Pre GE2025 Watanzania Msife Moyo 2025 tunaenda kumpata Magufuli Mwingine, ila anatofauti kidogo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umesema kweli mkuu,TL ni mti wenye matunda mazuuuuri na ya kila aina,ndo maana unarushiwa mawe sana na bahadhi ya watu,huo wote ni wivu na husuda tu,lkn watashindwa na watalegea wenyeeewe.
 
Kwani walishindwa kutuletea hayo mabadiliko bila ya kutufanyia dhuruma na ushenzi ...kwa hiyo wewe ukitaka kumfundisha mtu jambo jema ni lazima umtweze utu wake na haki yake...mtu akija nyumbani kwako akakufundisha kupika chakula kitamu sana ulichokuwa ukijui kisha akambaka mke wako na watoto wako na wewe akakulawiti utamshukuru kwa kusema anastahili kukufanyia hivyo kwa sababa kakufundisha kupika chakula kitamu?
 
Umesema kweli mkuu,TL ni mti wenye matunda mazuuuuri na ya kila aina,ndo maana unarushiwa mawe sana na bahadhi ya watu,huo wote ni wivu na husuda tu,lkn watashindwa na watalegea wenyeeewe.
Watamkuta na watamuacha
 
Umesema kweli mkuu,TL ni mti wenye matunda mazuuuuri na ya kila aina,ndo maana unarushiwa mawe sana na bahadhi ya watu,huo wote ni wivu na husuda tu,lkn watashindwa na watalegea wenyeeewe.
Mungu ambariki sana Tundu Lissu
 
Asiyesamehe Hasamehewi 😳!
Nadhani wewe huwa hufanyi hata ile sala ya kuwaombea Taifa teule πŸ˜…πŸ™
 
Ujui injili taifa la Israel siyo teule tena ndiyo maana ya kuja kwa injili na wao kuikataa...heshima ya taifa la Israel ilikuwa katika uchamungu na utakatifu siyo katika uhasi...ndiyo maana injili ni kwa mataifa yote
 
Kumbe unaikubali injili na unawakubali pia wale walioileta hiyo Injili kutoka huko ilikoanzia Mashariki ya Kati (middle east ) πŸ˜…πŸ™πŸ€©
 
Patriot mwenye uraia pacha ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi dah 🀣

Champion na mtetezi mkuu wa utoaji mimba, ndoa za jinsia na ushoga ni adui wa waTanzania πŸ’
Uraia pacha unaruhusiwa Tanzania? Mavi kabisa!!!
 
Siyo naikubali bali naijua injili ya kweli siyo hiyo yenu ya mungu mwenye nafsi 3..pia najua dini ni nini?
 
Agano.la kale na jipya hayana tatizo lolote ...tatizo ni upotoshaji wa makanisani
Ni jambo jema kujua kumbe na wewe unakubaliana na hizo mojawapo ya zile Dini tulizoletewa na vitabu vyao πŸ™ !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…