Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
- Thread starter
- #381
Kwanza nipe location ya hao wapigwa miti tuwatembelee mana ndio wanaharibu vijana wetuUnajikataa sio😂
Ndomana Mada zako zilikuwa ushoga tu, hukuwa na hoja za maana! Wenzako wanamwaga points we unajibalaguza tu kumbe mtoa jicho la tatu... Kwa taarifa yako watu washakujua ndomana tushatumiana screenshots, mimi tu nimeamua kukusanua. Usiongee tena ficha ujinga wako, watu wataweka makubwa zaidi utakimbilia kufunga akaunti. Shauri yako 😊😊😊