Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Maisha popote, ni kuwa na malengo na kujipanga tu.

lakini ukweli ni kuwa Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Ni vyema kijana akasafiri duniani ili apate "exposure", hata akirudi Tanzania atakuwa ni tofauti na Watanzania wengine.
 
Vipi kuhusu matibabu, elimu, maji, umeme? Mmarekani asiye na kitu akiumwa huduma za afya zipoje? Analipa kiasi gani? Bima kiasi gani inacover? Nasikia kuna majimbo yana unemployment benefit ni kweli?
 
Vipi kuhusu matibabu, elimu, maji, umeme? Mmarekani asiye na kitu akiumwa huduma za afya zipoje? Analipa kiasi gani? Bima kiasi gani inacover? Nasikia kuna majimbo yana unemployment benefit ni kweli?
Lazima uwe na bima na bima kule angalao uwe na dollar 1000, maisha ya pale utapata pesa lakini zitaishia kwenye matumizi kwasababu kila kitu ni ghali sana
 
Wewe hujawahi kanyaga USA ungekanyaga USA usingeongea utumbo kama huu kwa taarifa Yako huku Kuna nyumba mpaka za 100 million ni wewe tu usitake kudanganya watu mzee usifikiri Kila mtu aliepo humu yupo tanzania na Mimi ni mmoja Nina asili ya tanzania ila namiliki mjengo hapa USA usikatishe vijana tamaa kisa wewe umeshindwa kujamzee mchina mwenyewe anataka kuishi USA Kila siku wanaingia sembuse wewe mtanzania
 
Umeandika mengi sana yaliyo hasi kuhusu wa huko USA ili wasitubabaishe lakini mimi wananibabaisha sana.
 
Maisha magum ndio Lin ulisikia wanafunzi usa wanakaa chin? Au shule hamna vyoo? Au Kuna hospital Haina wahudumu ? Au barabara na umeme hamna sehemu nyingi?
Hivi kuishi kwenye majengo mazuri yanayomilikiwa na Serikali na hauna chako hiyo ni nini kama sio utumwa? Serikali yao imetaka ndiyo imiliki utajiri wote lakini sio Wananchi wake, ni sawa na mimi kuishi kwenye nyumba nzuri ya ndugu yangu lakini ni apeche alolo
 
Anayekataa kuenda kuishi USA lazima atakuwa chizi maarifa,mwehu au kichaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…