greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Yeye atuhakikishie tuu kama zinaongeza nguvu za kiume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndiye katengeneza na kuzifanyia majaribio ya miaka 15 kama inavyotakiwa hizo chanjo? Au na yeye kaambiwa tu?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa chanjo ni salama na kamwe hawezi kuwaletea chanjo ambayo ina madhara kwa kuwa yeye ni Kiongozi Mkuu wa Nchi anayejali afya za wananchi wake.
Rais Samia ameyasema hayo wakati akipata chanjo ya kujikinga na ugonjwa na Corona, ambapo amesema yeye ni Mkuu wa nchi lakini pia Mama, Mke na Bibi anayetegemewa hivyo haweki rehani maisha yake na maisha ya Watanzania kama chanjo ingekua si salama.
"Mimi ni Mama wa Watoto 4, Bibi wa wajukuu, mke lakini pia Rais na Amir Jeshi Mkuu nisingejitoa mwenyewe kujipeleka kwenye kifo nikijua nina majukumu yote haya, hii chanjo ni ya wataalam na wataalam wetu wamejiridhisha, NIKO TAYARI Kuchanjwa' - Amesema Rais Samia
EWE Mtanzania msisikilize maneno ya akina Kibwetele ambao si wataalamu wa Afya, na kuwaamini kuhusiana na chanjo, Hakuna Serikali Duniani ambayo ipo kwa ajili ya kuwaua wananchi wake sababu ya chanjo au sababu nyingine.
Chanjo Ni Salama Ila Ni Hiari, Na Corona Ipo na Wengi Wamekufa
JikingeNaUwakingeWengine
Kibwetele ni hao wanaoleta chanjo za majaribio, hayo ni maoni yangu tu, yaheshimiweRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa chanjo ni salama na kamwe hawezi kuwaletea chanjo ambayo ina madhara kwa kuwa yeye ni Kiongozi Mkuu wa Nchi anayejali afya za wananchi wake.
Rais Samia ameyasema hayo wakati akipata chanjo ya kujikinga na ugonjwa na Corona, ambapo amesema yeye ni Mkuu wa nchi lakini pia Mama, Mke na Bibi anayetegemewa hivyo haweki rehani maisha yake na maisha ya Watanzania kama chanjo ingekua si salama.
"Mimi ni Mama wa Watoto 4, Bibi wa wajukuu, mke lakini pia Rais na Amir Jeshi Mkuu nisingejitoa mwenyewe kujipeleka kwenye kifo nikijua nina majukumu yote haya, hii chanjo ni ya wataalam na wataalam wetu wamejiridhisha, NIKO TAYARI Kuchanjwa' - Amesema Rais Samia
EWE Mtanzania msisikilize maneno ya akina Kibwetele ambao si wataalamu wa Afya, na kuwaamini kuhusiana na chanjo, Hakuna Serikali Duniani ambayo ipo kwa ajili ya kuwaua wananchi wake sababu ya chanjo au sababu nyingine.
Chanjo Ni Salama Ila Ni Hiari, Na Corona Ipo na Wengi Wamekufa
JikingeNaUwakingeWengine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa chanjo ni salama na kamwe hawezi kuwaletea chanjo ambayo ina madhara kwa kuwa yeye ni Kiongozi Mkuu wa Nchi anayejali afya za wananchi wake.
Rais Samia ameyasema hayo wakati akipata chanjo ya kujikinga na ugonjwa na Corona, ambapo amesema yeye ni Mkuu wa nchi lakini pia Mama, Mke na Bibi anayetegemewa hivyo haweki rehani maisha yake na maisha ya Watanzania kama chanjo ingekua si salama.
"Mimi ni Mama wa Watoto 4, Bibi wa wajukuu, mke lakini pia Rais na Amir Jeshi Mkuu nisingejitoa mwenyewe kujipeleka kwenye kifo nikijua nina majukumu yote haya, hii chanjo ni ya wataalam na wataalam wetu wamejiridhisha, NIKO TAYARI Kuchanjwa' - Amesema Rais Samia
EWE Mtanzania msisikilize maneno ya akina Kibwetele ambao si wataalamu wa Afya, na kuwaamini kuhusiana na chanjo, Hakuna Serikali Duniani ambayo ipo kwa ajili ya kuwaua wananchi wake sababu ya chanjo au sababu nyingine.
Chanjo Ni Salama Ila Ni Hiari, Na Corona Ipo na Wengi Wamekufa
JikingeNaUwakingeWengine
Aliokwambia kuchanja unaokoa maisha ni nani? Kuumwa kuko pale pale