Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Maisha popote, ni kuwa na malengo na kujipanga tu.

lakini ukweli ni kuwa Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Ni vyema kijana akasafiri duniani ili apate "exposure", hata akirudi Tanzania atakuwa ni tofauti na Watanzania wengine.
 
Vipi kuhusu matibabu, elimu, maji, umeme? Mmarekani asiye na kitu akiumwa huduma za afya zipoje? Analipa kiasi gani? Bima kiasi gani inacover? Nasikia kuna majimbo yana unemployment benefit ni kweli?
 
Vipi kuhusu matibabu, elimu, maji, umeme? Mmarekani asiye na kitu akiumwa huduma za afya zipoje? Analipa kiasi gani? Bima kiasi gani inacover? Nasikia kuna majimbo yana unemployment benefit ni kweli?
Lazima uwe na bima na bima kule angalao uwe na dollar 1000, maisha ya pale utapata pesa lakini zitaishia kwenye matumizi kwasababu kila kitu ni ghali sana
 
Wewe hujawahi kanyaga USA ungekanyaga USA usingeongea utumbo kama huu kwa taarifa Yako huku Kuna nyumba mpaka za 100 million ni wewe tu usitake kudanganya watu mzee usifikiri Kila mtu aliepo humu yupo tanzania na Mimi ni mmoja Nina asili ya tanzania ila namiliki mjengo hapa USA usikatishe vijana tamaa kisa wewe umeshindwa kujamzee mchina mwenyewe anataka kuishi USA Kila siku wanaingia sembuse wewe mtanzania
 
Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee

Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini ukweli ni kwamba wanaishi kota za kupanga na kumiliki nyumba Marekani sio jambo rahisi angalao uwe na 1B mimi nimeishi kule kwa muda mrefu maisha yao ni ya show off kama za watu wa Kinondoni kula Bata vinywaji kidogo na picha nyingi mfukono 0 Balance huku vitu kama hivyo vikipatikana hapo Mlimani City na kwingineko huko Masaki

Kijana wa Marekani ni mtu wa show off nyingi lakini anaishi chumba cha kupanga ambacho hata kitanda cha 6x6 hakiingii

Kinachowasaidia kuonekana ni watu wa maana ni uhuni hasa upande wa mablack kupiga pamba kali, sagging na kuongea kwa kihuni lakini ukweli ni apeche alolo na wabongo wanaoishi kule wambie wakutumie hata $500usd kama watatuma niite mbwa. Kule fanya ni sehemu ya kwenda kula bata tu, fanya maendeleo hapa Bongo kule nenda katalii lakini kufanya maisha nikupoteza muda

Mmarekani anazaliwa mpaka anazeeka hajawahi kumiliki meter ya maji na umeme yenye jina lake yaani ni sawa na mfungwa

Wabongo wengi ambao mmetulia hapa mna maisha mazuri na mnamiliki mijengo ya maana sio kama wale wachovu ambao wanawachanganya kwa show off mpaka mnataka kuacha nchi yenu mkaishi na wahuni wa show off

Mbongo unaacha nchi yako unaenda kuteseka kule kama sio mwehu ni nini
Vyumba kama hivi mmevikosa hapa Bongo au mnawehuka???

Nabado vihela mnavyopata kule vinaishia kwenye matumizi hazitoshi hata kufanya savings
View attachment 3035626View attachment 3035627
Umeandika mengi sana yaliyo hasi kuhusu wa huko USA ili wasitubabaishe lakini mimi wananibabaisha sana.
 
Maisha magum ndio Lin ulisikia wanafunzi usa wanakaa chin? Au shule hamna vyoo? Au Kuna hospital Haina wahudumu ? Au barabara na umeme hamna sehemu nyingi?
Hivi kuishi kwenye majengo mazuri yanayomilikiwa na Serikali na hauna chako hiyo ni nini kama sio utumwa? Serikali yao imetaka ndiyo imiliki utajiri wote lakini sio Wananchi wake, ni sawa na mimi kuishi kwenye nyumba nzuri ya ndugu yangu lakini ni apeche alolo
 
Hivi kuishi kwenye majengo mazuri yanayomilikiwa na Serikali na hauna chako hiyo ni nini kama sio utumwa? Serikali yao imetaka ndiyo imiliki utajiri wote lakini sio Wananchi wake, ni sawa na mimi kuishi kwenye nyumba nzuri ya ndugu yangu lakini ni apeche alolo
Anayekataa kuenda kuishi USA lazima atakuwa chizi maarifa,mwehu au kichaa tu.
 
Back
Top Bottom