Kwanza nipe location ya hao wapigwa miti tuwatembelee mana ndio wanaharibu vijana wetuUnajikataa sio😂
Ndomana Mada zako zilikuwa ushoga tu, hukuwa na hoja za maana! Wenzako wanamwaga points we unajibalaguza tu kumbe mtoa jicho la tatu... Kwa taarifa yako watu washakujua ndomana tushatumiana screenshots, mimi tu nimeamua kukusanua. Usiongee tena ficha ujinga wako, watu wataweka makubwa zaidi utakimbilia kufunga akaunti. Shauri yako 😊😊😊
75% ya nyumba za NY ni za Trump? Mkuu ulishawahi kufika NY? Au ni story umepata kwa dotto magari?Watu wamesahau kuwa 75% ya nyumba zote New York ni za Trump. Wanadhani US kila mtu anamiliki ardhi kama hapa bongo.
Vipi wewe umefikia? Kuna nini kipya?75% ya nyumba za NY ni za Trump?
Acha uongo jitu kama wewe hujawahi kufika hata New York umeokoteza vitaarifa mtandaoni halafu unasema asilimia 75% nyumba za trump hivi unaijua new York city au unalopoka tu na unajua maana ya asilimia 75% mzee hivi mijitu kama nyie ambayo haijielewei itaisha lini jamii forum yaani huyo trump mwenyewe kakuta nyumba zimejazana new York na za kifahari Leo unalopoka hapa eti asilimia 75% ukiambiwa uzioneshe utazionesha au umasikini unakusumbuaWatu wamesahau kuwa 75% ya nyumba zote New York ni za Trump. Wanadhani US kila mtu anamiliki ardhi kama hapa bongo.
Maisha Ulaya yalikuwepo zamani kabla ya Euro; siyo sasa!Kikubwa nipo ulaya hayo mengine utajua wewe
Ndiyo nimefika. Kwangu mengi yalikuwa mapya.Vipi wewe umefikia? Kuna nini kipya?
Kwani kumiliki nyumba ni mpk uijenge tangu kwenye msingi?? Hujui kuwa nyumba inanunulowa? Hoja mfu kutoka kwa mwenye akili mfu.Acha uwongo, huyo trump mwenyewe kakuta nyumba zimejazana new York na za kifahari Leo unalopoka hapa eti asilimia 75%
Mapopo ni washenzi sanaUSA wanaiharibu sana weusi kutoka west africa,ila ni nchi poa sana
Kwanza ukishaingia hakuna mtu wa kukuuliza passport au kukufatilia maisha yako labda ufanye makosa ,pia ukiugua utatibiwa malipo ni baada ya kupona
Africa nzima wako mil 45 ni kama laki kadhaa Kwa Kila nchi baada ya hio miaka kumi tunategemea machotora pia wakutosha huku wenye nchi zao na serikali zao zikiamini ulaya ndio kuna ramani kamiliNa wanavyo jua kujichanganya sasa miaka 10 ijayo mchina watakuwa robo ya raia Dar
Hakuna sehemu ambayo hakuna mapambano, hata bongo mapambano yapo kwa sana..Uchumi wa Marekani unamilikiwa na matajiri wachache sana. Wengine mpambano kama kawa
Hakuna sehemu ambayo hakuna mapambano, hata bongo mapambano yapo kwa sana..