#COVID19 Watanzania msikilizeni Rais Samia kuhusu chanjo

Yeye atuhakikishie tuu kama zinaongeza nguvu za kiume.
 
Yeye ndiye katengeneza na kuzifanyia majaribio ya miaka 15 kama inavyotakiwa hizo chanjo? Au na yeye kaambiwa tu?
 
Kibwetele ni hao wanaoleta chanjo za majaribio, hayo ni maoni yangu tu, yaheshimiwe
 

Mjinga kweli wewe! Mwaka jana tulimsikiliza Nani? Si yeye?
 
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…