Pre GE2025 Watanzania Msife Moyo 2025 tunaenda kumpata Magufuli Mwingine, ila anatofauti kidogo

Pre GE2025 Watanzania Msife Moyo 2025 tunaenda kumpata Magufuli Mwingine, ila anatofauti kidogo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano.
Jambo moja ambalo sote tunakubaliana ni kuwa Tundu Lissu hana vielement vya One Man Show. He is inclussive and Citzens oriented

This man has special features packaging

  • Confidence
  • Reliability
  • Knowledgiable
  • Patriotism
  • Human Rights Defender
  • Development oriented
  • Citzen centred Approach

Tunamshukuru Mungu anaenda kutupa Magufuli wa Tofauti Kidogo. Ataziba hamu yetu iliyopungua baada ya kuondokewa na Mpendwa wa Taifa.
Umesema kweli mkuu,TL ni mti wenye matunda mazuuuuri na ya kila aina,ndo maana unarushiwa mawe sana na bahadhi ya watu,huo wote ni wivu na husuda tu,lkn watashindwa na watalegea wenyeeewe.
 
Uko sahihi katika nani walioingiza hizo Dini Afrika na hapa Tanzania au sijui unapaita Tanganyika !
Lakini ukizungumzia zile zama za stone age hata nguo zilikuwa hakuna watu walikuwa wakitembea uchi au kuvaa majani na mengineo kama hayo ,
Polepole watu wakaanza kubadilika kutokana na maingiliano yao na watu wa kutoka pande hizo usizozipenda wewe ,
Watu wakaanza na kuvaa nguo na mambo mengine kama hayo,
Na mabadiliko hayo hayakuanzia Afrika tu bali ni Duniani kote, hata huko hizi Dini mbili za Waisiharamu na Wakirisito zilikoanzia Mashariki ya Kati nao pia walikuwa wapagani kama upendavyo wewe!
Lakini nao wakaanza kubadilika badilika Polepole kwa migugumbaro ya kila aina na mpaka hata Vita zilipiganwa pia baina ya hao wapagani na hao waliokuwa na imani na Dini zao mpya walizotaka zifuatwe ,
Kama ujuavyo Maendeleo yana gharama zake pia !
Watu wakataka Maendeleo hivyo ikabidi na baadhi ya Vitabia tabia vya ajabu ajabu waviache,
Polepole watu wakaanza kubadilika na kufuata vile walivyoviona vina manufaa katika maisha yao kama Elimu mpya iliyopatikana na mambo kama hayo !

Kwa kifupi ni kwamba mabadiliko hayo hayakuja kuanzia Africa bali yalifanyika Duniani kote na wapo waliyoyakubali ambao ni wengi na wapo walioyakataa baadhi ya mabadiliko lakini mabadiliko ya kuacha kuvaa majani wakayakubali !
Maisha ni DYNAMICS
TUSINGEWEZA KUISHI VILE VILE MPAKA WAKATI HUU,
Ndio maana hata wewe na mimi tunawasiliana hapa bila hata ya kujuana !
Wapongezwe waliotuletea yale mabadiliko ya mwanzo ! 🙌
Kwani walishindwa kutuletea hayo mabadiliko bila ya kutufanyia dhuruma na ushenzi ...kwa hiyo wewe ukitaka kumfundisha mtu jambo jema ni lazima umtweze utu wake na haki yake...mtu akija nyumbani kwako akakufundisha kupika chakula kitamu sana ulichokuwa ukijui kisha akambaka mke wako na watoto wako na wewe akakulawiti utamshukuru kwa kusema anastahili kukufanyia hivyo kwa sababa kakufundisha kupika chakula kitamu?
 
Umesema kweli mkuu,TL ni mti wenye matunda mazuuuuri na ya kila aina,ndo maana unarushiwa mawe sana na bahadhi ya watu,huo wote ni wivu na husuda tu,lkn watashindwa na watalegea wenyeeewe.
Watamkuta na watamuacha
 
Umesema kweli mkuu,TL ni mti wenye matunda mazuuuuri na ya kila aina,ndo maana unarushiwa mawe sana na bahadhi ya watu,huo wote ni wivu na husuda tu,lkn watashindwa na watalegea wenyeeewe.
Mungu ambariki sana Tundu Lissu
 
Kwani walishindwa kutuletea hayo mabadiliko bila ya kutufanyia dhuruma na ushenzi ...kwa hiyo wewe ukitaka kumfundisha mtu jambo jema ni lazima umtweze utu wake na haki yake...mtu akija nyumbani kwako akakufundisha kupika chakula kitamu sana ulichokuwa ukijui kisha akambaka mke wako na watoto wako na wewe akakulawiti utamshukuru kwa kusema anastahili kukufanyia hivyo kwa sababa kakufundisha kupika chakula kitamu?
Asiyesamehe Hasamehewi 😳!
Nadhani wewe huwa hufanyi hata ile sala ya kuwaombea Taifa teule 😅🙏
 
Asiyesamehe Hasamehewi 😳!
Nadhani wewe huwa hufanyi hata ile sala ya kuwaombea Taifa teule 😅🙏
Ujui injili taifa la Israel siyo teule tena ndiyo maana ya kuja kwa injili na wao kuikataa...heshima ya taifa la Israel ilikuwa katika uchamungu na utakatifu siyo katika uhasi...ndiyo maana injili ni kwa mataifa yote
 
Kumbe unaikubali injili na unawakubali pia wale walioileta hiyo Injili kutoka huko ilikoanzia Mashariki ya Kati (middle east ) 😅🙏🤩
 
Patriot mwenye uraia pacha ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi dah 🤣

Champion na mtetezi mkuu wa utoaji mimba, ndoa za jinsia na ushoga ni adui wa waTanzania 🐒
Uraia pacha unaruhusiwa Tanzania? Mavi kabisa!!!
 
Siyo naikubali bali naijua injili ya kweli siyo hiyo yenu ya mungu mwenye nafsi 3..pia najua dini ni nini?
 
Back
Top Bottom