingia hakuna mtu wa kukuuliza passport au kukufatilia maisha yako labda ufanye makosa ,pia ukiugua utatibiwa malipo ni baada ya kupona
 
Nilanza kujitambua baada ya kugundua naishi kwenye banda la mbao wakati Bongo ni mabanda ya kufugia

Chumba hata kitanda cha 6x6 hakiingii. Rafiki yangu wa Mbezi beach akanambia bro umepotea acha ujinga rudi bongo utafia huko ukiishi kwenye mabanda ya mbao na utazeeka huna chako angalia sisi hapa Bongo nyumba zetu tumeshajenga wewe yako iko wapi??

Asee nilipata kichaa nikarudi fasta akanambia twende Goba tuchukue kiwanja kama huezi sema ukweli nikusuppot tukachukua kiwanja akanambia chukua vihela vyote ulivyopata kule anza ujenzi

Nikaanza ujenzi mpaka nimemaliza sasa hivi namalizia paving
Akanambia angalia sasa ungefia kule kwenye mabanda kama ni bata nenda hapo Mliman City huduma zote zipo

Kumbuka huyu rafiki yangu yeye amenizidi sana pesa yao nyingi wamepata hapa Tanzania mana wana kampuni ya ujenzi baba yake alipata kazi kampuni ya Siemens miaka hiyo na familia yake walikua wakiishi Malibu baabdaye mzee akawambia turudi Bongo nimeanza kuzeeka hata nyumba sina hapa zaidi ya kulipa kodi na uzee wangu wote huu hela zote nilizopata Siemens zimeishia kuwatunza ninyi ndipo wakachukua uamuzi wa kurudi huku, wakakopa bank na kufungua kampuni ya ujenzi pesa kwao zikaanza kumwagika. Yule mzee mpaka sasa anajuta kupoteza ujana wake kule ananambia laiti angejua mpaka sasa angekuwa trilionea hapahapa Tanzania

Pesa kwao ni chafu na wamezipata hapa sio zile za Siemens na kila wakati yule mzee ananambia Kikwete hashindwi kuishi nchi yeyote hapa duniani ukiondoa Tanzania hizo nyingine zote ni utumwani utamu upo Tanzania.

Nenda Dodoma uoneshwe Mh Ndugai anavolima zabibu angalao hata kichwa chako kipate moto mana ulipokuwa kule ujinga mwingi ulikufumba ufahamu

Hapo nikapata ufahamu mkubwa, wale niliowaacha kule huwa nawajaribu kila wakati kwa kuwambia wanitumie $5000usd mpaka sasa wamegonga mwamba hata cent situmiwi

Dadadek chezea USA wewe 🤣
Sasa hiyo story uliyoongea hapo ndo ya ukweli... Ila kwa wewe kwenda U.S uongo! Umepewa story na kumezeshwa story za watu wengine na kibando chako cha kuombaomba, uchawa tu ndo ukaja kufungua uzi hapa
 
Unalipia kodi kwa sababu ni justified , wewe unachukua picha ya migahawa ya hapa Bongo aka mama nitilie ndio ulinganishe na standards na income za migahawa ya london au Newyork ?
Income ya mgahawa kwenye hizo nchi ni zaidi ya income ya viwanda uchwara vya hapa Bongo so kodi pia lazima iwepo significant
Yaani una mgahawa pale manhattan unaingiza zaidi ya bilioni tano kwa mwaka , halafu unataka kodi ulipe dollar elfu kumi , una akili wewe ?
Unataka IRS wakuchekee Tu .
Na uzuri kwa wenzetu kuna kitu kinaitwa kufile tax returns , na wanaangalia uwiano kwa uhalisia baina ya ulichoingiza kama faida na hicho ndio kinatakiwa kuminywa kodi na si vinginevyo .
Nchi kama hizo ni Wonder ndio zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wajasiriamali , miundombinu na policies zishawekwa na taasisi zipo imara kusimamia hili .
Njoo sasa Tanzania na TRA utuambie huwa inakuwaje mtu anapoamzidha biashara na ikatokea akayumba na hizo kodi zetu za kishenzi za kukadilia zisizo na uhalisia + rushwa na fraud kwenye mifumo ya kodi inayofanywa na maafisa wa TRA , biashara kila siku zinakufa ,na watu na kampuni zinahamisha mitaji na wengineo wanafirisika kwa ukiritimba wa TRA .
Hebu tuambie nchi kama hii itachocheaje interpreneurship na kuongeza ajira na kukomaza sekta binafsi kama si kuchochea uchawa na mambo ya kipuuzi .
Acheni ushamba

Ninyi mnaona mamilioni ya watu wanaokimbia toka India ,China ,west Africa nk kila siku kuingia Marekani na Europe ni wajinga ?
Kuna mamilioni ya stories za watu ambao wamefanikiwa kutimiza ndoto zao na kuwa matajiri wakubwa huko Europe na Marekani tena walipoingia kama wazamiaji .
Mtu ukishindwa kumake it on USAn au Europe ni wewe na ambitions zako na akili yako , usigeneralize mambo hapa.

Hawa misukule wetu wanaofinya kodi za watu kila siku wanazitumia kufanya nini ?
Marekani ,IRS wanachukua kodi kwa raia na wafanyabishara na kuna vitu chungu mzima wanafanya kupitia hizo funds Kwa federal Government na vinaonekana .
Tuambie hapa shithole country ni kitu gani cha maana kimefanyika miaka yote hii
Kiongozi michango yako yote imeshiba... Imejaa nyama za kutosha! Na hiyo ndo maana ya msomi mwenye exposure, sio huyo chizi mleta mada hana fact anaropoka tu kwa story anazopewa mitaani.

Big up kaka! 👊🙌👍
 
Eti dollar 5000 ,we Una akili nzuri kweli wewe ?

Wewe kwa nini hujawatumia hiyo dollar ,5000$ ili tuone umwamba wako na uchumi mzuri uliopo hii nchi ?
Hiyo dollar 5000$ uliwakopesha mpaka wakupe ?
Yaani unaleta upuuzi wako wa kiswahili kwenye lifestyles za watu ?
Kwa taarifa yako hata angekuwa ni Bill gates au Jeff Bezos ungemuomba dollar hata 100 na ujinga wako huo asingekupa , sana sana ungepigwa vibao na matusi .

Maisha abroad yamebase kwenye self reliance na si kusubiri kubebwa bebwa kuvizia Kitonga kama fala flani hivi .
Hii ni cultural thing , mtu hawezi tu akakutumia pesa kwa sababu za kipumbavu ,matumizi ya pesa ni lazima yawe justified .
Ulishakaa na wazungu au mtu yoyote toka nje Europe , America na hata Asia ukaona wanavyoishi wewe ?
Unaleta ule ujinga na ushamba wa kibongo kutembeza mabakuli kama Matonya
Wewe watu wajipinde wamenyeke kusaka pesa ,waje wakutumie tu wewe from nowhere .
We ni mwehu .

Hivi unajua nchi kama Kenya ,Nigeria , India nk ,remittance ya diaspora walioko nje wanatuma kiasi gani kwa mwaka ?
Na ina changia asilimia ngapi ya GDP ya hizo nchi + Technological and expertise transfer inayofanyika kupitia hizo diaspora za watu ambao wako Marekani na ulaya ?

Nakupa homework , katafiti halafu rudi hapa kuandika ujinga wako huu
Mkuu unanikosha sana!
 
Back
Top Bottom