Watanzania msipotoshwe na hoja za kiukaguzi (Audit queries) maana sio hitimisho kuwa ni ufisadi, zikipatiwa majibu ukweli hujulikana

Hati chafu ni audit query?
 
Ukweli ndio huo wa CAG Kwani yote Aliyoandoka Ameambiwa na Wahusika wenyewe Kwa hiyo Tusubiri ukweli kuwa ATCL IMEPATA FAIDA?
 
Mleta mada nenda kalinde kaburi acha kuhojoka hapa. Unazungumzia PAC hii ya CCM ambayo kazi yake ni kulinda Serikali? Zile 1.5 trilioni majibu gani ya maana ulipewa? Zile hesabu za MAGAZIJUTO za Polepole?
 
kuna jibu gani zuri la kunieleza nielewi kwa nini kuna hasara kubwa kwenye taasisi za serikali? hasara ni hasara tu. Hapo ni wajipange wasipate hasara. Wawe na mikakati thabiti kuzuia hasara za baadae.
 
msituchoshe sisi the common Mwananchi wote tunajua na tumesomeshwa auditing I & II. wizi ni wizi tu
 
Hatudanganyiki,Magufuli alikuwa fisadi!Kabla ya CAG kuwasilisha ripoti yake kwa uma mafisadi walishapewa muda wa kujibu hoja zao ila wakashindwa kwa sababu ufisadi wao ulikuwa wazi na dhahiri.Usifikiri kuwa hatujui kitu,kabla ya CAG kuleta ripoti yake katika uma huwa anatoa muda wa hoja kujibiwa.
 
Yaani tukubali kupotoshwa na wew lizombie tumpuze CAG? Misukule ya Jiwe mnapata tabu sana
Haya sikiliza majibu ya Feasibility Study ambayo CAG alipotosha watz. Hivyo hiyo Audit Query yake imeshafugwa tayari haina mashiko.

Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…