Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

Hivi mzee upekosa kazi ya kufanya yaani unaandika kabisa thread ya kuiponda USA aisee hii Kali yaani tanzania nzima inanuka Mavi ndio ufananishe na USA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani hana fact anaropoka tu! Wewe na ndugu Kimbukilo mna akili kubwa na exposure ya kutosha! Mna fact! Huyo mwehu kakalia ushoga na mabanda ya mbao... Eti wamarekani wachumba 😂

Kachokoze black america wale wa mbezi beach kule uone watakavyokung'oa meno ukubwani... Au wale madogo wazungu watangaza injili wa "jw.org" (misionari wa kisasa) wanaozunguka na mashati meupe, tai na suruali nyeusi. Utakuja kuhadithia ukiwa na waya mdomoni alafu unasema mashoga. Kuwa shoga ni kutaka we CHIZI! Mr Why
 
Hapo kwenye Video walio wengi naona mateja na madishi yashayumba kitambo
Maisha ya Ughaibuni ndio yako hivyo ndugu usipokuwa na ajira huwezi kumudu maisha ya kawaida na unageuka kuwa kama chizi au teja machoni mwa watu lakini sio hivyo.
Hao wote unaowaona walikuwa na plans zao, walisafiri kutoka makwao kwa lengo la kwenda kupambana kubadilisha maisha yao.
Bongo hata ukiwa jobless bado utaonekana ni mtu nadhifu,uliyekamilika kila kitu,unalala ndani,chakula cha kusogeza siku hukosi hata kama ni kwa njia ya kukopa au kufanya uchawa ila ughaibuni ukikosa umekosa,pa kulala utafukuzwa,chakula utakosa,nauli utakosa utaangukia kuwa street begger kama hao unaowaita mateja.
 
Hata tanzania ukiwa na hela mbona unafokoa wengi tu tena huko ndio mnamaisha magumu sababu mpo dunia ya mwisho mzee halafu Mimi hamna Siri ya marekani utayonipa sababu siigizi nipo uwanjani
Huwezi kuwa Marekani unachat JF muda wote huu. Labda kama na wewe unaishi kwa kufukuliwa chemba. Ukiwa Marekani kila sekunde iko calculated
 
Mr why unaishi Jimbo Gani kwanza ? Acha kupotosha kila mtu aende kimpango wake . Nina my nephew alizamia U.S mwaka Juzi wakati wameenda kongamano la kwaya siku ya kuondoka aliwapiga chenga ya mwili hadi now Yuko uko . Baada ya kufika tz aliokuwa nao wakaanza mletea shida ikabidi baadhi ya pepa zishughulikiwe now anaishi maisha safi na mtoto wake yupo darasa la tano nimempeleka kukwea mwewe mwezi march ameshatua US na ameshusha mjengo wa haja hapa bongo na ni Darasa la sana na ameshaanza kusoma Ili awe na kiprofesino chochote huko . Hivyo acha hadithi.
Mwambie Mwambie........ Kuba babake.....wengi wanaofeli USA 🇺🇸 .....ni wale wanaoamini wanatoka familia bora bongo hasa watoto wa ma boss na wana siasa...... 👍 ....
 
Kwani kuna watu wanaenda Marekani ili wawababaishe watanzania? Ndio maana tunasemwa watanzania tuna low IQ kwa region nzima. Yani mtu akatafute maisha yake na familia yake wewe ubabaike?
 
Yaani hana fact anaropoka tu! Wewe na ndugu Kimbukilo mna akili kubwa na exposure ya kutosha! Mna fact! Huyo mwehu kakalia ushoga na mabanda ya mbao... Eti wamarekani wachumba 😂

Kachokoze black america wale wa mbezi beach kule uone watakavyokung'oa meno ukubwani... Au wale madogo wazungu watangaza injili wa "jw.org" (misionari wa kisasa) wanaozunguka na mashati meupe, tai na suruali nyeusi. Utakuja kuhadithia ukiwa na waya mdomoni alafu unasema mashoga. Kuwa shoga ni kutaka we CHIZI! Mr Why
Marekani watu ni Masikini sana, ukiwa na hela utawala wote mpaka madume, we unafkiri kwanini P Diddy kaenda sana viral???? Anakula wote kwasababu ni kapuku ndo mana P Diddy anakojolea wote
 
Ushoga na Usagaji unalindwa sana USA kwasababu wale watu wanaishi maisha magumu na Matajiri wengi USA wanakojolea wengi mpaka jinsia zao kwasababu ya umaskini
 
Marekani watu ni Masikini sana, ukiwa na hela utawala wote mpaka madume, we unafkiri kwanini P Diddy kaenda sana viral???? Anakula wote kwasababu ni kapuku ndo mana P Diddy anakojolea wote
Wewe mwenyewe SHOGA! unafkiri hatujui kwamba upo group linaitwa "Pamoko LGBTQ" huko Telegram... Unajiita hilohilo jina lako "MisterWhy" A.k.a "Roby85" Mule kazi yako ni kuwa-remove members wasumbufu

Humu JF kuwa makini usidhani kila aliyepo humu ni mjingamjinga kama wewe 😊
Screenshot_2024-08-17-12-51-53-41.png
 
Un
Wewe mwenyewe SHOGA! unafkiri hatujui kwamba upo group linaitwa "Pamoko LGBTQ" huko Telegram... Unajiita hilohilo jina lako "MisterWhy" A.k.a "Roby85" Mule kazi yako ni kuwa-remove members wasumbufu

Humu JF kuwa makini usidhani kila aliyepo humu ni mjingamjinga kama wewe 😊View attachment 3072423
Unashangaza sana dogo nitakutafuna asee kwasababu Mr Why nimeanza mm naona kuna shoga akalipenda kajiita hivo sio, mwambie aliyechukua hili jina langu awe makini sana nisije kumla asee, kwahiyo Telegram ndo mnakokaaga mkitaka kuliwa sio
 
Huyu anatakiwa atafutwe apigwe Miti aka Pipe
 
We jamaa hujielewi
 
Huyu anatakiwa atafutwe apigwe Miti aka Pipe
Unajikataa sio😂

Ndomana Mada zako zilikuwa ushoga tu, hukuwa na hoja za maana! Wenzako wanamwaga points we unajibalaguza tu kumbe mtoa jicho la tatu... Kwa taarifa yako watu washakujua ndomana tushatumiana screenshots, mimi tu nimeamua kukusanua. Usiongee tena ficha ujinga wako, watu wataweka makubwa zaidi utakimbilia kufunga akaunti. Shauri yako 😊😊😊
 
Back
Top Bottom